Search results

  1. mzee Chibai

    Aliyeumwa na Paka amefariki, dawa ilipatikana Kenya

    Pole sana mkuu..! Mm niliwahi kung'atwa na paka but kwa msaada wa marehemu mama yangu nilipona. Mwenyezi Mungu ampumzishe kwa amani
  2. mzee Chibai

    In loving Memory of my Mama

    Pole sana mkuu. I know what you feel. Ni kama ilivyonitokea mimi. Mpaka muda haijawahi tokea hata siku moja sikumuaza mama yangu. Naona kama ndoto. R.I.P mama yangu kipenzi. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. mzee Chibai

    Huu ndio muundo wa askari kwa majeshi yote duniani

    Kukaa makambi ya jeshi haitoshi kutueleza haya. Umetaja vyeo vyote mbona hujamtaja army sergeant major? Au Sameja wa Jeshi? Pia vikosini wapo masameja wa vikosi, na kamandi mbalimbali? Pia kuna ma RSM kwa kila kikosi. Siwezi eleza mengi silijui jeshi kama wewe. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mzee Chibai

    Magonjwa 10 yatokanayo na Pombe (hio unayokunywa wewe)

    Usitutishe (in maalim seif voice ) Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mzee Chibai

    Naomba kufahamu mamlaka ya Afisa mtendaji kata na Afisa Tarafa

    Wakuu naomba kujua mamlaka ya Afisa mtendaji kata na Afisa Tarafa maana hawa watu wana nguvu sana kwenye maeneo yao kuna sehemu unakuta mtu anakubali kupelekwa polisi lakini sio kwa Afisa mtendaji kata au Afisa Tatafa.
  6. mzee Chibai

    Wanaume kwanini huwa hamuamini pindi binti anavyokwambia hisia zake?

    Wapo wanawake waliowakataa wanaume mara ya kwanza na kuwakataa lakini badae mwanaume uyo anaoa yuleyule aliyekuwa anamkataa... usisahau mwanamke anajifunza kupenda
  7. mzee Chibai

    Naomba kujuzwa kuhusu Toyota Cami

    Asante mkuu kwa ufafanuzi mzuri
  8. mzee Chibai

    Naomba kujuzwa kuhusu Toyota Cami

    Wakuu naomba kufahamu kuhusu hii gari, uimara wake na ubora wake. Pia kuhusu spea. Long trip na short trip na vipi kuhusu ulaji wa mafuta.
  9. mzee Chibai

    Mrejesho: Mfanyakazi mwenzangu anataka tuchepuke ofisini

    Bila shaka ww utakuwa mtunzi mahiri wa hadithi. Hongera mrithi wa shigongo
  10. mzee Chibai

    Ukiamua kuwa mwanamke gogo usiwe mlalamishi

    Ila kiukweli haturidhiki hata mtu acheze kitanda kizima
  11. mzee Chibai

    Kwa watumiaji wa Zuku TV

    Kwahiyo tuhamie kwenye Zuku tena. Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
  12. mzee Chibai

    Movie gani ya kipelelezi unaikubali kuliko zote hadi kesho?

    The black widow.(Gisleda blanco) Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
  13. mzee Chibai

    Rais Magufuli: Hakuna sherehe ya Uhuru mwaka huu, Badala yake mkafanye Usafi

    Afute tu upuuzi wa mbio za mwenge Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Back
Top Bottom