Search results

  1. S

    Serious Mke anahitajika

    Mimi ni mwanaume, 44 yrs Nina watoto wawili Nimejiajiri kwa shughuli zangu binafsi hapa Dsm Dini yangu ni Mkristo , Mwanamke anaehitajika, Mkristo wa dhehebu lolote , umri, elimu na kabila so kigezo Cha msingi awe mcha Mungu, mwenye upendo na mchapa kazi , Kwa kufahamiana zaidi karibu PM
  2. S

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Natafuta connection ya mnunuzi wa mbao (hardwood) tunaweza fanya kama wabia
  3. S

    Natafuta rafiki mwanaume

    Please check me, kama upo serios
  4. S

    Natafuta rafiki mwanaume

    Please check me inbox
  5. S

    Niliyoyaona Kenya, Tanzania is better a million times

    Hebu tutolee upunguani wako hapa, umeenda Nairobi ukitegemea utapewa chakula cha bure kama ulivyozoea kugongea beer mitaani? Naamini kabisa ulikuwa unaishi River Road. Watanzania tuepukane na hizi kasumba za wivu wa kitoto, zimwi tunaishi nalo humu CCM
  6. S

    Ujio wa Rais Obama Kenya tuna cha kujifunza sisi kama Tanzania

    Tatizo Watanzania tumejawa chuki na wivu, mnaposema Wakenya ni wakabila mnasahau kwamba na Watanzania ni mapoyoyo tuluotawaliwa na mfumo wa chama kimoja had I Leo, Umasikini umekuwa sofa yet kuu Ukiangalia majirani zetu katika kumpokea Obama media zote zimeungana kuonyesha uzalendo wao na...
  7. S

    Fursa kwa Watanzania wanaolima Mboga wanaotaka kuzisafirisha Ulaya, Pitieni hapa

    Tujadili fursa tuache kumjadili Faizafoxy sio kila anachokisema ni kibaya jamani
  8. S

    Viongozi TPDC watiwa mbaroni kwa kuinyima PAC mikataba ya gesi tangu 2012

    Zitto nimemkubali, ndio aina viongozi tunaowataka, hata jamaa wakitolewa leo kwa dhamana msg imeshafika
  9. S

    Kitila Mkumbo: Kikwete mweledi pekee mchakato wa Katiba

    Ushauri wangu kwa wana JF tujitahidi kusoma na kuelewa maada kabla ya kukurupuka na kutoa kejeli, ina hitaji weledi wa ziada kusoma na kuelewa maudhui ya maandiko ya mwanazuoni kama kitila mkumbo
  10. S

    AG WEREMA aomba MSAMAHA KWA KAULI YA KIBAGUZI KWA WAZANZIBAR

    Zanzibar si ni Nchi na huko si ndio kwenu? Mnataka nini tena? Mkiambiwa serikali moja hamtaki. Kwa mara ya kwanza namuunga mkono Werema
  11. S

    Seif Sharifu Hamad anasubiri nini kujitoa?

    Seif Sharifu Hamad na viongozi wengine (CUF) waliopo katika Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar, wanatakiwa kuwaunga mkono wana UKAWA kwa kujitoa katika hiyo serikali, Maana CUF na Sharifu ndio wameshambuliwa zaidi na LUKUVI kuwa ni UAMSHO. Kwa sasa Sharif aache tabia yake ya kuchochea mambo...
  12. S

    Mh. Joseph Mbillinyi familia yako inakulilia

    Sugu awe makini Faiza asije angukia mikononi mwa MWIGULU maana binti ni mrembo
  13. S

    Zitto Kabwe aunga Mkono Serikali 3 baada ya Hotuba ya Jaji Warioba Dodoma

    Tanzania ni Nchi inayojitegemea kutokana na aina wa Muungano wetu, hatuna haja ya kuiga hiyo miundo mingine ya "nchi nyingine duniani"
  14. S

    Hizi hapa ambulance bajaj made in Mwanza, Tanzania

    Hamna chochote kilichobuniwa hapo, Engine na chasis vyote ni mchina, hivi ni welder gani atashindwa kutengeza hio body? Hebu angalia humo ndani, mabati matupu hata huyo mgonjwa anaweza pata magonjwa mapya, miaka 50 baada ya uhuru hatutakiwi kuwapandisha mama zetu , wake zetu hasa waliopo...
  15. S

    Bomba la Gesi Mtwara:A "20 -Year Grace Period" ya Mkopo wa Exim Bank-China ni "Changa la Macho?!".

    Kinachosikitisha kuhusu huu mradi ni suala la Ajira na vitendea kazi, Last week nilikua pale CPTDC Masaki wafanyakazi wote ni wachina isipokuwa madereva tu, ambao nao wanalalamika wanafanyishwa kazi bila kuzingatia mida ya kazi na malipo yao vi viduchu. Nafikiri Serikali zetu ziwe makini kwenye...
  16. S

    Excavators zinahitajika

    Wana Jamvi, Zinahitajika tatu, ziwe katika hali nzuri si zaidi ya miaka mitano. Chain roller, Aina Komatsu 200 ama Hyundai 200
  17. S

    Nahitaji spare za nissan xtrail 2002

    Nenda Master Card Barabara ya Msimbazi
  18. S

    Cabinet reshuffle: This is a disgustingly bad joke, Mr President

    Inasikitisha Sana, Mtu kama Mwigulu ama Mkamia amefanya nini hasa cha maana kwa Nchi ama yeye binafsi kinachompa sifa ya kuteuliwa Unaibu waziri, Mh. Mwigulu zaidi ya kufanya BOT mwaka 2006 hadi 2010 (tunaongelea uzoefu wa miaka minne) kama Economist 1 zaidi ya hapo ni siasa tu, ataleta...
  19. S

    Dr.Kitila Mkumbo: Tunahitaji mbadala wa CCM na CHADEMA

    Inahitaji Weledi wa hali ya juu kumuelewa Nguli Kitila Mkumbo, Pale tutakapoacha kushabikia Viongozi na badala yake kupenda CHAMA, tutaweza kuchambua hoja za msingi na kasoro zilizopo katika uongozi.
Back
Top Bottom