Search results

  1. T

    Kwanini Liwe gazeti la Msemakweli na Sio Annur

    jee kwanini yasinyimwe yote ya dini, na yakapewa yale republic je msemakweli lnasomwa na watu weng? nadhan imefika hatua tujibu hoja.
  2. T

    Mahakama ya kadhi haitakuwapo

    kama haitakuwepo basi uje na vatican ipo siku itaondoka tz. kwani sio kila siku watz watakubali kudangwa uhusiano wa tz na vatican
  3. T

    Kwanini Liwe gazeti la Msemakweli na Sio Annur

    kunamaofisa ndani ya serekali wanachanganya Dini na utendaji wao wa kazi, ndio maan hawataki kuwapatia magazeti ya Annur na Alhuda matangazo yao na hupeleka sadaka zao kwenye msema kweli kwa ktumia migongo ya watz
  4. T

    Unafiki wa balozi wa Kenya Tanzania

    Na Jackson Odoyo
  5. T

    Waraka: Kanisa Katoliki laandaa waumini uchaguzi 2010

    Tuesday, 21 July 2009 16:39 *Wasema ni haki ya kanisa kuelimisha wananchi wake *Viongozi wanaopinga wana uelewa finyu wa siasa *Wanaotimiza wajibu hawaogopi wenzao kuelimishwa *Lataka dini zote zitoe waraka na kuelimisha waumini *Mahakama ya Kadhi:Serikali iheshimu Katiba Na John...
  6. T

    Kombe la Copa Coca Cola laenda Zanzibar kwa kuifunga Tabora 2-1

    Hiyo ndio zenj. NA hUYO mximo anangangania tanzania bara huku akiacha wa zENJ. mAximo chukua vijana hao
  7. T

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    muisla alielimika yupi huyo? acha ujinga sio kama mkiristo wanaopigania ushoga. waislam wote wenye kujua wapi watafika siku ya malipo wanataka mahakama ya kadhi. lkn akina Nyie wanafiki, wapenda starehe, waongo, wajinga na wapumbavu ndio msiotaka mahakama ya kadhi
  8. T

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    sasa wakipata nchi Vertican wataiondoa kwani ni ubalozi wa vertican ni udini mtupu
  9. T

    Wizi wa Kampuni za Simu na vinywaji Tanzania

    kampuni zote, leo hii nimetumia nikiwa india. tatizo ikiw mgeni huapti simcard kiurahisi mpaka upeleke passport
  10. T

    Wizi wa Kampuni za Simu na vinywaji Tanzania

    Nimetembelea miji mingi asia, moja ya nchi niliokaa ni India, ukipiga simu kutoka India to Tz kw dakika moja ni sawa na Rupia 10(1 us dollar= 48 rupia) kwahiyo dk tano 5 sawa na rupia 50 ambazo ni sawa 1 dollar ambayo ni sawa na 1350 tz shillingi. Jee dakika 5 tz ukipiga kwa kutumia hawa wezi...
  11. T

    Kwanini kupata simcard tabu?

    Ni vigumu kupata sim card ukiwa uhindini. Lazima ufanye usajili wa haja kwa kutumia pasport yetu. Lkn ukiwa tz wahindi mara moja tu kwetu. Heee
  12. T

    Waraka: Kanisa Katoliki laandaa waumini uchaguzi 2010

    HIVI SASA KINGUNGE AMEANDAMWA ,matusi yote dhidi ya kingunge ni baada ya kutofautiana na waraka wa kanis katoliki. HONGERA KINGUNGE. TUPO PAMOJA KINGUNGE HANA DINI NA SIO MKIRISTO NDIO MAAN KAANIKAKANISA HADHARANI hata membe yalimkuta kama haya wakati wa hoja ya oic
  13. T

    Emmanuel Adebayor's Transfer hic-cups!

    Football transfer rumours: Emmanuel Adebayor to Manchester United? HABARI ZILIZOTUFIKA KWAMBA TAYARI EDABAYO ANAMPANGO KWA KWENDA MAN U.
  14. T

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    kutokana na mkataba kati ya makanisa na gov ndio maana wanavyanzo vingi. missada mingi kutoka Ulaya kwa ajili ya makanisa ndio chanzo, Ubalozi wa Vertican pia, waislam huewekewa vikwazo. sasa ikiwa mtoto mmoja unamsomesha ulaya na mwengine usimpe eLimu halafu akiwa mkubwa umsimange nani mkosa?
  15. T

    Mh.Rashid M. Kawawa anaweza kulinganishwa na Mh.Kingunge?

    nadhani wakati wa mh nyerere tulifumbwa macho ndio maana wengi hatuuzungumzii ufisadi wake. tulikula dona chungu hapa kutokana na vita visivyomaana . hata mh nyerere anaglikuwa kiongozi na na haya yote ya ufisadi yanafanyika basi bado tungalkuwa gizani, tusanglisema wala kunena. tumwache...
  16. T

    Tanzania Daima imemezwa na mafisadi?

    Wengi kati watz wanaoishi nje hutegemea net kuapata habari za magazeti. ukifungua www.freemedia.co.tz/daima ukiwa nje ya tz huapti connection. au tz daima imemezwa na mafisadi? inatoa habari local tu au ndio inaanza kufa?
  17. T

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    kama inahudumia wote mbona makanisa yalikuwa mbele, nadhani irejeshwe tuone kama watz wataathirika
  18. T

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    wewe kwako udini pale unapozungumiw uislam, lkn ikizungumziw adini nyengine husemi udini. tujiunge na oic kam vile tulivyojiunga na vertican
  19. T

    Nini Hatma ya Upinzani Tanzania?

    Hivi karibuni mh Lipumba alisema " Hivi sasa CUF haipambani na chama tawala pekee bali hata chama kimoja cha upinzani – Chadema hivi sasa kinajikusanyia wimbi wa wanachama na hata kuwa ni chama kinachopambana kwa karibu na CCM katika chaguzi. Hilo limejidhihirisha katika uchaguzi wa Tarime...
  20. T

    Kwanini watz tunatumia magari ya kifahari?

    yap.kama utatembelea china na india utaona hivyo
Back
Top Bottom