Search results

  1. K

    Mzee Makamba aibua siri ya Urais 2015

    Mhe Mbopo, salam aleikum. Hivi ni wewe tuliokusoma kwenye gazeti la RAI le?. Najua utasema ni gazeti la MAFISADI, kama ambavyo RAIAMWEMA lilivyo gazeti la WAADILIFU, kama ulivyoelezea makundi yako wewe ya CCM. Naona unaongea kama MAMLAKA kabisa. Lowassa anautaka sana urais lakini HATAKUWA RAIS...
  2. K

    Mzee Makamba aibua siri ya Urais 2015

    Hivi kwani Mzee Makamba ana umri gani? Kwa mtazamo wangu alifanya kazi nzuri sana kama Katibu Mkuu wa CCM kuliko Mzee wetu Mukama wa sasa hivi. Tena ukisema kwa hoja zinazoenda na wakati, naweza bado nikamtetea Mzee Makamba kuliko Mzee Mukama. Mimi naona hajaongea kumpinga JK, ametoa mtazamo...
  3. K

    Edward Lowassa aumbuka Arumeru Mashariki

    Nduguyetu joseph Peter, inaonekana wewe umebobea upotoshaji na umebobea Kabisa. Mimi naomba ni toe facts Kama zilivyo na nipo tayari kuwa challenged na mtu yoyote. Kwa sasa hivi nipo nje ya ukumbi wa mkutano wa kupigia kura na wajumbe wameshaingia wote wakiwa wamependeza na mashati yao ya kijani...
  4. K

    Mwakyembe ndani ya kanisa la Gwajima; ashukuru kwa maombi akiri kulishwa sumu!

    Mimi binafsi naamini Richmond yalikuwa makosa ya kiutendaji ya serikali na siyo UFISADI wa aina yoyote ile, kwsababu tumemambiwa na hawa hawa wakina Mwakyembe kwamba hakuna hata senti tano iliyolipwa Richmond na Serikali. Kwenye hili simlaumu Kikwete, Lowassa, Mwakyembe, Msabaha na hata yeyote...
  5. K

    Lowassa aongea na vyombo vya habari; akataa kugusia suala la Richmond/DOWANS

    Leo wengi tumekasirika na press conference ya EL kwasababu tu hakuongelea Dowans na Gamba. Ni sawa kabisa kwasababu ndiyo dukuduku la kila mwananchi, kwamba hao wanaomtuhumu kwa gamba au ufisadi ni kwasababu ya Dowans. Lakini kwa wale wanaoelewa vizuri siasa za CCM, press ya leo una ujumbe mzito...
  6. K

    Benno Malisa awa jasiri, awageuka CCM na kuwatetea CHADEMA Arusha

    Mashina yamefunguliwa kama kumi na tano leo Makamu UVCCM Mkiti Beno, akisindikizwa na Naibu Ktb Mkuu UVCCM Znz Jamal Ally, Mkiti UVCCM wa Morogoro Jonas Nkya, Mkiti wa UVCCM Manyara Darabe na Mkiti wa UVCCM Kilimanjaro Godliving na wajumbe wote wa baraza la mkoa wa Arusha na wajumbe wa kamati ya...
  7. K

    Hii ndiyo rekodi ya uchapakazi wa Lowassa

    <br /> <br /> Ndugu yetu Mudavadi, hata kama na wewe ni lile kundi uliotumwa kumtukana Lowassa, basi angalau uje na hoja ili tuweze kuchangia. Hakuna kiongozi nchi hii kwa miaka ya karibuni aliyekuwa scrutinised kama Lowassa, na naomba uelewe maana ya hilo neno scrutinised. Sidhani kama kuna...
  8. K

    Lowassa, Kibanda wafanya unyama kwa wafanyakazi wao

    Huu upotoshaji unasikitisha sana. Wote au angalau wengi tunafahamu biashara anzofanya huyo mtoto wa Lowassa na interest yake kwenye media kupitia Radio5 Arusha, ambayo siyo siri. Hii ya kuunga unga kwamba Edward Lowassa ni mmiliki wa jarida la UMOJA siyo sawa hata kidogo. Wamiliki tukitaka...
  9. K

    Lowassa atembelea waathirika

    1. Kwa definition ya fisadi nchini, kiongozi gani siyo fisad? Wanapishana udagaa, upapa na unyangumi. Nyerere ndiyo alim-groom Lowassa kwenye siasa, tafuta confidants wa Nyerere wakuambie, na aliamini kwenye uwezo wake. 2. Mabomu yamelipuka Mbagala akiwa hata siyo Waziri Mkuu na sasa yamelipuka...
  10. K

    Lowassa atembelea waathirika

    Hii inasikitisha sana kila siku, tunajaribu kumtukana na kusema criminal kila siku, yet hakuna mtu hata mmoja aliyethibitisha na hata leo tukifanya mchakato wa kweli wa viongozi wenye historia ya utendaji kazi nchini - hamna anayemfikia Lowassa - Its a fact! Kama ana nia ya urais, ni haki yake...
  11. K

    Yu wapi Lowassa?

