Kwa nini bei unayouza haiendani na uhalisia maana nimeshauliza viwanja vingi naambiwa bei za juu zaidi na size ni ndogo zaidi ya iyo yako. Tafadhali..nami ni muhitaji
mi ilikuwa issue ya kusindikizwa na wanafamilia huku nikiwa na mawazo lukuki back 2005 KLM to Amsterdam then nkachange to Michgan state kisha Massachusetts.
Sikuthubutu kuinuka kwenye siti nikishakaa hadi ndege itue mwe! Mbaya zaid nlikaa na mthungu haongei ata salamu mwanzo to mwisho wa safari...
Mimi was 2005 to USA..dah vituko vilikuwa vingi but kwa uchache nilishindwa kuflashi choo, airpot Michgan nilirukia elevator inayoshuka badala ya inayopanda nk!
Yaani umenichekesha kweli kwa huo wimbo mliomtungia mama Masawe, hii yaonyesha tulikuwa wote miaka hiyo ya 1997/1998 ivi duh!wanafunzi bana. nawakumbuka "Mkwawa day" kina Puff Dady wakiwahi Dh mezani kwako hupati ugali wala haragwe coz walikuwa wanasanya kwenye kindoo!!!
Mungu alipomuumba Adamu alimpatia mwanamke mmoja tu. Wanaosema haiwezekani wawili tu ni kumkufuru Mungu. Mimi na mume wangu tuna experience ya 100% kwa miaka 6 na tunaamini itaendelea hadi kifo kitakapotutenganisha!!!!!!!!!!!!
Wana JF tulitakiwa kushiriki kikamilifu zoezi la uhamasishaji na hatimaye upigaji kura kuanzia kwetu na familia zetu badala ya kubaki kwenye computure na simu zetu kupiga story za uchaguzi!! Kama unajijua kuwa hukupiga kura na hukuwa na sababu za msingi, bora ukaacha kupiga domo hapa kuhusu...
Kwa kweli rais wetu alichemsha, hotuba yake haikuwa na hadhi ya Urais. Isitoshe naamini madai ya TUCTA ni ya msingi na bila shaka walipopendekeza kima cha chini walitoa pia na altervative source of funds. Serikali ingepunguza matumizi makubwa yasio ya laziam kwa maofisa wake na wanasiasa pamoja...
Fidel umesema kweli, asomaye na afahamu. lakini pia na mengine yanahitajika has kumjali mwanamke-little care, vitu vidogovidogo ndo wwanawake huwa wanamind i.e mapenzi ya huba..
Jamani sio wote wanafanya haya mambo kabla ya ndoa. Pia sidhani kama ni sahihi kusema waschana wanaosoma chuo kikuu ni malaya 'is too theoretical" sio reality. Mm ni shahidi na niliweza kusubiri hadi degree ya pili nilipoingia kwenye ndoa. Nadhani KUTOKUMCHA MUNGU KWA MTU BINAFSI kunachangia...
Jamani wasomi wetu jitahidini basi hiyo elimu mnayopata muitumie kulisaidia taifa zaidi kuliko kuangalia maslahi binafsi. Wingi wa wasomi ungeendana na matumizi na usimamizi wa rasilimali za nchi, duh! tungekuwa mbali.Zito lakini ndo maandalizi ya wadhifa wa juu serikali au??!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.