Kaka, unajitahidi kuchanganya habari hapa! Mara unasema alipewa kama hisani mara zikaja share za 75-25%!
Kwa taarifa yako kuna orodha ndefu ya watu waliopewa nyumba kwa hiyo hiyo hisani toka awamu ya kwanza na ya pili kwa mfano Bibi Titi na wengine kibao, hadi leo hawana hiyo share ya 75-25%...
Kumbuka mwenyekiti wetu alikuwa mpangaji kama wapangaji wengine na alipaswa kulipa kodi. Hakufanya hivyo kwa kisingizio cha kwamba ni mbia hata pasipo kuendeleza jengo ili aingie kwenye ubia. Ni majengo mangapi yamebomolewa hapa mjini kama ilivyo kwa Billicanas, what is so special mpaka awe na...
RC Makonda aende kuitikia wito, asomewe mashtaka dhidi yake, akiri na aombe msamaha ili kuepusha mgongano wa mihimili yetu mitatu yaani Bunge, Mahakama na Rais pamoja na serikali yake. Baada ya hapo aendelee na kazi yake ya kutokomeza madawa ya kulevya!
Tuendelee kuliombea taifa ili sisi sote tujadili hoja na siyo itikadi ya vyama vyetu. Tukubali kwamba hoja nzuri inaweza kutoka chama chochote na kwa mtu yeyote. Hii yote imesababishwa na kuwakabidhi maisha yetu wanasiasa! Wanasiasa enzi za Mwl. Nyerere hawakuwa wafanyabiashara, lakini kwa sasa...
Tusubiri, Muhongo alimalizia kwa kusema Tulidhani labda tunayebishana naye ni Genious(akimaanisha Ole Sendeka)! Na hapa nina matokeo yake ya F iv. Amezuiiwa na spika asisome! Pia ametoa DVD inayoelezea/onyesha ushiriki wa Ole Sendeka ktk hujuma na kushauri chama (ccm) kama kuna haja ya ccm...
Nape, hawa ni wahamiaji haramu katika soko letu la ajira ya ndani na kutufanya tukose ajira ndani ya nchi yetu. Kama alivyo amuru JK kule Bukoba kwamba waondoke haraka iwezekanavyo vivyo hivyo kwa hawa! Pia shughulikieni suala la kodi katika mishahara yetu!
Ili ahadi ionekane ni ya kitapeli ni pale itakaposhindwa kutekelezwa na yule aliyeahidi. Chadema wanatoa ahadi za kutekelezwa endapo wataingia madarakani na hawajapata hiyo nafasi ya kuingia madaarakani ili waitekeleze, sasa iweje uziite ni za kitapeli? Je zile ahadi walizo ahidi waliopo...
Waziri na Katibu Mkuu wa hii Wizara ni wasomi wasio shaka na maamuzi yao hayakufanyika kwa pupa. Inasikitisha kuona wazawa wanajitokea kutukomboa toka gizani tunaanzisha usanii kwa kuwabeza!
You will always have one contact person to call. This is the one who invited you to attend the interview and he/she is always there among the interview panelists!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.