Search results

  1. M

    Miradi yote mikubwa iliyoanzishwa kwa pupa na Hayati Magufuli sioni hata mmoja utakaokuwa na ufanisi

    Kubali tu na anza upya, kutumbuliwa kwako na JPM kusikufanye uwe na chuki naye milele.
  2. M

    Miradi yote mikubwa iliyoanzishwa kwa pupa na Hayati Magufuli sioni hata mmoja utakaokuwa na ufanisi

    Kubali tu na anza upya, kutumbuliwa kwako na JPM kusikufanye uwe na chuki naye milele.
  3. M

    Pale upinzani unapoacha kujadili mambo msingi na kuweka nguvu zao kumjadili Makonda! Tuna wapinzani wa hovyo sana!

    Hatuna wapinzani Tanzania ila tuna magenge ya wahuni. Wapinzani wetu ni wa kwenye keyboard wanataka wachukue nchi bila kutoa Jasho kabisa. Wapinzabi wetu wanaogopa kwenda jela kwa kutetea wananchi, mwenzao wa Senegal alikuwa jela na ametoka jela amechukua nchi. Kwa sasa tunahitaji chama kipya...
  4. M

    Mkuu wa FSB wa Urusi asema Marekani, Uingereza, Ukraine ndizo zilizohusika na shambulio la Moscow

    Kitendo walichokifanya ni sawa na kuchezea nyeti za Putini. Watateseka sana kabla ya kuaga dunia.
  5. M

    Kila nikiliangalia bwawa la Mwl. Nyerere natamani kuwachapa makofi wafuatao

    Kuna biashara kubwa sana katika nishati ya umeme. JNHPP limeharibu biashara ya watu wengi sana kuanzia wana siasa na makampuni ya nje yanayomiliki vitalu vya gesi kusini mwa Tanzania ambao walitegemea kuendelea kutuuzia gesi kwa ajili ya kuzalisha umeme.
  6. M

    Kila nikiliangalia bwawa la Mwl. Nyerere natamani kuwachapa makofi wafuatao

    Jitahidi kufikiri kabla ya kuandika. Marekani kuna bwawa la kuzalisha umeme ' Grand Coulee' lilianza uzalishaji mwaka 1942 hadi leo linafanya kazi, miaka 81 bado linazalishaji umeme.
  7. M

    Kila nikiliangalia bwawa la Mwl. Nyerere natamani kuwachapa makofi wafuatao

    Bwawa la kuzalisha umeme kwa kutumia maji gharama za uendeshaji wake ziko chini sana kuliko aina nyingine yoyote. Tuseme tu JNHPP ni 'Game Changer'
  8. M

    Haya yote aliyofeli Rais Magufuli ni madogo sana, mradi wa Stiglers Gorge ndiyo utakuwa tsunami kwenye kushindwa!

    Bila ujasiri wa JPM kujenga JNHPP nchi yote ingekuwa gizani kwa sasa. Wapingaji wa huo mradi huwezi kuwaona hapa tena walikuwa na nia mbaya sana na nchi hii.
  9. M

    Mungu wa Mbinguni mrehemu Shujaa Magufuli, Mtambo namba 9 Bwawa la Nyerere umewashwa jana na namba 8 utawashwa March!

    Nafikiria tu isingekuwa ujasiri wa JPM kuanza ujenzi wa JNPP, nchi ilikuwa inaingia gizani mazima. JNPP ni 'Game Changer' linaenda ku boost uchumi wa nchi hii. Hakika JPM aliona mbali. China walipojenga bwawa la 'Thee Gorges' lenye capacity ya 22,500MW uchumi wao ulianza kukua kwa kasi maana...
  10. M

    Lema: Waliotuambia Lowassa ni Fisadi jana walikaa Viti vya mbele msibani Wakijifanya kulia na kumtolea Matamko mazuri!

    Hivi vyama viwili(CCM na Chadema) ni tatizo kubwa kwa sasa katika nchi yetu. Mnaviziana hadi kwenye misiba kuona nani kasalimiwa kwa kupewa mkono au la! Nani kapewa nafasi ya kuongea kwenye msiba! Mnaenda kwenye misiba kichunguzana na si kuomboleza. Mnatuharibia nchi yetu, wote hamfai.
  11. M

    Monduli: Lema agoma kumpa mkono Makonda

    Bora wewe umesema kweli. Mi CCM na Mi Chadema ni tatizo kubwa sana katika nchi yetu. Hivi vyama viwili vinatuharibia nchi. Tunahitaji chama kipya kisichokuwa na unafiki, majungu na fitina.
  12. M

    Monduli: Lema agoma kumpa mkono Makonda

    Ana matatizo ya akili.
  13. M

    Monduli: Lema agoma kumpa mkono Makonda

    Jinai ya Lema yenyewe inaoza?
  14. M

    Monduli: Lema agoma kumpa mkono Makonda

    Waulize Chadema 'Inside job'
  15. M

    Monduli: Lema agoma kumpa mkono Makonda

    Lema yeye hafai kuwa gerezani kwa kazi yake ya mwanzo ya ujambazi?
  16. M

    Monduli: Lema agoma kumpa mkono Makonda

    Siyo uthubutu ila ni tatizo la akili.
  17. M

    Lema: Waliotuambia Lowassa ni Fisadi jana walikaa Viti vya mbele msibani Wakijifanya kulia na kumtolea Matamko mazuri!

    Kwangu mimi Lema huwa namuweka kundi moja na watu wenye matatizo ya akili.
  18. M

    Lema: Waliotuambia Lowassa ni Fisadi jana walikaa Viti vya mbele msibani Wakijifanya kulia na kumtolea Matamko mazuri!

    CCM na Chadema mnaiharibu sana nchi hii, unafiki, majungu, na mambo mengi ya kuhujumiana na kusingiziana. Tanzania bila CCM na Chadema inawezekana. Tunahitaji chama kipya kitakacholeta mshikamano wa nchi bila chuki na unafiki.
Back
Top Bottom