Search results

  1. M

    Kikwete a smart Man that I know

    Hotuba za Magufuli zinaweza kuwa na mapungufu, sawa. Lakini hiyo haimfanyi JK kuwa "A Smart Man". He has failed the nation so much!
  2. M

    Kauli Mbili Muhimu za Mwalimu Nyerere

    Safi sana..!
  3. M

    Kariakoo nao wanafanya utafiti wao

    Kwani Kariakoo siyo Tanzania?
  4. M

    Kwa habari zilizonifikia, nyeti na zilizotoka jikoni kwao muda si mrefu ni kwamba.....

    Katiba ya Tanzania katika moja ya ibara zake inasema "Kila mtu ana haki ya kukutana na mtu yeyote... mradi havunji sheria". Sasa hicho kikao unachikikomalia kimevunja sheria ipi? Na huko kujiamini kwako unakodai hakuhitaji mtu akushangae, bali kukupuuza!
  5. M

    Viongozi Wakuu wa NCCR - Mageuzi Watoa Tamko, Waikosoa UKAWA

    "Siku zenu zinahesabika..", sema zimebaki ngapi? Maana uchaguzi umebakiza siku 36 tu!
  6. M

    Viongozi Wakuu wa NCCR - Mageuzi Watoa Tamko, Waikosoa UKAWA

    Mkuu, tatizo kubwa la NCCR-Mageuzi ni KUKIUKWA MAKUBALIANO YA KUACHIANA MAJIMBO, zingine ni blabla. Sasa ujio wa Lowassa nd'o umefanya washindwe kuheshimu makubaluano hayo? Na je, hao viongozi WAZURI wa UKAWA si ndio walikuwepo 2010, mbona hawakushinda? Ujio wa Lowassa ni tukio la kihistoria...
  7. M

    Ahadi ya zahanati za Dr. Magufuli, ukweli huu hapa...

    Kumbuka ahadi za JK zilitokana na ilani ya uchaguzi ya CCM, hazijatekelezwa.! Magufuli naye anayoa za kwake kwa ilani ya chama kilekile, CCM. Na wakati alipoteuliwa kuwa mgombea wa CCM, Magufuli alisema anasubiri ILANI ya chama ili kueleza ataifanyia nini Tanzania. Ni kukosa uelewa kuzidi...
  8. M

    Lowassa azomewa na wanachama wa CHADEMA

    Robojosoni: Acha uzushi, eti CHADEMA Masalia.. wa wapi? Vijana wa Masaburi nd'o mnajiita hivyo?
  9. M

    Kauli ya Mnyika, Inakatisha tamaa...

    Uwaziri ni swala jingine, wagombea ubunge wanapiga kampeni kama wabunge na siyo kama mawaziri watarajiwa. Ikitokea Rais akamteua mbunge (Mnyika, Kubenea) kuwa waziri linakuwa swala jingine. Lakini "spirit" ya Mnyika itaendelezwa na wabunge wenzao ambao hawatakuwa mawaziri. Kazi ya Bunge ni...
  10. M

    Lowassa utusamehe sisi wana CCM, ni kosa lipi lisilohitaji msamaha?

    Elba, usijifariji: Sijui ACT mara CDM Vasili... hakuna lolote. Hakuna CDM Vasili wala nini, CHADEMA na UKAWA ni wamoja. Na usishangae ACT wakapunguza kura za CCM,kwanza Zito ameshaanza kumponda mgombea wake kuwa hafai anaposema "nitagombea urais 2020".
  11. M

    Serikali ikiifungia Mawio ya akina Kubenea hata siwezi kuumia, nitachukulia kawaida tu

    Maistro wewe unamwandama Kubenea, mbona mwenyekiti wenu alisema kilichomkuta Lowassa ni "Ajali ya Kisiasa". Hii ni kwa sababu JK alikuwa anaujua ukweli wote, na kwa kuwa Lowassa ameuanika hadharani jamii (akiwemo Kubenea) lazima imwamini, vinginenyo JK atoke hadharani akanushe.!
  12. M

    Wazee watazuia mafuriko Lowassa na kuliokoa taifa?

    Uzi ni wa Kiswahili, sasa wewe unaleta Kiingereza tena chenye "mazongezonge"..!
  13. M

    Kwanini Lowassa anakwepa kuzungumzia ufisadi?

    Pole sana Zak Malang, kumbe wewe bado umelala, wenzio tulishaamka zamani; Tunamchagua LOWASSA... Hatudanganyiki!
  14. M

    Majimbo 11 Ambayo UKAWA Wasipoteze Fedha Washapita

    Ng'wanapagi: Acha kudanganya kuhusu jimbo la Msalala kwa Maige; yupo Kamanda anapiga kazi. Kampeni alishaanzia Isaka tangu Aug.31..! Kuhusu kujulikana siyo hoja, wewe subiri Oktoba 25. Anaitwa Paul Malaika, alikuwa mfamasia wa wilaya ya Ukerewe, ame-resign baada ya kuteuliwa na CHADEMA kugombea...
  15. M

    Muda wowote kuanzia sasa nitamshtaki Lowassa mahakamani

    Acha kuanzisha migawanyiko ndani ya chama. Hakuna CHADEMA ASILIA na sijui chadema gani..., CHADEMA ni moja!
  16. M

    Vichwa vya habari vya magazeti ya kesho

    Maaskofu wanahusikaje na mambo ya siasa mpaka wahongwe na Lowasa..?Huyu Slaa Upadri ulimshinda na siasa nayo imemshinda, aache kuivuruga jamii.
  17. M

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Wewe endelea tu kushangaa..! Chama si mtu mmoja, ni taasisi. Kwanini yeye tu (na Lipumba) nd'o akatae kumpokea Lowasa? Huoni kwamba kuna uwezekano wa mgongano wa masirahi (kwamba kanyang'anywa tonge mdomoni?). Na kama hakubaliani na uamuzi wa chama, kwanini asiseme amestaafu tu siasa ikatosha...
  18. M

    Wana CCM tushikamane kipindi hiki KIGUMU, yatapita tu!

    Eti Ukabila na Udini..!? Nani asiyejua kwamba CCM mnasambaza sms kwa Wasukuma kuwashawishi wamuunge mkono Magufuli kwa "Usukuma wake". Hatudanganyiki, mwaka huu mtanyooka tu.
  19. M

    Napata shida sana kujua dhamira ya Mh Lowassa kwa Taifa la Tanzania na katika Siasa za Tanzania

    Adui #1 ni CCM na mfumo wake kandamizi, Edo alidhani angeleta mabadiliko ndani ya CCM lakini mizengwe imemkwamisha. Sasa mabadiliko anayaleta ndani ya UKAWA. CCM kwa heli ya kudumu siyo ya kuonana..! Mtabaki historia kama KANU ya Kenya.
Back
Top Bottom