Search results

  1. Mazoko

    Kwanini wanawake wanakuwa desperate na ndoa?

    Kijana jitafunie tu hakuna kosa kukumbushia
  2. Mazoko

    Kwanini wanawake wanakuwa desperate na ndoa?

    Kunywa maziwa haina noma
  3. Mazoko

    Wanawake tunakuwa na thamani pale tunakuwa tumevaa nguo

    Kuvua nikuvua tu haijalishi ni nani madhari umevua kufanya mapenzi umevuliwa tu na dhamani yako kama haipo haiopo tu Wanandoa wangapi wameumizwa kwa kuvua nguo tuu jamaa kaowa kapata alichoitaji kasepa Tafakari upya kuvua sio kushushiwa hadhi labda kingine kwangu uwe umevaa au la nakushusha...
  4. Mazoko

    Jamaa wameokota yai kwenye banda la ng'ombe

    Leo chura wa jangwani wameokota yai kwenye banda la ng'ombe mji mzima wanapiga kelele Hii nitabu
  5. Mazoko

    Utafiti wa Prof juu ya siasa

    Kutokana na utafit uliofanywa na International political economy (IPE) umebaini kwamba Tanzania ndio nchi inayoongoza duniani kwa kuwa na maprofesa wengi wanasiasa. Bwana John Lexburg kutoka shirika hilo alikaririwa akisema, tatizo kubwa la nchi za kiafrika ni kutojua ni nini maana ya siasa...
  6. Mazoko

    Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

    Samahani kwa hiyo waliofungwa ni CCM!!??
  7. Mazoko

    Wanawake wengine hawajui kusamehe

    Sina hakika kama mama huyu anatambua kiini cha kifo cha mme wake Wanawake wengi wakikosewa huwa ningumu kusamehe na kasahau na mda mwingine wanafika mbali kwenye malipizi. Kwa wakristo tunakumbushwa kusamehe ili nasisi tusamehewe mbinguni R.I.P Rob mungu atahukumu sawa sawa na mapenzi yake
  8. Mazoko

    Kumfunika Komba na Katapilla ilikuwa dharau

    Huyu jamaaa hatabiriki mfuniko mkubwa uliwekwa makusudi bila hivyo angetoroka nakumsumbua Mzee Warioba
  9. Mazoko

    Tido Mhando alishindwa vipi TBC? Je, ataweza Azam kwa Bakhressa?

    Nadhali ulitaka watu wajuwe kuwa TIDO yuko AZAM ila siyo hayo uliyoandika Tido hakufukuzwa ukitaka kujuwa sababu muulize Mzee Makamba
  10. Mazoko

    Kumfunika Komba na Katapilla ilikuwa dharau

    Walitumia catapila ili asije toka ndani ya kaburi akaleta shida kwa watanzania
  11. Mazoko

    Mohamed Said, Mashujaa walikuwa "wazee wako" tu?

    Wasomaji nadhani mnapata taabu kuelewa huyu jamaa aliandika historia ya wazee wa kiislamu na siyo historia ya Tanganyika kwakuwa haijui Nahili nijambo la kawaida mtu akitafuta historia ya jambo fulani kwa manufaa yake inakubalika ingawa nidhambi tena kubwa kuupotosha UMA kwa uwongo hii ni...
  12. Mazoko

    Crazy things you did in secondary school

    Mimi nilikuwa kama wewe
  13. Mazoko

    Kamanda Kova kama hii ni amri ifute

    Umejitaidi kuandika kiswahili ila usikate tamaa utajuwa
  14. Mazoko

    Kamanda Kova kama hii ni amri ifute

    Hakuna utaratibu wa dk 20 labda mbagala kilwa road au Nyerere road huku kwingine ni dk 5 au 7
  15. Mazoko

    Kamanda Kova kama hii ni amri ifute

    Nikweli ila hana ruhusa yakusimamisha magari
  16. Mazoko

    Kamanda Kova kama hii ni amri ifute

    Sisi watumiaji wa barabara ya Alhasan Mwinyi tukifika salenda tunakerwa sana na tabia hii ya maaskali wako kutusimamisha kwazaidia ya dk 15 mpaka wewe upite sidhani kama hii ni sawa leo tumekaa zaidi ya dk 18 ndiyo wewe unapita Tunavyojuwa wakuu wa nchi ndiyo wanaruhusa yakutuweka wewe uko...
  17. Mazoko

    TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    Nakupa mengine. 1.Alikuwa mpenzi wa LULU 2.Mbunge aliyelewa madaraka kwenye bunge la katiba 3.Kafa kwakutunga nyimbo za katiba nyingine wengine watakupa
  18. Mazoko

    Andika haya maneno kwa Kiswahili

    Si kipaa anga ila ni ndege
  19. Mazoko

    Amakweli Ufisadi ni tabia ya ccm yaani wanaweza "Kujiibia"wao wenyewe...!!

    Mnunuzi ni wao wenyewe dili balaaaa
  20. Mazoko

    TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    Duuu jamaa kaamua kufa mapema akiogopa katiba mpya!!!??
Back
Top Bottom