Search results

  1. H

    Tanzanian flamingos face mining threat

    yes! inatubidi tuliangalie sana hilo kabla hatujaanza kuyachimba madini hayo. kwa kweli ndege hawa ni fahari sanaaaa!
  2. H

    Hukumu ya Zombe: Aachiwa!

    ***BREAKING NEWS: Watuhumiwa wote kesi ya ZOMBE waachiliwa huru!!!*** Monday, 17 August 2009 12:26 Hukumu iliyosomwa na JAJI Salum Masati iliyochukua takribani masaa sita, leo katika Mahakama Kuu ya Tanzania...
  3. H

    LAWAMA KWA wana-CCM tu?

    Kabla ya Kulaumu ni vizuri ukashauri,na ukitoa ushauri ikashindikana hapo ndipo unaweza kuanza kulaumu. TUNATAKA KUJENGA TAIFA LETU NA WALA SIO KUHARIBU
  4. H

    Shule zetu za msingi na mishahara minono ya wabunge, mawaziri - ni aibu.

    Hivi unajua inatisha, watanzania wenzetu na serikali yetu hii,hii ya tanzania! Tunaomba Tuwe na huruma kuangalia maeneo kama haya. Hivi wahusika wakuu wa wilaya hii wapo au wapo kwa jina tu. Tunaomba serikali iliangalie sana swala hili na ilitendee kazi. Kama wahusika wa wilaya hii wapo lakini...
  5. H

    Meremeta & TANGOLD Revealed!

    Good informations
  6. H

    Legacy ya Prof Haroub Othman Miraji

    kwa kweli kwa Tanzania tumempoteza Mwanasiasa na chombo cha kimataifa katika siasa. Ukianzia katika mchango wake katika Siasa ya East afrika na tanzania kwa ujumla ,pia amechangia pakubwa hata kuwapika na kuhakikisha wanasiasa wengi wa tanzania wanaiva kisiasa kwa njia ya kutoa mawazo yake...
  7. H

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Chama tawala kazi yake ni kulinda maslahi ya chama, na pia kuhakikishia wananchi utawala bora. CCM haibagui wala haina hadaa ya dini yoyote katika nchi hii. Na ndio maana Serikali iliamua mahakama ya kadhi kutokuwa sehemu ya serkali ila iwe sehemu dini. Na kitendo cha baraza la viongozi wakuu wa...
  8. H

    Mufti Simba aagiza Waislamu waikatae CCM

    Ni kweli, Mufti inabidi aiangalie kauli yake kwa upya. si vizuri kuambatisha vitu vinavyohusu dini fulani na serikali na pia alipaswa kuelewa kwamba serikali haina dini
Back
Top Bottom