Search results

  1. I

    Kiwanja kinauzwa toangoma

    Wandugu nina kiwanja 400 square meter tunauza kipo Toangoma kama uko interested tuwasiliane 0713251260 na 0683214464
  2. I

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    Big up Lema, Big up Chadema, Big up Tundu Lissu
  3. I

    Jamani tumsaidie msanii SAJUKI

    Mbona Vengu alipelekwa na Serikali au mpaka alazwe ndo watakuwa serious na ugonjwa wa mwenzao
  4. I

    Diamond mdomo huu vip tena?

    Hebu mwacheni dogo, ni Mola pekee anayetakiwa kukosea , kabla hujafa hujaumbika acheni hizo na huo wote ni wivu kama asingekuwa star wala musingemjadili yuko ,mbali sanaaaaaaaaaaaaaaaaana mwenzenu
  5. I

    Nampenda Jokate, nitamfukuzia mpaka ni mkamate

    ila seuyriously nilikuwa napenda couple ya Wema na Diamond, huyo kidoti wenu mimi walaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  6. I

    Diamond LIVE ndani ya DarLive:kushuka na helkopta.

    mmbangifingi, that was marketing strategy! na it worked out, trust me kuna wengi walihuamasika only kwa kutaka kuona atakavyoshuka stejini kwa helikopta. Its unfortunately hawakutekeleza promise yao! ingawa alishuka nje ya ukumbi kwa helikopta na sio stejini kawa walivyosema before!
  7. I

    Diamond LIVE ndani ya DarLive:kushuka na helkopta.

    Wandugu nilikuwa pale, aisee dogo hashikiki ana mvuto wa ajabu, pamoja kulikuwa na mvua bado watu walijaa hadi hakuna pa kukanyaga tiketi za 7,000 ziliisha mapema zikabaki 10,000 na 15,000 na bado watu walinunua, big up Diamond
  8. I

    Kikwete anavyotamba na mawaziri wanaotakiwa kujiuzuri nchi za nje

    jamani si mutuambie jina la huyu demu ni nani?
  9. I

    Kesi ya Lulu inaendeleaje?

    amehukumiwa kifungo cha maisha, kwishney
  10. I

    WEMA SEPETU anahojiwa XXL CLOUDS FM now

    ila lips za wema magoli tuache yote
  11. I

    Mbunge wa mafia autema ubunge?

    vipi yule mama wa UN hagombei, maana naye shule imepanda
  12. I

    Nauza LCD TVs......

    hiyo ya 42 nikupe 1.5 m
  13. I

    Tetesi: LAWRENCE MARSHA ateuliwa kuwa MP

    who cares, let him choose whoever he likes to fill the room. Kwa hiyo anarudisha wale wote waliokosa nafasi kwa namna moja au nyingine, time will tell......YETU MACHO
  14. I

    Mbunge unaposema jimbo langu, UMELIZAA wewe?!!

    Nimekusoma sisimizi, unenenayo ni sawa kabisa basi nilisoma siku moja gazeti la Mwanahalisi liliandika "MAFIA NI YANGU SI YA KIMBAU-BUJI" mpaka leo najiuliza hivi huyu mbunge ni mzima au? wapi anapata nguvu ya kujinadi na kujitapa kuwa Mafia ni yake? si yeye tu kuna akina Buji wengi. huo ni...
  15. I

    Hivi jamani kuna vya wanawake na vya wanaume?

    Hebu jamani tuacheni mawazo potofu na kuwa gender sensitive kha! eti ohh mwanaume akila cone, kuna shida gani? tatizo munawaza madudu ya ajabu ndo maana kila jambo munarefer huko mie mume wangu anakula cone kama kawa na wala sijafikiria na katu sitafikiria upuuzi huo, TUBADILIKE
  16. I

    Yepi majukumu ya First Lady?

    Ehee watu muwe na shukrani akiwa mzembe na mvivu ohh mzembe hajitumi, hajui wajibu wake, hawajibiki. Mama wa watu yuko busy ohh maneno kibao LIPI JEMA
  17. I

    Updates uchaguzi serikali za mitaa - mtaani kwetu

    Mambo si shwari kwa vitongoji vingi vya wilaya ya Mkuranga, Mafia na Kilwa mkoa wa pwani huko CUF wamewanyanyasa CCM si mchezo
  18. I

    Mke wa JK akumbana na mauzauza

    Kazi kweli kweli, dalili ya mvua ni mawingu tayari kibano kimemgeukia atafute dili jingine
  19. I

    Hivi Aisha Madinda yupo wapi?!

    mbona nilisikia amesharudi jukwaani kwa mbwembwe zote, kuna wakati alikuwa anaumwa miguu nahisi na kwa ajili ya kucheza sana, Mungu amsaidie aendelee kutupa raha tena
  20. I

    Wema Sepetu mwakilishi BBA 2009?

    mushindwe na mulegeee, nyoooooooooooooooooo
Back
Top Bottom