Search results

  1. chakii

    Nina wazo la biashara japo la naliuza

    Walete walete mkuu....
  2. chakii

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    SIMBA ondoeni timu uwanjani, huu ni udhalilishaji
  3. chakii

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    It's saddened! RIP Habash G
  4. chakii

    Nashughulikia mambo mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

    Nahitaji MTU anayetoa huduma kama hii yako ila aliyepo Dar es salaam
  5. chakii

    INAUZWA Youtube chaneli inauzwa ina subscribe 6526

    Bado hujanijibu swali langu lakini
  6. chakii

    INAUZWA Youtube chaneli inauzwa ina subscribe 6526

    Kwa mwezi mmoja unaweza Ku earn kiasi gani cha pesa kupitia channel yako?
  7. chakii

    Arusha: Abiria wa Mikoani wamekwama!

    Sawa msafiri😀
  8. chakii

    Arusha: Abiria wa Mikoani wamekwama!

    Daraja la msomali lipo Bomang'ombe wilayani Hai au Arusha?
  9. chakii

    DOKEZO Amewasilisha Polisi malalamiko ya ndugu yake kuuawa lakini Askari wa Kituo cha Polisi Kibaha wanamzungusha tu

    Askari wa siku hizi wamekuwa wazembe , hawataki kufanya majukumu Yao kabisa, sasa kazi ya kumkamata muhalifu ni ya raia au Askari?
  10. chakii

    Picha: Unaweza kuishi kwenye Chumba hiki?

    Ndio hamna tatizo. Cha muhimu kuzingatia ni usafi, suala la privacy nalo ni la msingi
  11. chakii

    Naomba Msaada. Nifanyeje ili niweze kupona ini?

    Ondoa hofu utakuwa sawa, Kwani kuna dawa za muda mrefu unazitumia?
  12. chakii

    Naomba kueleweshwa pale Waziri anapotoa mfukoni kwake mil. 50 kusaidia janga la mafuriko jimboni kwake

    Sioni shida mkuu, Yule Pamoja na Kuwa waziri ni mbunge pia! Kuna namna ya kipekee pia anatakiwa kuwajibika kwa wapiga kura wake. Hizo ndio SIASA za afrika zilivyo. Utakula ulipo peleka mboga
  13. chakii

    Lema : Tutapigana kufa kupona Uchaguzi mkuu, Msiogope

    Mh Lema tunakusubiria
  14. chakii

    Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Sina uhakika na hayo maneno unayotaka kunilisha ndugu yangu
  15. chakii

    Wanafunzi Saba wahofiwa kupoteza Maisha baada ya School Bus kuanguka kwenye korongo (Sinoni, Arusha)

    Its sad watoto wasiokuwa na hatia wamepoteza maisha kutokana na uzembe wa dereva
  16. chakii

    Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Haya mambo hayana mjanja
  17. chakii

    Mchengerwa akabidhi Tsh. 50,000,000 kutoka mshahara wake kusaidia Wanarufiji waliokumbwa na mafuriko

    Mkwe wa Rais lazima ana backup, na pesa itarudi Tu hiyo maana bila kufanya hivyo Ubunge wake wa 2025 utakuwa mgumu Sana unless asuburie ubunge wa kuteuliwa kutoka kwa mama mkwe wake Sa100
  18. chakii

    TANZIA Mtangazaji nguli, Baba T wa East Africa Radio afariki dunia

    My heartfelt condolences to the family and friends of the departure..
Back
Top Bottom