Please visit DSE Blog and Social media pages for more information about Stock exchange.
facebook: https://www.facebook.com/dsetanzaniia
twitter:https://twitter.com/dsetanzania
Blog: Dar es Salaam Stock Exchange
Youtube: dsetanzania - YouTube
Linkedin: tz.linkedin.com/pub/dse-tanzania/7a/345/b06/
Huu ni muendelezo wa vipindi vya Dar es salaam Stock Exchange, na Leo DSE inakuletea Mahajiano na Makampuni yaliyooredheshwa katika Soko la hisa nayo ni Maendeleo Bank, SwissPort Na Tanga Cement
Please follow the Interview made by The Guardian with Ms Massinda, CEO of Capital Markets & Securities Authority (CMSA) about Entrepreneurs use of Capital Markets to get long-term capital.
Read for yourself: Home
Kuhusu mchakato huu wasiiana moja kwa moja na wataalamu waliopewa leseni na mamlaka husika kwa kazi hiyo kupitia: (DSE: Dar es Salaam Stock Exchange).
Kwa maelezo ya jumla tembelea tovuti ya Dar es Salaaam Stock Exchange (DSE), facebook page ya DSE (https://www.facebook.com/dsetanzania), blog...
Hii ni taaluma nyeti na hili kupata maelezo yatakayokidhi kiu yako wasiliana moja kwa moja na wataalamu waliopewa leseni na mamlaka husika kwa kazi hiyo kupitia: (DSE: Dar es Salaam Stock Exchange).
Kwa maelezo ya jumla tembelea tovuti ya Dar es Salaaam Stock Exchange (DSE), facebook page ya...
Huo mpango wako ni mzuri. Ukiwasiliana na Market Participants wa Dar es Salaam Stock Exchange (DSE: Dar es Salaam Stock Exchange) watakupa maelezo ya kina kuhusu products/plans zilizoko nchini ili uweze kufanya uamuzi.
Lack of trust among businessmen could be the main reason behind the failure of ventures to expand, unable to compete with incoming foreigners and scooping all business and contracts as locals are sidelined.
Read more: Home
Mahojiano ya DSE na Makampuni yaliyoorodheshwa kwenye Soko la hisa la Dar es salaam Stock Exchange, makampuni hayo ni Precision Air, TCC na CRDB.
Part 1
part 2
LIJUE SOKO LA HISA, MOTIVATIONAL TALKS VIDEO, ni muendelezo wa vipindi vya Dar es salaam stock exchange, ambayo vinaendelea kuonyeshwa kwenye Television na Radio mbali mbali hapa Nchini
Link to video Kama ulikosa kuona.
Lijue soko la Hisa - Motivational Talks 1- #01 - YouTube
Kwa ratiba za...
WASANII wa Kenya, Rwanda, Uganda na Burundi waliofika kuzuru kaburi la aliyekuwa legendary wa sinema za Kibongo, marehemu Steven Kanumba The Great, wameibua simanzi upya na kumsababisha mama wa marehemu, Flora Mtegoa kuangua kilio upya kwa mara nyingine.
Kwa picha zaidi Tembelea Blog ya...
Jana tarehe 11 oct, Waziri wa Habari,vijana,Utamaduni na michezo Dr. Fenella Mukangara,alizindua ile filamu inaliyokuwa inasubiriwa kwa hamu, Yaani Wekeza inalipa,
iliyoigizwa na wasanii wakali kutoka East Africa, yaani Kenya,Uganda,Rwanda, Burundi na Tanzania.
Hii habari imechapishwa na...
Hizi hapa ni address za DSE kama ulivyoomba.
Dar es Salaam Stock Exchange,
14th Floor, Golden Jubilee Towers,
Ohio Street.
P. O. Box 70081, Dar es Salaam, Tanzania
Tel: 255 22 2135779, 2123983, 2128522
Fax: +255 22 2133849
Email: info@dse.co.tz
Website: DSE: Dar es Salaam Stock...
Dar es salaam Stock exchange inakuletea filamu kali, ikishirikiana na wasanii maarufu wa East Africa, yaani Kenya, Uganda,Rwanda na Burundi.
Filamu hii itakuwa inahusu kukuza ujasiriamali, huu ni muendelezo wa DAR ES SALAAM STOCK EXCHANGE kukuza ujasiriamali kupitia kampeni yake ya WEKEZA...
Week ndio inaanza,
Usikose kuangalia mwendelezo wa vipindi vya "WEKEZA INALIPA" kwenye TV na Radio.
RATIBA.
TBC1:
Wednesday:
19:00-19:30
TBC Taifa:
Wednesday:
19:30-20:00
ITV:
Thursday:
18:30-19:00
RADIO ONE:
Thursday:
17:30-18:00
STAR TV:
Sunday:
15:00-15:30
RADIO FREE AFRICA:
Sunday...
Mabalozi wa DSE kwenye kampeni ya wekeza inalipa kutoka kushoto ni Slim Omary, Rose Ndauka,
Yobneshi Yussuph aka Batuli na mwisho kabisa ni Richie Mtambalike.
Richie Mtambalike
Yobneshi Yussuph aka Batuli
Rose Ndauka
Slim Omary
Kwa hisani ya: Dar es Salaam Stock...
Ni kweli, orodha tuliyoonesha ni "firms" ndizo zilizopewa leseni kama NOMADs, ambapo kati ya waajiriwa wao wapo representative ambao nao wanapaswa kuwa na wamefanya na kufaulu mtihani unaotolewa na mamlaka husika (CMSA).
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.