Search results

  1. mwambunnyara

    Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

    Mkuu bado moja, S0225 tafadhali sana nisaidie hii
  2. mwambunnyara

    Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

    Naomba nitumie hizi mkuu,S1774, Na S0225,Tafadhali nisaidie mkuu,pressure inapanda sana,
  3. mwambunnyara

    Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

    Mkuu naomba nisaidie na hii s1774 tafadhali
  4. mwambunnyara

    Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

    Hii mbona inaonyesha private candidates pekee!!??
  5. mwambunnyara

    Waliosoma Minaki high school

    Ile purukushani ndo iliyofanya J.J KAAYA aondolewe Minaki na kumpa fursa Mr.Chungu kuwa head of the School,na hakika Mr.chungu aliifanya Minaki kuwa ya maziwa na asali,hongera sanaaa kwake brother CHUNGU,he is a good leader kwa kweli. NAKUMBUKA FFU WALIPOTIA TIMU MINAKI KILA MTU ALITAFUTA PA...
  6. mwambunnyara

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    NJOO MOROGORO MANISPAA NIJE MBEYA JIJI,IDARA SECONDARY,KAMA UPO INTERESTED KARIBU PM
  7. mwambunnyara

    Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

    Mahusiano mengi kwa sasa ni mwiba aisee,yalinipata magumu katika mahusiano miaka kadhaa iliyopita,nikaja kumwaga nyongo humu,lakini kwa namna nlivyokuwa affected nilishindwa kumalizia kuisimulia,pole sana mkuu
  8. mwambunnyara

    Kuna uwezekano wa mshahara kutoka kabla Xmas?

    Ndagha ukalele fijho,po ghulila unndendeko abhikemo i ndarama,lelo linga ufikie kwa mwakaleli ulingisa kwibhwagha abha kasokela!!!
  9. mwambunnyara

    JIKO LENYE OVEN LINAUZWA

    Nina laki moja kamili,ila nipo Morogoro,tunawezafanya biashara?
  10. mwambunnyara

    Ninampa Ultimatum huyu mwanaume wa mkoani!

    Kama kuna vitu complex ni hizi issue za mahusiano,usi-judge kijuu juu hivyo hata kidogo,kuna jamaa yangu mmoja alifunga ndoa tukiwa masomoni mwaka wa tatu,(chuo),baada ya hapo mke alipata kazi Mbeya wakati mume alipata kazi Dodoma,baada ya miaka miwili kupita mke aliamua kupigana ili asogee...
  11. mwambunnyara

    Upendo baina ya ndugu unazidi kupungua kwa kasi

    Hakika UHURU WA KWELI NI KUJITEGEMEA,vinginevyo unabaki kuishi sawasawa na mtumwa kabisaaa!!!!
  12. mwambunnyara

    Upendo baina ya ndugu unazidi kupungua kwa kasi

    Nakumbuka enzi zetu ukienda kwa watu unajitahidi kwa nguvu zote kuwa furahisha wenyeji wako,mara asubuhi mapemaa umechukua kijembe unatengeneza bustani,mara unamwagilia mboga mboga na maua,hata kama kuna msaidizi wa kazi za nyumbani hauachi kusaidia saidia shughuli za usafi,basi ukitazama sura...
  13. mwambunnyara

    Upendo baina ya ndugu unazidi kupungua kwa kasi

    No,no,nooo!!!Evelyn salt hapo anasema,mtu anakuja kwako hafanyi kazi yoyote,anakula then anaingia zake fb akisubiri next meal,akasema hilo hata yeye hakubaliani nalo,na mimi nimeongezea tu kuwa unakuta mtu mwenyewe pamoja na kutojishughulisha kwa chochote anapiga menyu,na principle ya wanaokula...
  14. mwambunnyara

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    mkuu hapo bila ajizi,nimempa Granada tu,hiyo yaweza kuwa mbinu ya mhindi tu!!!!!!
  15. mwambunnyara

    Upendo baina ya ndugu unazidi kupungua kwa kasi

    Well said Evelyn salt,lakini kuna watu ambao hata ukinuna vipi,hawaondoki,na wanapata milo yote kamili bila kusema ahsante,kwa sababu tu wewe ni ndugu yake wa damu na kumfukuza ni ngumu kweli kweli!!!
  16. mwambunnyara

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hahahaaaaa,mkuu unaniogopesha sasa,magonjwa ya wazee tena!!!!nasikia huku ukiweka 2000 tu unavuna mpaka milioni 20,ni faida murua kabisa isiyo kifani!huwa nasikia waswahili wanasema woga wako ndiyo umasikini wako,lakini waswahili haohao wanasemaga kunguru mwoga huishi miaka mingi,sasa kipi bora...
  17. mwambunnyara

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kuna jamaa yangu anamalizia mjengo wake kwa shughuli hii tu,weekend iliyopita kajizolea milioni 8 kanunua bati za msauzi za Milioni 4,mjengo unapendeza ile mbaya,lazima nainze kwa kasi ya ajabu,mpaka niwe kama yeye!!!kamshahara hakatoshi kufanya mambo makubwa inabidi niingie kwenye haka...
  18. mwambunnyara

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    kwanini mkuu naona watu wanajizolea mamilioni ya shilingi mchana kweupeeee
Back
Top Bottom