Search results

  1. F

    Kule Zanzibar serikali na dini ya kiislamu vina unasaba?

    mimi nadhani mtu una-adapt kutokana na mazingira..wakati nipo chuo niliishi na wakristo watupu na walikua wanapiga kwaya na mengine mengi but niliwaelewa kwa sababu wao ni utamaduni wao lakini mimi hata kuweka quran au kaswida nilikua siweki maana niliona kama nitawakwaza kwa vile wapo wengi...
  2. F

    Kule Zanzibar serikali na dini ya kiislamu vina unasaba?

    mkuu nakujibu kiupole kama utanielewa..mimi ni mzanzibar na nimesoma zanzibar kuanzia std1 hadi form four kiukweli serikali ya zanzibar inaitambua dini ya kiisalamu na hakuna wa kuibadilisha hilo ndio maana hata shuleni tunasoma dua na qur-ani wakati wa asbh na somo la dini ya kiislamu lipo...
  3. F

    computer yangu inapata heat sana,nisaidieni tatizo itakua nini?

    nimeipeleka kwa fundi ilikua na vumbi ajabu yaani,saiv baada ya kusafishwa inafanya kazi vizuri tu na wala haiheat tena..thanx all kwa ushauri
  4. F

    computer yangu inapata heat sana,nisaidieni tatizo itakua nini?

    nitajaribu hivyo mkuu,ni siku hizi ndio,zaman ilikua haipo hivi
  5. F

    computer yangu inapata heat sana,nisaidieni tatizo itakua nini?

    unaweza kuongeza nyengine kivipi mkuu?
  6. F

    computer yangu inapata heat sana,nisaidieni tatizo itakua nini?

    computer yangu sony vaio core i3, ram 3gb,hdd 320 e series vpceb44en inapata heat sana mpaka naogopa naombeni kujua tatizo itakua nn maana feni linafanya kazi ila naona kama halisaidii kitu
  7. F

    Kubadili kozi chuoni na athari zake HESLB

    education hata ukikaa miaka 10 mtaani basi unapewa,ualimu na udaktari hawaangalii miaka uliomaliza
  8. F

    TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    hawa tcu nao sasa wanazingua,coz wanatupeleka chaka balaa,unaweza kujipa moyo mwisho ukakosa chuo hv hv
  9. F

    TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    sasa hapo si ndio wanapoteza watu sasa?maaana mtu anajipa moyo kumbe kuna watu kibao wamejaa,mwisho unakosa chuo hv hv
  10. F

    TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    hivi wakuu ile competition from other applicants pale unapojaza course inasema ukweli?mbona mimi kila siku wapo wale wale tu hawabadiliki,wamebadilika mara moja tena inafika wiki 3 nyuma,kwa ambao wamekwisha kufanya maombi wanisaidie
  11. F

    form 6 kufanya mtihani mwezi pili na si wa wa tano...?

    sasa hio ni news alert au ni tetesi?
  12. F

    Mwongozo wa Kozi za Shahada za Uhandisi hapa Tanzania

    zote ni nzuri ila kwa mtazamo wangu soma geomatics maana hio course ina ajira nyingi sana na mpaka leo bado kuna uhaba wa masurveyor nchini na ndio ukaona hata ukiwa na diploma ya geomatics huwazi kusoma degree maana kuna kazi kibao za kufanya mtaani,
  13. F

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    geomatics,land management and valuation,environmental engineering, na building economics..zilizobaki ajira ni ngumu kidogo
  14. F

    Msaada: LG G3 ni bei gani

    liki saba na nusu unapata mpya dukani,hapa kwetu zanzibar,ila huko dar jaribu kuangalia but kuwa mkini na copy
  15. F

    Kudisco chuo na kupata usaili upya

    mkuu nikurekebishe unaweza kuomba chuo hicho hiho but sio course uliodisco,unaweza kuomba school nyengine but ile ambayo umedisco
  16. F

    Kuanza kutuma maombi TCU na Bodi ya Mikopo

    hio ni mpaka mwakani..kwa sahv hakuna tena uwezekano
  17. F

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    sijamtisha ila ukweli usemwe ada ni kubwa ukicompare na udom,ardh au udsm kwa IT,na pale kupata hostel ni shida pia labda ukapange kigamboni,na elimu bora ya IT naona usiingize IfM labda kidogo kwa business..so ada ya 1.7M ya IT au comp science utasema ni nafuu..??na niambie IFM kuna chakula cha...
  18. F

    First class chuo ni za ma TO tu-wenye historia

    nimewajua kwa sababu nina interaction nao,na nawajua physically sio kuhadithiwa,lusekelo amenifundisha wakti nipo advance,salome na tumaini nimejuana nao nao kwenye mishe za maisha,maliza kwanza huko sua uliko ndio uje mtaani utajuana na watu wengi tu wenye akili kama za kwako..maana ukiwa na...
  19. F

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    kijana sikushauri kwenda hicho chuo,maisha yake ni gharama sana,kama unataka IT angalia ardhi wanayo au hata university of dodoma na hata udsm siku hz wanaingia na pass za kawaida tu hakuna competition
Back
Top Bottom