Search results

  1. D

    When your shadow betrays you...

    Dah ila ukubwa wa mwili haujalishi size. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. D

    Huyu ndio handsome

    Macho au kusuka!
  3. D

    ISIS wachinja mmarekani Syria

    Abdul mohammed, we waijua qur'an vizuri..? Angalia maisha wanayoishi yaliyo chini ya utawala wa isis, wacha kumkosoa dada kwa kufanya wewe waijua qur"an.. Na ukiwa na jina zuri kamahilo. Nenda kwenye youtube angalia waislam wanavyoishi katika dola ya kiislam. Uone maisha ya raha. Unaleta abali...
  4. D

    Kuanzisha kiwanda cha kutengeneza maji ya kunywa

    Hii kitu huwa inafanyika sana mara nyingi inakuwa kwa makubaliano ukafanye sales yako nje ya territory ya mipaka ya soko lake, kwa hiyo suala la competition is out of question....wafanyabiashara wakubwa wa kuleta bidhaa from China wanalielewa sana hili...kule kuna viwanda vinazalisha good...
  5. D

    Kuanzisha kiwanda cha kutengeneza maji ya kunywa

    Mimi nina different concept of approach; Unaonaje in the beginning uki negotiate on big discount na mzalishaji mkubwa wa maji ambaye yuko well established, wewe utengeneze labels zako of different brand say ''JF spring water'' then anazipack kwa labels zako halafu unatest soko limekaaje kwa say...
  6. D

    CEO wa HITS-Tanzania abwaga manyanga!

    5 years down the road hii kitu iliishia wapi ?
  7. D

    Hivi ndivyo wafanyakaz wa maduka wanavyowaibia na kuwafirisi.

    Kaka Apolinary nakubaliana na wewe kiasi fulani lakini ili uone maendeleo si utahitaji u expand ? ufungue matawi zaidi si utahitaji kuajiri ? ama inakuaje hapo ?
  8. D

    Uzuri wa mwanamke ni upi?

    binafsi naona tabia! sbb kama ni katika maungo! ni yamuda mfupi tu hupita sbb kabla hujafa hujaumbika. tabia na mfuasi mzuri wa dini daima duni
  9. D

    Misaada ya Obama (Marekani) ni kitanzi kwa waafrika

    Rais wa Marekani Barrack Obama amemwonya rais wa Uganda,Yoweri Musuveni, kwamba ikiwa atasaini mswada wa sheria inayoharamisha mapenzi ya jinsia moja basi uhusiano kati ya Uganda na Marekani utatatizika. Chini ya sheria hiyo iliyopendekezwa, watu watakaopatikana na hatia ya kujihusisha na...
  10. D

    Zawadi ya tzs 15m kwa atakayefanikisha kupatikana kwa gari kubwa lililoibiwa na mzigo

    Mkuu Kyenju, sio zawadi ndogo, ndio iliyokuwepo on hand sasahivi, kama kwako ni ndogo kwa wengine ni kubwa bro.!
  11. D

    Zawadi ya tzs 15m kwa atakayefanikisha kupatikana kwa gari kubwa lililoibiwa na mzigo

    Zawadi ya TSh 15,000,000 ( Milioni 15 ) itatolewa kwa yeyote atakayefanikisha kupatikana kwa Semitrailor Truck ( Kichwa namba ya Burundi A8564A/ na trailor ya Tz no T808BLR ) Truck type: Mercedes Benz ACTROS 2540 blue in color Trailor type: White flatbed imebeba 1 x 20ft container no MEDU...
  12. D

    Picha iliyonihuzunisha: Mtoto wa ki-Iraq amempoteza mama yake ameamua kuchora picha

    Risasi wawapige wao! Na huzuni wapate wao! Maibilisi wakubwaaaa...
  13. D

    Vijana 11 wakamatwa Mtwara wakiwa na Silaha za Kivita na CD za Al-Shabaab!

    Mwanzo mgumu sana lkn....kama mtwara wameweza tusubiri tanga, dsm na zenji! Tanzania waja al-shababa
  14. D

    Vijana 11 wakamatwa Mtwara wakiwa na Silaha za Kivita na CD za Al-Shabaab!

    Kwani marekani.. Ndo mlinda dunia! Mbona irani na kule korea ameshindwaaa!
Back
Top Bottom