Search results

  1. darcity

    Rwanda itafaidika na nini kupokea wakimbizi toka Ulaya

    kagame anapenda kick kama Konde boy
  2. darcity

    Jina 'Machinga' chimbuko lake ni nini?

    Kabla ya mwanzoni mwa miaka ya tisini hakukuwa na msamiati machinga kwenye lugha ya Kiswahili Kwa sababu Sera za ujamaa hazikutoa fursa ya kutembeza au kupanga bidhaa barabarani. Neno la kiingereza linaloshabihiana kimaana na Wanachinga neno street vendors Labda kama mulokozi alikuwa nabii...
  3. darcity

    Nimeona picha za wahudumu wa treni ya kisasa ya SGR ambayo inafanyiwa majaribio leo kutoka Dar -Dodoma

    Amen... anastahili sifa Kwa hilo. Mwamba ameacha alama
  4. darcity

    Jina 'Machinga' chimbuko lake ni nini?

    Umepuyanga waukae
  5. darcity

    Jina 'Machinga' chimbuko lake ni nini?

    Neno machinga halina uhusiano na kiingereza kabisa itakuwa mtoto wa miaka 2000 au upo kijijjni
  6. darcity

    Jina 'Machinga' chimbuko lake ni nini?

    Lazima uone chai Kwa sababu wewe ni mtoto wa miaka ya 2000 au upo kijijini umeanza kusikia machinga minadani kuanzia miaka ya 2015
  7. darcity

    Paka kunifatafata ni jambo la kawaida?

    Inaelekea unapenda kula nyama/samaki au kuku na Hilo la kuwapa chakula ndio maana wanakuganda
  8. darcity

    Ukiwa Kenya unaangalia vipi Derby ya SIMBA na YANGA

    Hii list Simba haitapata kutokea. Sasha hivi tuna wababaishaji tunasumbuliwa mpaka na Ihefu
  9. darcity

    Ukiwa Kenya unaangalia vipi Derby ya SIMBA na YANGA

    Nipo Mura namuangalia Mzee Dalali hapa. Hawa miamba Enzo zao waliokuwa wanamaliza mechi nje ya uwanja
  10. darcity

    Yanga kutotumia dressing room leo

    Watoe timu uwanjani tupate tatu za bure
  11. darcity

    Ukiwa Kenya unaangalia vipi Derby ya SIMBA na YANGA

    Nipo Taifa VIP A na jezi yangu ya Simba nasubiri kuangalia live hii mechi. Wewe huko Kenya Azam TV ipo. Mura GENTAMYCINE Mwanasimba mwenzangu amekimbilia Uganda 😀😀 sisi wenye roho za paka tunaomba Mungu
  12. darcity

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    Walila chumba kimoja na Marehemu Ruge South Afrika kisha wakasema nothing happened. Hapo ndipo mahusiano ya Jide na Gadner yakaanza kuyumba
  13. darcity

    Jina 'Machinga' chimbuko lake ni nini?

    Neno hilo asili yake ni kabila la Mchinga lipo huko kusini. Vijana wa kimachinga toka huko Lindi? walijipatia umaarufu Jijini Dar es salaam katikati ya miaka ya tisini kwa kufanya biashara ya kuchuuza vitu Kam vile nguo,urembo,viatu,vyombo,n.k kwa kutembea mitaani au kupanga pembezoni mwa...
  14. darcity

    Nyaisuka Chacha Mohono auawa kwa kupigwa risasi na Askari wa Hifadhi ya Serengeti

    Huo eneo SI lipo chini ya kampuni ya Grumet? TANAPA inatokea wapi?
  15. darcity

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    Wanaume ni wachungu sana wanaposalitiwa. Wanaweza wakaongea lolote
  16. darcity

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    Kuna wanawake ni vichomi Gardner alimuacha mkewe akamvamia huyu Jaydee. Wakalala chumba kimoja na Ruge huko South Africa kama sikosei kisha wakasema nothing happened licha ya kukiri kulala chumba kimoja!
  17. darcity

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    R.I.P Mwamba.. Ugonjwa wa moyo umemchukua. Hakuwa Mzee sana bila shaka misongo ya mawazo.
  18. darcity

    Kwa sasa kuishi Dar es Salaam ni utumwa na mateso makubwa mno

    Endelea tu kuishi huko mkoàni bro..inaonekana bado haujui chochote.
Back
Top Bottom