Search results

  1. C

    Tanzania: Waathirika wa Corona (COVID-19) wafikia 49 kutoka 32

    Tupambane na Corona hii ni vita
  2. C

    Tanzania: Waathirika wa Corona (COVID-19) wafikia 49 kutoka 32

    Taarifa ni muhimu ifafanue wagonjwa hao wanaishi maeneo gani na majina yao, itasaidia wananchi kuchukua tahadhari lakini sio kunyanyapaa. HII ni VITA sio LELEMAMA na tuachane na hizo ethics za kuficha siri, tazama muda mfupi tu social media Inaumbua.Taarifa itolewe rasmi na kwa wakati
  3. C

    Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Kama kuna mashirika ambayo nahisi yanahitaji kupitiwa na kasi ya upepo wa JPM ni NSSF na DAWASCO - wanyonge wanadhalilika sana kutokana na utendaji mbovu
  4. C

    Utashangaa mazingira ya sasa katika daraja la Mfugale jijini Dar

    Ni kweli! hata hivyo naona wameanza kufyeka majani ila vifaa wanavyotumia MMMMMMH
  5. C

    Utashangaa mazingira ya sasa katika daraja la Mfugale jijini Dar

    Wakati wajapani wamemaliza Ujenzi daraja la Mfugale mazingira yalikuwa mwanana majani yaliyopandwa hapo yakipendeza - pita leo UTASHANGAA jamani hata kuhudumia mandhari hatuwezi? TANROADS au City? Mpo wapi au bado mnafanya mchakato wa Tenda?
  6. C

    Jiji la Dar mmezidi, tozo ya kupaki gari hadi hospitalini!

    Hivi mnapopakua tozo ya kupaki magari hata kwenye mahospitali hamuoni aibu? Mfano pale kwa Kariuki, hospitali sio yenu kwa nini mgonjwa afike na kulipa tozo ya paki kwa Jiji? Matibabu huchukua muda mrefu je hamna vyanzo vingine vya mapato zaidi ya kuwatoza wagonjwa?
  7. C

    Gavana wa BOT atangaza Serikali kuichukua na kuisimamia Benki ya Twiga Bancorp

    Habari za BOT kusimamisha TWIGABANCORP kwa nia ya kusimamia au kuifilisi ni habari zisizo njema kwa Wananchi hasa ikizingatiwa kuwa benki hiyo wateja wake wengi ni wajasiriamali wadogo. Tangazo la Governor wa BOT limechanganya watu wengi tazama wale ambao wana akaunti hapo na wanazitumia...
  8. C

    BUSTANI KONA YA NYERERE - MANDELA KICHEKESHO

    Hivi hawa wanaotengeneza bustani kona ya Nyerere Road na Mandela hawana habari kuwa Ujenzi wa madaraja hapo karibu unaanza? Hiyo miti na maua wanayopanda si itang'olewa tuu? Hii kweli kichekesho na ni jipu hili linafaa litumbuliwe
  9. C

    Mifuko ya Jamii, pesa za waliopotea zaenda wapi?

    Hivi huko mifuko ya jamii kama kuna watu waliopotea (kama kifo) na hakuna wafuatiliaji fedha zao wanazifanyia nini? Wahusika watupe ripoti
  10. C

    Obama Ashambuliwa, Aitwa Nyani Mwafrika mshenzi, aambiwa arudi porini...!

    Hay makorea si kama nguruwe tu wanaokula kila kitu?
  11. C

    Hoja binafsi bungeni

    Ningekuwa mbunge ningetoa hoja binafsi kama ifuatavyo: HATUA DHIDI YA MAJANGA YA BARABARANI: Kutokana na madereva wa vyombo vya moto kutobanwa na sheria kali, uzembe utaendelea nchini na tutazidi kuwapoteza ndugu zetu kutokana na ajali. Aidha ajali zinaathiri uchumi kutokana na ndugu wa...
  12. C

    Mwendo kasi waua jamani

    Habari nyingi miaka na hasa siku za karibuni ni ajali na vifo vinavyotokana na ajali na sababu kubwa ni mwendo kasi. Hivi kwani waendesha magari wanakimbilia wapi? :A S 13:
  13. C

    yeyote yule

    Yeyote yule kwenye madaraka anayetoa idhini ya kuweka yadi za kontena ndani ya jiji la Dar Es Salaam bila kuangalia hali ya barabara kwa malori kuingia na kutoka ndani ya hizo yadi sidhani kama anajua anachokifanya, matokeo yake malori yanaziba barabara, yanageuzageuza na kupaki barabarani...
  14. C

    Hongera swissport kwa kuanzisha chuo cha mafunzo

    Nilipata nafasi ya kupita kuangalia chuo cha mafunzo cha Swissport pale Nyerere Road kwa ajili ya mwanangu anayemaliza chuo mwaka huu - nilishangaa kuona madarasa ya kisasa yenye viyoyozi, computer n.k. Hongera wana Swissport bila shaka mtaongeza ujuzi kwa vijana wetu ambao wanahangaika kupata kazi
  15. C

    NO SHOW FEE YA PRECISION AIR Tsh 25,000

    Nilipatwa na dharura wakati niko tayari kwenda safari Mwanza, nikapiga call center ya precision simu inanipa matangazo ya ROYAL PAA haipokelewi hata baada ya kurudia mara tatu nikaachana nao. Kesho yake naenda airport naambiwa kalipie "No show fee Tsh 25,000" nikakumbuka siku nimekaaa Mwanza...
  16. C

    Flight delays at jnia - precicionair

    Men what is happenning with Precisionair flights today, most of us are stranded with only one reason "Operational reasons" what does operational stand for ?
  17. C

    Uchakachuaji mpya wa mafuta huu hapa!

    Vituo fulani vya mafuta wame de-calibrate; ukinunua lita tano mashine yaonyesha yes 5 liters lakini ulichopata ni lita 4.5 au lita 4, unalipa bei ya lita tano. Hii nimethibitisha jana. Ukitaka kujua jaribu kununua mafuta kwa lita ulizozoea na jaribu baada ya kujaza kuangalia geji, utashangaa...
Back
Top Bottom