Search results

  1. W

    Matokeo ya form IV yasichakachuliwe kama kura za ubunge na za rais

    Imeshazoeleka hapa nchini kuchakachua kura katika chaguzi mbalimbali kama ubunge, urais, udiwani, n.k. Serikali ya CCM isihamishe uchakachuaji huu kwenda kwenye elimu. Kama kuna kosa kubwa lingine ambalo serikali ya CCM itafanya ni kubadilisha matokeo ya form form ya mwaka 2012. Taasisi...
  2. W

    Makinda na Ndugai wafukuzwe uspika na Samwel Sitta arudi kwenye kiti

    Wazo zuri lakini hatua ya kwanza ni Mzee wa speed na viwango Sitta arudi katika kiti cha uspika
  3. W

    Makinda na Ndugai wafukuzwe uspika na Samwel Sitta arudi kwenye kiti

    Fafanua mkuu, huu ujumbe wa leo.
  4. W

    Makinda na Ndugai wafukuzwe uspika na Samwel Sitta arudi kwenye kiti

    Wakati umefika kwa Anna Makinda na Job Ndugai kufukuzwa uspika. Hali ya sasa inayoendelea bungeni inatia aibu, inasikitisha, kuhuzunisha, na kukasirisha. Ni aibu kwa taifa zima kuona namna Makinda na Ndugai wanavyoendesha bunge kama vile wanaendesha familia zao. Wanaendesha bunge kwa mihemko ya...
  5. W

    A failed assassination plot against Dr. Ulimboka...

    Hawa wanaopanga kuua wengine wanaishi kama wao hawatakufa vile. Nao siku yao itafika watakufa tu, hakuna anayeishi milele bali mwenyezi Mungu pekee.
  6. W

    Urithi wa Kikwete kwa Watanzania ni ubaguzi?

    Kunahitajika mikakati ya kizalendo kutoka kwa wazalendo. Ifike mahali tuseme sisi kama Watanzania misingi yetu ya kitaifa ni Umoja. Watawala na wananchi watekeleze msingi huu kwa vitendo. Nyerere alituachia msingi wa umoja. Na kuwa serikali haina dini ila wananchi wake wana-imani zao. Tusikubali...
  7. W

    Urithi wa Kikwete kwa Watanzania ni ubaguzi?

    Hali ya sasa ya udini imenikumbusha threadi hii niliyoposti mwaka 2009 kwamba urithi wa utawala wa Kikwete ni udini. Kwamba Kikwete ataiacha nchi iliyogawanyikakwa misingi ya kidini. Nahisi hii ni mpango wake mahsusi wa kuficha udhaifu wake wa ki-utawala na matendo yake mabaya ya utawala wake.
  8. W

    Ben Saanane naweza kumfanananisha na huyu...

    Saanene amezidi kuthibitisha rangi halisi ya Zitto..Ni fisadi lililojificha, anaubinafsi uliopindukia hata anatishia kuua watu pamoja na panya wakio katika nyumba zao
  9. W

    Majibu ya Zitto juu ya shutma za kuhujumu CHADEMA

    Nimeaga kwetu, nina uwezo wa kuua wapinzani wangu na kila kitu chao pamoja na panya ndani ya nyumba zao nikiwa hai au nikiwa mfu (Zitto Kabwe, 2012). Kauli hii inasura nyingi. 1. Zitto anaweza kutoa roho ya wapinzani wake katika upuuzi wake wa kufikiri aweza kuwa rais 2. Ina matusi kwa Saanene...
  10. W

    Tanzania Daima lamshambulia Zitto?

