Search results

  1. D

    Kuishi pamoja!

    Nami ninaeishi na mwanamke mwenzangu naruhusiwa kuchangia mada hii?
  2. D

    Diana Dabo Diff

    Yaani wanawake wawili ndani ya nyumba ni amani tupu hata afya imeimarika.
  3. D

    Diana Dabo Diff

    Nipo mpendwa nashukuru kwa kinimiss,nilikuwa na matatizo ya ndoa tumeachana na mume sasa hivi naishi na mwanamke mwenzangu hamna tena kelele wala bugudha.Wanaume ni ugonjwa wa moyo sitaki tena.
  4. D

    CCM: Tuna madiwani 16 Arusha

    Toa takwimu za kupinga.
  5. D

    CCM: Tuna madiwani 16 Arusha

    Nimesoma posts 52 kupata jibu kutoka kwa Mkulima sasa mwenye propaganda nani,wapenzi wa CDM au Tambwe ?
  6. D

    Kubaka siyo hatia kwetu!!

    Ala kumbe ni handisamu boy hivi ?
  7. D

    Paja la aunt ezekiel..

    Taratibu Ndiba hiyo sasa ni kashfa ukiambiwa thibitisha utaweza ? labda aulizwe Uporoto01 naskia alipitia hapo.
  8. D

    Kweli dunia kizungumkuti!

    Hahaha! hapo utanisamehe shoga nitawachelewesha bure mkinisubiri nipumzike kila mara.
  9. D

    Kubaka siyo hatia kwetu!!

    Kakakiiza ile picha yako ya kwanza tulikuwa tunaiogopa sasa hii sijui kama utapata mwenza kabla ya mwaka kwisha kama ulivyosema.
  10. D

    Kweli dunia kizungumkuti!

    Mwaka huu ilikuwa zamu yangu kuwakaribisha ndugu sikukuu ya x-mas sikuweza kuwa mbali na home.
  11. D

    Kweli dunia kizungumkuti!

    Shosti najua hili sio jukwaa letu lakini inabidi nikuulize eti na ujanja wako wote ulivalishwa shanga kwenye ile safari ?
  12. D

    Msaada wadau wa jukwa hili.

    Kweli shosti'angu anapendwa njemba iko tayari kutalk na whole village ? au kuomba ridhaa ya wa-TZ ?
  13. D

    Obama amwambia rais Bagbo akubali kushindwa. JK je?

    Jamani hapa tuwe objective kidogo ni kweli kulikuwa na mapungufu kidogo kwenye uchaguzi wetu lakini sio kiasi cha kubadili matokeo,tafauti kati ya asilimia 27 na asilimia 61 ni kubwa sana.Tusiwe wepesi wa kukubali kuwa wizi mkubwa ulitokea bila ushahidi wowote na ni zaidi ya mwezi na nusu tangu...
  14. D

    Wadada kuvaa pete kidole kinachofuata dole gumba maana yake nn?

    Tumia lugha ya kiungwana kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake bila bugudha. Yeye ndio alietakiwa kuomba msamaha.Umebwatuka kwani mbwa ? Bila ustaarabu mijadala hainogi.
  15. D

    Nifikishieni salamu hizi kwa mpenzi wangu!

    Nipo dear mihangaiko mingi tu.
  16. D

    Nifikishieni salamu hizi kwa mpenzi wangu!

    Love is in the air how sweet!
  17. D

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Mi nataka mchezo ? jana nimempa talaka mke wa jirani.
  18. D

    Mshikaji!

    We kachumbari unataka kulelewa hapa mjini ? usilemae hivyo mtoto wa kiume mwishowe atatokea jibaba akulee. :A S thumbs_down:
  19. D

    Hili la makamu wa rais kufundisha limekaaje

    Anaogopa nuclear physist akikaa karibu pale Ikulu ataona mapungufu mengi kwahiyo anamlengesha huko.Kikwete na bachelor yake yakuungaunga atamwelekezaje kazi huyu msomi aliebobea ?
  20. D

    Hizi tabia zinakera sana

    Shoga si uvae tu nguo ni kama vile unahisi kiubaridi flani.
Back
Top Bottom