Search results

  1. P

    Hapo ulipo Asali imekufikia au bado?

    Ndio nipo nabugia hapa Hadi nimevembewa
  2. P

    CHADEMA yaitisha Mkutano na Waandishi wa Habari. Mbowe kuweka hadharani Azimio la Mtwara

    nani kawaambia chadema kwamba maoni yao ndio maoni ya watanzania wengi? wasipandishe mabega hawa wahuni
  3. P

    Makonda azuru kaburi la Benjamin Mkapa

    Damu ya huyu kijana itamlilia sana Makonda
  4. P

    Zitto Kabwe anahutubia Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama, Februari 12, 2024

    Hongereni sana ACT Wazalendo mmeonesha kwa vitendo namna ya kutengeneza CHAMA cha SIASA chenye mifumo, miundo na nguzo. Hakika sasa mnaelekea mahala pazuri sana.
  5. P

    Serikali: Mtambo wa Megawati 20 mfano wa Injini ya Boeing 747 umewasili kutatua changamoto ya umeme Mtwara na Lindi

    Wacheni uwongo hilo li mtambo wamelitoa Ubungo na limetumika pale muda mrefu.
  6. P

    Viongozi wa CHADEMA ni Walaghai

    Viongozi wa CHADEMA wanakosa sifa ya kuaminika kwa umma kama chama mbadala. Wametanguliza maslahi binafsi kuliko ya wanachama wao. Kwenye masala ya Fedha CHADEMA hawajawahi kuwa wawazi. Hii ni dosari kubwa kwa chama kinachoikosoa Serikali. Hakuna operesheni hata moja ya michango ambayo imewahi...
  7. P

    CHADEMA yazindua ofisi zenye hadhi ya chama kikuu cha upinzani

    Mbona kama godown la kuhifadhi pamba
  8. P

    Ushauri: Kuwe na List maalumu ya wala rushwa na wapokea rushwa

    Jerry wa land huyu ni mpokeaji mzuri sana.
  9. P

    Mahakama yaamuru Mkandarasi wa SGR (Yapi Merkezi) kuilipa Puma Energy Tsh. Bilioni 30

    Wakimbie mara ngapi? Wameshalala mbele mradi umesimama
  10. P

    Wakili Mwabukusi: Mwaka 2020 nilikamata masanduku manne ya kura bandia za Rais

    Naona kama wanapiga makelele tyuuu
  11. P

    Wakili Mwabukusi: Mwaka 2020 nilikamata masanduku manne ya kura bandia za Rais

    Naona kama wanapiga makelele tyuuu
  12. P

    Kwako Waziri Silaa, vituo vilivyopo kwemye makazi ya watu siyo Mikocheni tu

    JERRY SILAA is scam . Mhe Rais alimteua akisa na pressure ya Dp World. Jerry akatae rushwa ya milioni 300? Akiwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya PIC amechukua rushwa nyingi viongozi wa Mashirika ni mashahidi. Bora akae kimya kabla video hazijatolewa.
  13. P

    Uteuzi Ikulu Zanzibar

    Zanzibar bana hadi wakuu wa idara wanateuliwa na Rais ama kweli zanzibar ni mfano wa wizara tu hapa Bara
Back
Top Bottom