Search results

  1. mbuvu

    Najuta kumiliki Harrier 2990cc (Petrol)

    Ili uondokani na tatizo hilo unatakiwa ubadilishe engine na uweke 5s engine,mimi ninayo hiyo tangu nibadilishe engine huu ni mwaka wa tano ipo vizuri sana na fuel consumption iko poa.
  2. mbuvu

    Kubadili engine ya harrier 3.0 four

    Kwa huo ulaji wa 2.5 kwa km lazima kutakuwa na tatizo.Mimi ninayo gari hiyo ya 1mz engine lkn nilibadilisha engine na kuweka 5s na huu nimwaka wa tatu gari iko vizuri na consumption ya mafuta ni nzuri kabisa.Kikubwa umpate fundi mzuri wa mechanic na wa wiring kwani mfumo mzima wa wire...
  3. mbuvu

    Wabunge wataka Milioni 130 badala ya 90 kama mkopo wa gari

    Kwa kuwa ni mkopo wapewe tu hiyo wanayotaka lakini warejeshe asilimia 100 na sio 50 kama miaka ya nyuma.
  4. mbuvu

    Mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa DP - Mch. Christopher Mtikila

    Mwenyezimungu akuweke mahali pema,kwa kadri ya uwezo wako ulitimiza wajibu wako wa kusimamia kile unachoamini bila kutetereka ingawa wengi hawakuwa wakikuelewa lakini ipo siku watakuelewa tu ingawa hautakuwepo tena duniani.
  5. mbuvu

    Mada Maalum kwa Wahasibu, Wakaguzi wa Mahesabu na Wataalam wa Kodi

    hizo ni za long time sikuhizi hakuna kuna CPA(T)
  6. mbuvu

    Mada Maalum kwa Wahasibu, Wakaguzi wa Mahesabu na Wataalam wa Kodi

    Be careful with language hii ni professional inayoheshimika lazima uandike ki weledi
  7. mbuvu

    Wale wa IFM tukutane hapa...

    Ukajitahidi kusoma upate cheti
  8. mbuvu

    Usanii Wa Kuhamia Dodoma: Je, tutakamilisha kuhamia huko baada ya karne nzima?

    Mbona sijasikia wagombea wakilizungumzia hili la serikali kuhamia dodoma au ndio haiwezekani tena.
  9. mbuvu

    Mbona huyu TID amekwisha hivi??

    Yale yale
  10. mbuvu

    blackberry inauzwa sawa na bure

    Picha mkuu
  11. mbuvu

    maziwa madogo (matiti)

    Ili yakuwe yanahitaji kutomaswa sana na kunyonywa hiyo ndio dawa
  12. mbuvu

    Spika wa bunge (Anne Makinda) akiri posho kuongezwa!

    Wanasiasa hebu acheni ubinafsi mmjaribu kuwakumbuka wananchi wa kawaida wanaopata mshahara kima cha chini ambao wao gharama za maisha ziko juu siku zote,hili naliona ni kama bomu linalosubiri kulipuka siku moja.
  13. mbuvu

    Gari ipi itanisaidia kubana matumizi

    Nunua suzuki Kei cc 650,mafuta lita 5 inakwenda km 100.hii itakufaa zaidi
  14. mbuvu

    Wapi wananyoosha bodi na kupaka rangi gari vizuri

    .nenda kwa wachina ndio kazi zao hizo
  15. mbuvu

    Matairi yokohama 205/70 na rim r15 mpya zimetumika 20kms

    Yanaonekana yame expire?kwa sababu yametengenezwa mwaka 2003 so baada ya miaka sita hata kama hayakutumika yanakuwa hayafai tena.
Back
Top Bottom