Search results

  1. K

    Wanafunzi wa kike wanapomtongoza mwalimu wa kiume

    Nilidhani kutongoza walimu wanafanya wanafunzi wa sekondari tu. Nimeshangaa kusikia hata primary wanafanya.
  2. K

    Swali gumu aliloulizwa Rais Samia nchini Marekani

    Julius Nyerere alikuwa na GPA ndogo kuliko wote Darasani mwake.
  3. K

    Rais Samia, kataa ombi la Jenerali Venance Mabeyo kustaafu

    Wewe umeelewa. Achana na genge la wasiojua.
  4. K

    Rais Samia, kataa ombi la Jenerali Venance Mabeyo kustaafu

    Nimeangalia video ambayo Mkuu wa majesho yetu, Jenerali Venance Mabeyo akiongoza harambee ya kuchangia fedha kwa ujenzi wa moja ya parokia ya Kanisa Kaoliki, nadhani ni ya Kawe kama sijakosea. Katika misa na hafla ile Generali Mabeyo aliwaongoza vizuri sana wanajeshi wenzake wakachangia fedha...
  5. K

    Katiba inaonesha Rais akiwa nje ya nchi majukumu yanabaki kwa Makamu. Kwanini Rais anatoa 'press' akiwa nje?

    Ibara ya 47(1)(c) inasema wazi kwamba Rais akiwa hayupo Makamu wa Rais anafanya kazi zote za Urais na ninainukuaa hapa chini, "Kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atakuwa ndiye Msaidizi Mkuu wa Rais kuhusu mambo yote ya Jamhuri ya Muungano kwa jumla, na atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko...
  6. K

    Katiba inaonesha Rais akiwa nje ya nchi majukumu yanabaki kwa Makamu. Kwanini Rais anatoa 'press' akiwa nje?

    Acha kudanganya watu ujinga wako na hutaji ibara yoyote inayoseea unayosema. kinyume chake ibara ya 47(1)(c) inasema wazi kwamba Rais akiwa hayupo Makamu wa Rais anafanya kazi zote za Urais na ninainukuaa hapa chini, "Kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atakuwa ndiye Msaidizi Mkuu wa Rais kuhusu...
  7. K

    Katiba inaonesha Rais akiwa nje ya nchi majukumu yanabaki kwa Makamu. Kwanini Rais anatoa 'press' akiwa nje?

    Rais akiwa nje hawezibkutekeleza majukumu yake. https://www.jamiiforums.com/threads/rais-samia-hakuhitaji-kiapo-cha-urais.1927483/#post-40687355
  8. K

    Rais hapaswi kufanya kazi za kawaida za Rais akiwa nje ya nchi

    Wakati Rais Samia ambaye yuko Marekani, nje ya nchi, kamteua Rosemary Slaa kuwa Mwenyekiti wa bodi ya MSD.
  9. K

    Rais Samia Hakuhitaji Kiapo cha Urais

    Muulize mwandish wa makala.
  10. K

    Rais Samia Hakuhitaji Kiapo cha Urais

    Ndiyo maana Samia anasema Katiba mpya si hitaji la wengi maana hamuijui hata ya sasa, kama wewe.
  11. K

    Rais Samia Hakuhitaji Kiapo cha Urais

    Nilikwambia, hawataelewa na wengine hawatasoma kabisa kama huyu anaishia kudhani.
  12. K

    Rais Samia Hakuhitaji Kiapo cha Urais

    Hawataelewa
  13. K

    Rais Samia kajisafisha, kaonesha dhamira njema, Majaji waliosigina sheria na Katiba wanajisafishaje?

    Siyo kila jaji ni mpuuzi. Wako majaji majadiri na wazalendo kama Jaji Rumanyika au Ndika wote hawa wako Mahakama ya Rufani.
  14. K

    Dodoma: Makamu wa Rais Dkt Mpango avunja mkataba wa kampuni ya kuzoa takataka ya Green Waste

    Makamu wa Rais hana mamlaka hayo, yeye siyo rais.
  15. K

    Nani mwenye jukumu la kurekodi yanayoendelea Mahakamani?

    Wewe ni mtu wa ajabu sana. Watu wanajadili kuhusu sheria ya nchi wewe unasema tusubiri wanasheria. Hivi sheria imetungwa kwa ajili yako au kwa ajili ya mwanasheria?
  16. K

    Tulia Ackson umepotosha umma: Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi ya Tanganyika, Zanzibar wana mkuu wa nchi yao

    Jeshi linampigia mizinga 21 Rais wa Zanziba kama wa Tanzania.
  17. K

    TANZIA Rubani wa Ndege iliyotekwa 1982 kushinikiza Nyerere ajiuzulu afariki dunia

    Kuna dada mmoha ni mtoto wzo aliitwa Mage Mazula alikuwa mwimbaji wa bendi moja siikumbuki miaka ya 1994. Kama sikosei ni Tanzanite band.
Back
Top Bottom