Search results

  1. K

    Mwaka 2025 nitafungua kesi dhidi ya Halima Mdee na wenzake kwa kulipwa mishahara wakati wahakustahili kuwa Wabunge kutokana na kufukuzwa uanachama

    Mpaka Sasa hiyo hiyo Mahakama utakayoenda kufungua Kesi inawatambua kama ni Wanachama halali Wa Chadema,hadi hapo itakapoamuliwa vinginevyo
  2. K

    Freddy Michael a.k.a Funga Funga

    Hili gazeti, Kwa Masikitiko makubwa hatujaweza kulisoma....! Ila Kwa ufupi sana Koublan Fred ni Mali.
  3. K

    FT: KVZ 0 - 2 Simba | Nusu Fainali Kombe la Muungano | Amani Stadium | 24/04/2024

    Aloo Burudani Hii imekuja kama Surprise..! Mnyama Uwanjani
  4. K

    FT: KVZ 0 - 2 Simba | Nusu Fainali Kombe la Muungano | Amani Stadium | 24/04/2024

    Nani Wa Kulaumiwa Kwa Yanga kutokuwepo Zanzibar.Mashabiki Wanatamani ingekuwepo Lkn ndo hivyo tena haimo
  5. K

    Naomba kujuzwa faida za kuwa na GREEN CARD ya Marekani

    Unapata Mshahara 3 M Kwa Mwezi, tena ukiwa homeLand..! Sasa Kwenda Marekani Kufanya Nini tena? Au nimesikia Vibaya? Chance Yako ya Kupata mtaji kupitia huo Mshahara ni Kubwa na Kuanzisha biashara saizi ya Kati au Kubwa unayo. Hapa kunahitajika Ukombozi Wa Fikra tu...! Asikudanganye mtu,hata...
  6. K

    Maandamano ya Chadema yaanza kuiunguza CCM, Viongozi wake waweweseka

    Maandamano Yako wapi kwani? Miguu inawashawasha kuandamana..!
  7. K

    TANZIA Ulale salama sajenti Rose Nyawira

    Ndo nani? Mfafanue japo kidogo .? Alale Peponi Amina!
  8. K

    Man United yaingia Fainali ya FA kwa matuta 4-2

    Kwa hivyo tusemeje Sasa ? Man U oyeeeeee...!
  9. K

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    Goli La pili ni Offside... Marefarii ni shida.
  10. K

    Tanzania kuanza kutumia Hadhi Maalumu badala ya Uraia Pacha

    Duh, tutafika Kweli? Issue hii inahitaji ujengaji hoja Kwa Pamoja, hapa tunashuhudia mnyukano Kati ya 'Dayaspora' na Wahapa hapa...!
  11. K

    Bondia Hassan Mwakinyo amepata pigo la kwanza katika kesi aliyofunguliwa na Promota

    Huyu Bondia angekuwa hana Mdomo mrefu angekuwa ni hazina ya Taifa...! Tatizo ngenga.....! Anachonga sana
  12. K

    Wapi Clara Luvanga

    Google..... Yupo Saudia anakula mpunga mrefu
  13. K

    CAF yamtema refa aliyekataa goli la Aziz Ki

    Kwani Ile Barua Vipi..? Bado haijafika CAF..? Au Uto walimtumia Mwanasheria Wa Mchongo?
  14. K

    Klabu ya Simba yashika Namba Moja katika Vilabu Tajiri Zaidi Afrika Mashariki

    Kwenye huu utajiri Watakuwa Wame include Simba Mo Arena Kwa Simba. Na Kwa Yanga Wame include Kaunda Stadium
  15. K

    Ninasikitishwa na kitendo cha mwanariadha mtanzania Gabriel Geay kutomaliza mbio za Boston Marathon. Ni ukosefu wa uzalendo

    Tena kitendo hicho Sio tu Ukosefu Wa Uzalendo Bali ni Ufujaji Mkubwa Wa Kodi za Wananchi ikiwemo Kodi Yangu...! Na tunao Vijana Wengi Wengi tu ambao hiyo nafasi Wanaitaka... ! Huyo kashajiona Star,Wa Nini Kumng'ang'ania..? Apigwe Chini tu next time. Naunga mkono hoja!
  16. K

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Goba Mageti

    Ni kipi Sasa hapo Kwenye Ramani?
Back
Top Bottom