Search results

  1. Ona Sasa

    Naomba kujua Bei ya Choroko kwa kilo

    Nipo Dar kwa sasa ila nitafurahi kujua bei na upatikanaji wa popote ilipo choroko 0786 711 786
  2. Ona Sasa

    Naomba kujua Bei ya Choroko kwa kilo

    Nahitaji in bulk, tayari nime pm
  3. Ona Sasa

    Naomba kujua Bei ya Choroko kwa kilo

    Nashukuru, nitafurahi kuendelea kupata taarifa kutoka sehemu zingine
  4. Ona Sasa

    Naomba kujua Bei ya Choroko kwa kilo

    Naomba mwenye ufahamu wa bei ya choroko kwa kilo sehemu mbali mbali hapa nchini kwa kipindi hiki anijuze. Natanguliza shukrani.
  5. Ona Sasa

    Ninahitaji jiko la kuoka mikate kwa mkaa

    Nashukuru nitafika muda si mrefu
  6. Ona Sasa

    Ninahitaji jiko la kuoka mikate kwa mkaa

    Habari Nipo Dar, ninahitaji jiko la kuoka mkate kwa mkaa, tafadhari tuwasiliane, 0786 711 786 kama hili hapa chini, nitafurahi nikimpata mtengenezaji ambaye si mchuuzi
  7. Ona Sasa

    Wadau Wa Hiliki Tukutane hapa

    Nawatafuta wauzaji wa hii bidhaa, wanaosafirisha nje, ukiwapata nami nijulishe @ 0786711786 Green Cardamon CIF KARACHI OR PORT OF AFGHANISTAN Qty TBA by seller Origin ANY except India Size 7-8mm Payment TBA by seller Quick action is needed.
  8. Ona Sasa

    WHO: Maambukizi ya Tanzania yanaenea kwa sababu Serikali haifuati miongozo ya afya ya kimataifa

    Corona Corona siyo siasa, watu wanafiwa na wapendwa wao na hawatawaona tena millele, wewe unasema tu, kuna siku hatutaona post zako hapa
  9. Ona Sasa

    Narudi tena kwenye Kilimo cha Nyanya. Mniombee

    Huo ndi ujasiliamali, sehemu ulipoishia, ndio unaazia. Haijalishi iliihia kwa kushindwa au kufaulu. PATA HIKI KITABU Usindikaji na uhifadhi wa nyanya kwa matumizi ya baadae Kitakusaidia kwa malengo yako makubwa 0756419549
  10. Ona Sasa

    Usindikaji na uhifadhi wa nyanya kwa matumizi ya baadae

    KUPATA KITABU CHA USINDIKAJI NA UHIFADHI WA NYANYA PIGA 0756 41 95 49
  11. Ona Sasa

    Usindikaji na uhifadhi wa nyanya kwa matumizi ya baadae

    Hiki kitabu kina ufafanuzi wa hatua kwa hatua ukiambatana na picha kuhusu kusindika na kuhifadhi nyanya. Katika hiki kitabu kuna taarifa ambazo zitamfanya mjasiliamali kuelewa zaidi kwa sababu ni njia rahisi na mazingira ni rafiki kwa kila mtu ambaye angependa kujua kuhusu uhifadhi wa nyaya kwa...
  12. Ona Sasa

    Usindikaji na uhifadhi wa nyanya kwa matumizi ya baadae

    Kumekuwepo na utaratibu wa wakulima wetu kulima zao hili kwa pamoja, hii inatokana na hali ya hewa ya mahali husika pamoja na utaratibu wa watu kufanya kama wengine. Hali hii husababisha zao la nyanya kushuka ghafla bei sokoni kutokana na wingi wa nyanya. Tumeshuhudia watu wakipata hasara kubwa...
  13. Ona Sasa

    Ninauza Kiwanja Mbezi

    Kiwanja kipo Mbezi Malamba mawili, njia ya kwenda kinyerezi. Ukubwa wa 520 sqm Bei ni 12,000,000 Malipo ni cash Umeme na barabara ni hapo hapo Kinafaa kwa matumizi ya makazi na biashara kwani kiko kwenye center nzuri sana Call me 0685 810 420 ama WhatsApp 0685 810 420
  14. Ona Sasa

    Plot4Sale Ninauza Kiwanja Mbezi

    Kiwanja kipo Mbezi Malamba mawili, njia ya kwenda kinyerezi. Ukubwa wa 520 sqm Bei ni 12,000,000 Malipo ni cash Umeme na barabara ni hapo hapo Kinafaa kwa matumizi ya makazi na biashara kwani kiko kwenye center nzuri sana Call me 0685 810 420 ama WhatsApp 0685 810 420
  15. Ona Sasa

    Pilipili

    Pili pili zako nzuri sana hongera sana, nimezikuta sehemu na kutumia, nashawishika kusema nitakuja kutafuta stocj ya kutosha
  16. Ona Sasa

    Plot4Sale Kiwanja Eneo Zuri kwa Biashara na makazi kinauzwa, Mbezi Marambamawili

    Mheshimiwa mob hiyo tofauti ya bei niliyotangaza na yako ni kubwa muno, hata kama kuna kuelewana ni kweli kuna sehemu tutakutana? Nimekupa maelezo kamili inbox
  17. Ona Sasa

    Plot4Sale Kiwanja Eneo Zuri kwa Biashara na makazi kinauzwa, Mbezi Marambamawili

    Kiwanja kipo: Mbezi Malamba mawili, Mzalendo Steet Ukubwa: 26" x 20" Bei : 12M Eneo: Zuri sana kwa makzi na biashara Mwenye nia ya kununua tuwasiliane 0685 810 420, tutapeana maelezo zaidi ikiwemo pia kuelewana. Karibuni
  18. Ona Sasa

    Plot4Sale Kiwanja Eneo Zuri kwa Biashara na makazi kinauzwa, Mbezi Marambamawili

    Nashukuru kwa walionishauri. Kiwanja kipo: Mbezi Malamba mawili, Mzalendo Steet Ukubwa: 26" x 20" Bei : 12M Eneo: Zuri sana kwa makzi na biashara Mwenye nia ya kununua tuwasiliane 0685 810 420, tutapeana maelezo zaidi ikiwemo pia kuelewana. Karibuni
Back
Top Bottom