Search results

  1. M

    Nataka kumsahau kabsa!

    Dada usiumize moyo wako mana unaweza pata matatizo makubwa zaidi ya ayo,We mtafute mtoe out sehemu unazujua anazipenda piga na story akitaka mzigo mpe ki ukweli baada ya apo na wewe utakuwa umeshamaliza dukuduku lako kiasi akija mwenye nia ya kukuoa utakuwa free kuwa nae kuliko kujiweka kwenye...
  2. M

    Vichwa Hivi vya Azania Viliishia Wapi?

    >Mwalimu Songoro wa BK a.k. makabati. >Daladala la Shela Beach ubungo posta mwanafunzi wa Azaboy ata usipokuwa na nauli unaenda school na kurudi. >Tuition kwa Emmi >Kuna teacher alikuwa anafundisha hesabu ngumu pale magomeni white anaitwa Marco >Ukikutana na kwayu kama umetoroka unaelekea...
  3. M

    Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

    Mi sijaoa natafuta mdada Mnene kama wewe,maana wanawake wa kiafirika wana asili ya unene,mwanamke nyama,english figure wagonjwa hao. mama pls nipe contact zako
  4. M

    Madereva wa Daladala na Magazeti

    Tabia ya Madereva Daladala kusoma magazeti wakiwa wanaendesha magari ya abiria imekisiri kiasi cha kutishia usalama wetu watumiaji wa Daladala,naomba vyombo usika vichukue atua hii tabia pamoja na ile ya kuendesha gari uku akiongea nasimu.
  5. M

    Najuta nimezaa nje ya ndoa, ushauri wako muhimu sana

    Hongera kaka kwa kupata mapacha uwezi jua ndio bahati yako,Tafuta mtu wa familia mwenye kutunza siri mkae nae muonge jinsi gani yakujitambulisha kule an kuwaeleza kama una mke na watoto pia utawatunza watoto wako wote kadri ya uwezo wako,utalipishwa faini za kidizaini mambo yataisha baada ya mda...
  6. M

    Bajeti ya Ajabu kutokea duniani

    Hao Ndio wachumi wa daraja la kwanza je wasingesoma ingekuwaje na jee hao wa daraja la pili wakoje ikiwa walakwanza ni mjinga kiasi hicho. Ukisema walevi wagome na wavutaji wagome kuvuta wataku LIMBOKA kwani utakuwa unataka kuangusha serikali yao kwa kuanzisha migomo iliyokataliwa na mahakam...
  7. M

    Tundu Lissu amjibu Komba; short and clear

    Mtu na Mjukuu wake labda.
  8. M

    Bungeni Live: June 19, 2012

    Ukiuliza uta ambiwa jamaa usalaama wa taifa.
  9. M

    Bungeni: Mwigulu Nchemba achafua hali ya hewa!

    Ipo siku tutafika tu,Miongozo ni kwa wapinzania tu ila kwa ccm atawatukane wafanyeje amna muongozo.
  10. M

    Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

    Mwigulu Nchemba anajisifia jana yeye ni mchumi wa bank kuu kwa lipi jema BoT ilichofanya kwa ajili ya maendeleo ya nchi hii kipindi yeye yuko kazini kama Mchumi<Mwigulu Nchemba> kwa miaka iyo 8. Anaongea matusi alafu anajisifu yeye ni mchumi kama si kuzaraulisha wachumi waliopo Tanzania kama...
  11. M

    Tundu Lissu amjibu Komba; short and clear

    Duuu Mama Yangu inamana uyu mzee alikuwa anatembea na uyu mtoto mtume!!!!!!!!!! Mila na destruri za kiafrika zinasema mtoto akionyeshwa sehemu za siri za mzazi wake atakuwa ameachiwa laana baada ya kuona viungo vya uzazi vya mzee kwaiyo mtoto uyo ameachiwa laana kwa kuona viungo vya uzazi vya...
  12. M

    mama mkwe jeuri......

    Uyo Dada yuko juu,kwani kuna mimama mkwe mingine inakera sana yani kazi yao nikuingilia mausiano aswa ya watoto wao wa kiume.
  13. M

    Amejitokeza adui wa nne (4) wa maendeleo

    ADUI WA NNE NI CHAMA CHA MAPINDUZI-CCM Ndio kinatuongezea umasikini,ujinga,njaa na vingine..................
  14. M

    Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

    Mwambie awe anatumia Konyagi na Kitungu Swaumu kwa sana,.
  15. M

    Uzalendo wa Mwl Nyerere: Alimtoa mwanae kwenda vitani Uganda. Je, Mwinyi, Mkapa na Kikwete?

    Watoto wa Watanzania wenye asili ya Asia nao wanataka kuwa WabungeMawaziri ukiwambia kwenda jeshini uko haiwausu. Watoto waviongozi wasasa wao wanataka kuwa Wabunge,Mawaziri,Wakurugenzi ata bila kuwa na uzoefu.
  16. M

    Njia ya haja kubwa inawasha sana

    Ujaribu kwenda Pale Opposite na Indumandar Dar es salaam kuna hospital inaitwa Natural Therapy nazani wanadawa za asili zinaweza kukusaidia.
  17. M

    TBC mna bifu gani na CHADEMA?

    TBC wanazani Watanzania bado wamelala,wengi wa wananchi awafatili TBC tena kama mimi ndio sijui ata kama ipo duniani.
  18. M

    Wabunge wa CCM wakataa Kuunga Mkono hoja ya Kujadili Mgomo wa Madaktari

    Ni wakati wetu Watanzania tunaotibiwa na hao madaktari wa nchini kuunga mkono tusitegeme wabunge-ccm ambao ndio wengi kuunga mkono madai ya madakitari kwani wao wana hospitali zao uko India(Mumbai,Appollo,Bangalore).
  19. M

    Tanzania 2012

    Maisha Bora kwa kila Mtanzania. Raisi ameshasema atapeleka bajaj kubebea wagonjwa nazani ndio anafanya majaribio kama ata pikipiki kama itafaa. Mambo yanasikitisha sana wengine wanabeba maiti na pikipiki uku MAMA SALIMA ANAENDA KWENYE KITCHEN PARTY NA MSAFARA WA LAND CRUISER 5. Mungu uliyejuu...
  20. M

    Takataka tanzania

    Kumekuwa na tabia yakutupa takataka ovyo ovyo apa nchini kwetu sasa sijui amna mamlaka za kusimamia ili swala au ndio mamlaka ziko likizo!?uku mtaani kimara matangini kwetu ata ilo gari lakutupa taka alijawai kupita karibuni mwaka sasa watu wameamua kutupa taka mtoni au kwenye mifereji. Kitu...
Back
Top Bottom