Search results

  1. M

    Udini Wizara ya Elimu

    This did not just happen by chance, it was deliberate! Yaani waislam kukaa wizara moja namna hii msije mkadhani ni random selection, huu ni mpango mahsusi. Sijafanya uchunguzi kuona kama pia kuna Wakristo katika wizara nyingine, yawezekana wapo lakini haitakuwa nyeti. Watakuwa wamewekwa kwa...
  2. M

    Andrew Chenge: Jersey bank account in spotlight

    Hivi hizi habari za Chenge haziishi tu? Watu hatupati muda muda wa kutafakari maisha yetu yaliyonajisiwa, wakati wote tunawasikia haohao kina Chenge wakisemwa tu lakini hakuna hatua inayochukuliwa. Huyu Chenge tunasikia habari zake tu kutoka Ulaya lakini Tanzania kimyaa! na PCCB yao ya mdoli...
  3. M

    Wito kwa Salim Ahmed Salim - Mpinge Kikwete 2010

    Ndugu zangu, dont even waste your time to think that a clean man can ever get access into CCM leadership. Kuwa kiongozi ndani ya chama hiki lazima uwe mafya, mnywa damu za wanyonge yaani "vampire". Hiki ni chama kwa wachache wasiojua, lakini kwa wenyewe hili ni genge hatari sana ambalo moja...
  4. M

    joke about oprah winfrey

    mshikaji unatuchanganya
Back
Top Bottom