Search results

  1. N

    Msaada wa Haraka: Lodge au hotel kiluvya

    hebu ulizia bonag kama sija miss spell.kiluvya kwa kawawa.
  2. N

    Karibu kwetu tukuyu!

    mwe naloli kumitu kununu fijo.......yaani kwetu pazuri.nice pics mdau.
  3. N

    UDSM yashuka kwenye list ya 'Top African universities'

    Inasikitisha sana wadau. we need to do something zaidi ya kulaumiana. ushauri,wana jamii tuandae kongamano la waliopita au waliopo usdm tutafakari nini cha kuwashauri wana magamba jinsi ya kuokoa taaluma yetu.
  4. N

    Nawatafuta ma best zangu Mbuyuni Primary school Tanga

    Sawa kaka,samahani kwa kuwa umesihi tanga unaweza kumfahamu maia mamuya.namtafuta sana.
  5. N

    Rafiki kutambulishwa kwa mke/mume/mchumba? IS IT REASONABLE?

    jibu rahisi,hivi yeye akija na mwanamume kama mimi,akasema ni rafiki yake,wewe utapokeaje?
  6. N

    People to meet...

    first lady and fidel
  7. N

    Jerry Muro: From ITV to TBC1

    Huyo kijana yuko hapa mjini,nilimuona jumapili amekaa pale kwenye magogo ya mnazi ,samaki samaki,mlimani city.kweli kazi yake tinai miss.mwenye habari zaidi atuhabarishe jamani.
  8. N

    TBL na Serengeti Bia

    Hao walie tu.dhama za kuhodhi zimeshakwisha.Cha kufanya wapambane sokono kwa ubora wa bidhaa zao na huduma nyingine.wasipo kuwa makini ,watakwama ,kwa sabau wa Tanaznia wasasa ni waelewa,hawapendi kupelekw pelekwa.Tutaisimamia serengeti wasionewe.
  9. N

    Futari wapi DSM?

    Unaweza chek na Peacock,wanatao huduma nzuri ya Futari.
  10. N

    ~*Ramadhan njema ndugu zangu*~

    Nawatakia wana jamii wote mfungo mwema.Mungu atupe nguvu tumalize salama.
Back
Top Bottom