Search results

  1. Q

    Kila kitu bongo kipo tofauti

    HEBU SUBIRI KIDOGO.... Sidhani ni rahisi kama unavyoonyesha kwenye kuandika. Tueleze ni jinsi gani haya mabadiliko yatafanywa.Yote uliyoyaonyesha yanafahamika - it is the HOW PART ndio bado hatujajua. tuepuka kutoa majibu mepesi kwa matatizo magumu.
  2. Q

    Kesi ya Abdallah Zombe: Mashitaka, hatia, hukumu na yanayojiri

    Kama aliua kweli...basi hataishi kwa raha.... roho zile alizozitoa zitamsumbua sana.
  3. Q

    Ni ufisadi wa Spika Samwel Sitta

    Ni kiwango kipi cha ufisadi tunapaswa kuvumilia?Nikidhani kuwa hakuna ufisadi mdogo wala mkubwa.... wote ni mbaya tu na unapaswa kupigwa vita.
  4. Q

    Nani anapanga bei za nyumba Bongo?

    Kwa kuongezea.... bei zinategemea na eneo.Nyumba hata iwe nzuri namna gani kama iko uswazi sahahu kupata bei nzuri. Ukiwa na kijumba maeneo yenye majina kama Masaki, OYSTERBAY,MiKOCHENI,MSASANI Peninsular wewe ni mtu wa madolars tu na utapanga bei unavyoona wewe.
  5. Q

    Kutoelewana ndani ya mahusiano

    Baeleze mamaaa! Akina baba/kaka hudhani wao tu ndio wanawachoka wanawake.....hawajui na sisi twawachoka hivyo hivyo...tena labda kuliko wafikiriavyo au kuliko wanavyotuchoka.Fikiria mtu anayekuudhi kila kukicha -mara kapita kona hii na kimada, mara katembea na mfanya kazi wako wa ndani, mara...
  6. Q

    Mwanamke Mume mmoja,Mwanaume Wake wengi!

    Kuoa wake wengi kulikuwa nafaida zake na ingekuwa ngumu mwanamke kuolewana zaidi ya mume mmoja kwa sababu zilezile zilizofanya mwanaume awe na wake wengi. 1. mwanaume aliweza kukidhi haja zake muda wote pale mke mmojawapo alipokuwa mjamzito au ananyonyesha.Kwa kuwazungukia wote iliwawezesha...
  7. Q

    Kutoelewana ndani ya mahusiano

    Ongezea pia - Mume anapotembea nje ya ndoa nako ni doa linalosababisha ufa mkubwa sana kwenye ndoa.Wanaume hilo hawalijui na hufikiria wanawake nao wana moyo wa jiwe. Kutolewana ni kitu cha kawaida kwa watu iwe ndoa au huhusiano.Ila kama walivyosema wengine hapo juu,kuchokana nako ni kitu cha...
  8. Q

    Mabosi wa Swissport wamsababishia kifo mfanyakazi wa Cargo

    Huyo OkSir inaelekea ni mdau katika masuala yaliyojiri.......hadi ikapelekea Kalinga kama anavyojulikana kazini ( wala siyo Mwakalinga japo yote ni majina sahihi)kukatisha maisha yake. Kujiua kulitokana na Marehemu kuogopa fedheha ambayo ingemkumba baada ya kukutwa red-handed katika wizi wa...
  9. Q

    Mabosi wa Swissport wamsababishia kifo mfanyakazi wa Cargo

    Lets not rush to conclusions great thinkers! The deceased was implicated in malpractices as per the following report: On Friday last week he was summoned to appear before the disciplinary panel to answer charges that he was involved in the disappearance of a mailbag but was subsequently...
  10. Q

    Waarabu-chanzo cha uvivu na umasikini kila walikopita?

    U meant launchpad?..or lunching pad??
  11. Q

    Swine Flu in Africa - Tahadhari!

    Muache pia kula kuku..kuna bird flu.Kazi ipo!
Back
Top Bottom