    Hoja zako nyepesi nyepesi sana hasa ukizingatia kuwa wewe ni mmoja wa waanzilishi wa JF. Nakushauri kabla hujaleta mawazo yako hapa peleka kwa Kiranga au Mwanakijiji wafanya uhariri. Hoja zako hazifurahishi hata kidogo kwa kuwa hazisaidii akili katika kutafakari. Ulitakiwa kuonyesha kwa mifano...
  11. W

    Pinda alifaa kuwa Waziri wa Mashambani na Si Waziri Mkuu

    Lini Pinda ataachwa kudhalilishwa? Josephat Isango NAOMBA niwakumbushe Watanzania wenzangu maneno yaliyomo katika Azimio la Arusha, naamini maneno haya bado yana maana kubwa sana katika kumkomboa mwananchi. “Tumeonewa kiasi cha kutosha, tumenyonywa kiasi cha kutosha na tumepuuzwa kiasi...
  12. W

    JK ana taarifa za mgomo wa madaktari?

    Mods saidia kuhariri kwa kuondoka box katika story hii, asante
  13. W

    JK ana taarifa za mgomo wa madaktari?

    Sauli Giliard Tanzania Daima SINA nia ya kukuchekesha msomaji wangu lakini nimekaa nikawaza kisha nikadhani kuwa yawezekana Rais wetu Jakaya Kikwete, hana taarifa kama madaktari nchini wako kwenye mgomo kwa zaidi ya wiki mbili sasa. Sijui kama rais anajua...
  14. W

    CCM Wanajidanganya kuhodhi mchakato wa Katiba ni wa wananchi wote

    Ukifuatilia hoja za wana CCM kama vile Jenista Mhagama Bungeni utashangaa. Wanajisahau kiasi kwamba wanadhani katiba ya nchi ni mali ya CCM. Muda huu siyo wa CCM kudanganya wananchi. Huwezi kutenganisha mchakato wa kuunda katiba na katiba yenyewe. Lazima kila mwananchi ashiriki na akubali...
  15. W

    Naacha rasmi kununua na kulisoma Tanzania Daima hadi wazidishe uzalendo wao kwa Tanzania

    Nawafahamisha kuwa nimeanza kusoma tena gazeti la Tanzania daima kuanzia wiki ya jana baada ya kuona Njozi ya Mwanakikji imechapishwa. Leo tena Njozi ipo na gazeti nimenunua linalo. Njozi ya leo inasomo zuri sana kuhusu namna ya kupambana kwa hoja na kundi la watu linalotaka kuandika historia ya...
  16. W

    Mwalimu J.K.Nyerere; Ghadafi Koma Damu Ya Watu Wangu Si Sawa Na Thamani Ya Mafuta Yako..!

    Vijana wa miaka ya 1978 and 1979 wanajua sana ubaya wa Gadafi na hasa wale wa mpakana Kagera
  17. W

    Naacha rasmi kununua na kulisoma Tanzania Daima hadi wazidishe uzalendo wao kwa Tanzania

    Hili gazeti la nani? wewe umeshalisoma tayari? linahabari gani baada ya kulisoma? Je linajenga uzalendo wa mtanzania na kukuza utaifa wetu?
  18. W

    Naacha rasmi kununua na kulisoma Tanzania Daima hadi wazidishe uzalendo wao kwa Tanzania

    Nimetoa jibu tayari. Tunahitaji njia mbalimbali kuurudisha umoja wetu unaoharibiwa na CCM. Hivyo kutumiwa mimi pekee haitoshi. Mawazo ya kizalendo yanahitaji kuenea kwa watanzania wengi, wewe hautaki wananchi waurudie uzalendo wao na kukuza utaifa wetu hadi unapendekeza isomwe na wachache?
  19. W

    Naacha rasmi kununua na kulisoma Tanzania Daima hadi wazidishe uzalendo wao kwa Tanzania

    Wazo zuri, vizuri aseme kwa nini hawatendei haki wasomaji wake.
  20. W

    Naacha rasmi kununua na kulisoma Tanzania Daima hadi wazidishe uzalendo wao kwa Tanzania

    Mimi sikuona marudio, kila sehemu ilikuwa na ujumbe mpya. Habari ya kitabu ni wazo zuri pia, lakini kukuza uzalendo katika nchi yetu unauliwa na CCM tunahitaji mbinu mbalimbali za kuurejesha ikiwemo kuchapisha katika magazeti na baadaye kitabu.
Back
Top Bottom