Search results

  1. kipara feki

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Je inawezekana kutumia kwenye simu?
  2. kipara feki

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Ni kweli kabisa lakini mimi nilienda ofisini wakanipa namba ya mhudumu ili niunganishiwe bure lakini mhudumu hakuwa tayari kunihudumia bure hivyo nikakutana na kijana mmoja anaye sajili laini akanihudumia kwa kulipia
  3. kipara feki

    Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

    Nina jamaa yangu anataka kusoma masters lakini GPA yake haijafika 3 yeye alisoma BED. je inawezekana?
  4. kipara feki

    Ni kosa gani ulilifanya kwenye ujenzi wa nyumba yako na usingependa wengine walirudie?

    Nilimtafuta msimamizi wa ujenzi Mimi nikasafiri kumbe msimamizi akaendelea na mambo yake wakati huo mawe yanasogezwa site, nikapigiwa simu na majirani kuwa mawe yanayoletwa ni machache, nilipo mpigia simu anayeleta akakubali kuwa ni kweli mawe yanayoletwa ni machache nikauliza ni kwa Nini...
  5. kipara feki

    Nauza bajaj niliyoichukua kwa mkopo, atakayeitaka atatakiwa kurudisha rejesho

    Holly Star zingatia ushauri huu ni muhimu mno kwenye maamuzi Yako. Majuto ni mjukuu
  6. kipara feki

    Hii Router 4G inafaa kwa matumizi ya ofisini?

    Kifaa kipi kitanifaa kwa matumizi ya internet Ninahitaji niwe na connect na PC Ninatumia mtandao wa tigo Reuben Challe
  7. kipara feki

    Internet ya uhakika na bei sawa na bure ni Adsl ya TTCL

    Karibu CONTROLA utupe ujuzi wako
  8. kipara feki

    Internet ya uhakika na bei sawa na bure ni Adsl ya TTCL

    Asante. Naomba unishauri router nzuri kwa bei nzuri
  9. kipara feki

    Internet ya uhakika na bei sawa na bure ni Adsl ya TTCL

    Heshima yenu wakuu. Ninahitaji kununua router kwa matumizi binafsi, ninatumia mtandao wa tigo Sina ujuzi wa kujua router ipi inanifaa, kwa nilipiga simu dukani nikaambiwa zipo zinauzwa 140000/= sikutumiwa picha Wala kujua uwezo wake Nikajaribu kuwasiliana na muuzaji mwingine akaniambia zipo...
  10. kipara feki

    Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Wadau tumefika tuendelee na story UMUGHAKA
  11. kipara feki

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Maombi tena🤣🤣🤣🤣
  12. kipara feki

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Ni kweli kabisa bado sijui kuendesha gari
  13. kipara feki

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Vodacom sijaenda na sifahamu kama wana hii huduma
  14. kipara feki

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mimi nilienda ofisini, wanataka leseni na TIN
  15. kipara feki

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Litakuwa jambo jema sana kama akipatikana
  16. kipara feki

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Ndiyo maana nipo hapa ili mambo yaende sawa
  17. kipara feki

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Nipo hapa ili mnipe abc
  18. kipara feki

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Ndiyo maana nipo hapa ili hata kama nimechelewa basi wana Jf wanifanyie wepesi
Back
Top Bottom