    Long after he is gone, tutaendelea kumjadili Lowassa. Thats a true measure of a great leader. Wengi wangeshakuwa wame-vanish baada ya vurugu kubwa ya powerful negative media iliyopigwa for three years starigh', lakini he is standing tall and proud today, wakati hiyo allegation imepukutika na...
  12. K

    Simanjiro: James Millya vs Ole Sendeka

    Is that a crime? Kumbe wewe unfahamu zaidi, anaishi na mzungu aliyemsomesha South Africa, guardian wake ambaye ameishi hapo miaka mingi bila james. Whether ni ya lowassa au siyo, ina shida gani?
  13. K

    Simanjiro: James Millya vs Ole Sendeka

    Kuweka facts sawasawa, millya anaishi kwenye nyumba ya rafiki zake ambao wamepanga kwenye hiyo nyumba hiyo ya sakina tangu miaka ya 2000, yeye millya amehamia hapo mwaka jana tu.
  14. K

    Simanjiro: James Millya vs Ole Sendeka

    Kuweka facts sawasawa, millya anaishi kwenye nyumba ya rafiki zake ambao wamepanga kwenye hiyo nyumba ya sakina tangu miaka ya 2000, yeye millya amehamia hapo mwaka jana tu.
  15. K

    Simanjiro: James Millya vs Ole Sendeka

    THIS IS WRONG. Kwasababu tu ya umaskini wake ndiyo maana asipate haki yake? Hayo mambo ya kufikirika kuwa aliahidiwa nini au nini, haitusadii, lets deal with the facts na tumhukumu kama mtanzania mwingine yoyote. Sijui kama mtu mmejaribu kufikiria kupigwa hadharani mpaka ukaanguka chini, its a...
  16. K

    Simanjiro: James Millya vs Ole Sendeka

    Jamani eeh, mimi nadhani kama jamii kuna matatizo makubwa somewhere, kwamba kundi fulani likitoka kwenye media na kutukana watu, ni sawa, tena mashujaa wakubwa, lakini akiibuka mtu mwingine yoyote mwenye mtazamo tofauti, hapana, anakosea, either amenunua media au ni makosa kwasababu anatafuta...
  17. K

    Lowassa, Rostam Aziz, Mwinyi vinara wa kukaa kimya bungeni

    Sijui kama inatoa picha ya halisi ya utendaji bungeni. Lowassa amekuwa Waziri Mkuu kwa miaka miwili na zaidi, na michango bungeni mingi tu akiiwakilisha serikali, sasa hayo mawaswali ya jimbo angemuuliza nani bungeni? Dk Mwinyi naye ni Waziri wa Ulinzi mpaka leo hii, nadhani hiyo ripoti...
  18. K

    Lowassa is back!

    Ngongo, acheni kutumika vibaya. Hapo umeongelea nguvu kubwa anayotumia kurudi kwenye madaraka, tunachokiona popote pale ni harakati zake za kugombea jimbo la monduli, ni dhambi gani hiyo?? Uroho gani huo?? Wangapi wanaenda majimboni mwaka huu wa uchaguzi nchi nzima?? Lowassa pekee ndiyo mroho...
  19. K

    Lowassa is back!

    Heshima mbele wadau na kheri ya mwaka mpya. It still fascinates me today how Lowassa remains to be the center of attention in the country, even after two years of absence in the government. Kinachotusumbua, tulimuonea, plain and simple. Wametumwa watu wzunguke nchi mzima na media ya ndugu...
  20. K

    In Edward Lowassa, I trust...

    Heshima mbele wanaJF wote, na big up kwa Rev. Kishoka, mimi nilishasema siku nyingi na wala sioni aibu, i just love the man, PERIOD! Watanzania wenzangu, na hata ambao siyo watanzania wanaochangia humu ndani, tukitaka kweli kujadili viongozi wetu, tufanye kutoka rohoni kwa kina, tusifanye kwa...
Back
Top Bottom