Search results

  1. Window7

    Gari ulinunua milioni 10.5 mwaka 2020 halafu leo unataka kuliuza milioni 13.5?

    Ukizungumzia depreciation angalia na thamani ya pesa unayozungumzia. TZS inashuka kwa kasi, ukiweka depreciation muuzaji anakua amepata hasara Mara mbili. USD 5000 za 2018 kwa TZS sio sawa na USD 5000 za 2023. Lakini pia, ithaminishe hyo Gari kwa USD kutoka mwaka alionunua, utagundua Kuna...
  2. Window7

    Batch ya kwanza kutoka Mloganzila limeingia mtaani, muwe makini

    Wakumbuke kuwapa tarehe za kurudi service!
  3. Window7

    Unachokoza wanaume halafu unakimbia kujificha nyuma ya mkeo na watoto, Hamas Wanachekesha sana

    Kwa jinsi miaka inavyokwenda, Kuna siku dunia nzima itamuelewa Hitler. Kwa bahat mbaya sana hakua muislamu, hivyo akaitwa Dikteta.. kwa maana ili uwe gaidi sharti kwanza uwe muislamu. Hii post haihusiani na udini, kasome historia ya Hitler.
  4. Window7

    Units nzima ya jeshi la Israel yaangamizwa na Hamas, Wabunge wa Israel walia

    Vita ndio imeanza, nimesikia Yemen nae anapasha.
  5. Window7

    Full Time: AFL: Al Ahly 0-0 Mamelodi Sundowns (Agg 0-1) | Cairo International Stadium | 01.11.2023 |

    VAR imesaidia sana kwenye hii league, hakuna figisu.
  6. Window7

    Tetesi: Mbowe na Dkt. Slaa wafanya kikao cha siri jijini Dar es salaam

    Dr Slaa anaweza kuaminiwa na kizazi cha 2015+ pekee, asubiri kifikie umri wa kupiga kura.
  7. Window7

    Hivi Kuna wapenzi ambao mwanaume ni mfupi na mwanamke ni mrefu?

    Acha woga, tafuta ushauri kwa Steve Nyerere anaangusha tembo.
  8. Window7

    Unasikiliza nyimbo gani kalii hapo

    Capt J. Komba - CCM mbele kwa mbele.
  9. Window7

    Kuwa makini na Apps za Mikopo

    Sielewi kwa nini hii nchi inaruhusu mambo kama haya. Nani mdhibiti wa hivi vikundi? Wanajipangia riba tofaut kabisa na sheria za nchi. Kila unapoingia online wanapiga promo kumbe wananchi wanateseka hivi? Wafungiwe kuanzia sasa waonje maumivu.. CC@Mwigulu
  10. Window7

    Kama hii ndio Bukoba International Bus Terminal, basi Kagera kuongoza kwa umasikini ni ukweli

    Watu wa Bukoba wazito sana kupeleka maendeleo Kwao lakini huku mjini wanaita 1B pesa ya mboga.
  11. Window7

    Sijui kwanini, nahisi kama Kassim Majaliwa Majaliwa atang'olewa Uwaziri Mkuu kabla ya 2025

    Sidhani kama anapwaya ni neno la heshima kwa mtu ambaye alishaonyesha uwezo wake kabla. Namtakia kila la kheir, amalize nngwe salama.
  12. Window7

    Nimepatwa na huzuni kuu baada ya kutangazwa majina ya walimu, nimekuwa nikijitolea bila mafanikio

    Usikate tamaa mkuu, ila kujitolea achana nako tafuta kitu chakufanya. Huwezi kujitolea kwa miaka 6 na umri unaenda.
  13. Window7

    Haya mavazi ya Kipa wa Yanga, Diarra yanafikirisha sana

    Ushabiki usikutoe fahamu, unajua naingiza kiasi gani? Au unataka nitaje ionekane nakunyanyasa ndani ya nchi yako? You're playing with lion's balls son.
  14. Window7

    Suala la Rais Samia kutoa pesa na ndege kwa timu kusafiria ni kwa gharama ya nani?

    Kwenda Algeria tulivumilia ila hili la kwenda Mbeya, hapana. Na msimu ujao, zawadi na posho ikiwemo hizo ofa za Ndege zitangazwe mapema.. Isiwe sasa kisa Yanga kafikia hatua fulani... BTW mashabiki lialia Nendeni Jangwan Kuna mafuriko mkaokoe medali zenu.
  15. Window7

    Haya mavazi ya Kipa wa Yanga, Diarra yanafikirisha sana

    Fei kasema Yanga ni kausha damu, na hizo hela hapo wanazitaka. Utasikia bila Yanga Diamond asingekujua.
  16. Window7

    Ufafanuzi kuhusu RAZABA

    Kwa kipindi chote hicho eneo halijaendelezwa, karibia miaka 50.. kwa sasa mzani umeinama huwezi kuwatoa wananchi pale. Sheria yetu ya ardhi pia iangaliwe upya, inakuaje mtu hajaendeleza eneo miaka yote hiyo na bado ana umiliki? Sheria iwe miaka mitano, kama huna chakufanya eneo linarudi...
  17. Window7

    Inawezekanaje nchi ndogo ya Denmark kuipa misaada nchi kuubwa Tanzania?

    Akili mtu wangu, akili ni kila kitu.
  18. Window7

    Asante Yanga, Sasa Tanzania kupeleka timu 4 CAF

    Yanga wamemuacha mwenzao anashambuliwa peke yake na hoja wameitoa wote kwenye vijiwe nuksi huko. Mods naomba dislike button, siipati kwenye app [emoji13]
  19. Window7

    Sukuma liwe kabila tambulishi la mtanzania

    Wasukuma wameanza kuvuka mipaka sasa, au tuwaachie Mwanza na kanda ya ziwa yote iwe Kuja Dar kwa passport??
Back
Top Bottom