Search results

  1. Homo Habilis

    Mrejesho: Tayari nimeshatoa maamuzi

    JembePoli niungie huyo wa kwanza anaweza kufaa huku mitaa yetu tunatafuta wake wenye utulivu wa nafsi kama yake.
  2. Homo Habilis

    The difference between meditation and hypnosis is very stark

    Napenda hii kitu program iingizwe kwenye mitaala ya elimu Tanzania natumai tutapata faida kubwa sana kwa ustawi wa familia na Taifa kiujumla.
  3. Homo Habilis

    Rock City Mall-Mwanza

    Wana shule zina majina yao mama salama kikwete sec skuli..yusuph makamba sec..bora hata zenji kuna majina asili Dole skuli..makunduchi skuli..kitopeni skuli.. manake haya majina ya wanasiasa hayana lolote la maana
  4. Homo Habilis

    Unaonyeshwa mapenzi yote, lakini ukisema tu nina mimba Jamaa anakuacha

    Ahsante kwa kuanzisha mada! Karibu ututembelee kijiwe cha mkamba.
  5. Homo Habilis

    Msaada: Mpenzi anataka nichore tattoo

    Akili ama matope?? Nawaonea huruma sana wenye kupenda kupitiliza mpk fahamu zinahama kiwiliwili.
  6. Homo Habilis

    The U.S Needs to Stop Ignoring Tanzania's Media Crackdowns

    chosenman unaquote gazeti zima kwa sentensi mbili tu.!
  7. Homo Habilis

    Hubert Kairuki Memorial University

    Dah aisee yaani jina tu mgogoro.!
  8. Homo Habilis

    Suluhisho kwa wenye matatizo ya nguvu za kiume

    We jamaa kweli ni mchecheto .!
  9. Homo Habilis

    Sadio Mane aandika historia mpya ya Hat-trick Ligi ya Uingereza

    Haha ha we noma kama Tyson wa kitaa.!
  10. Homo Habilis

    Kampuni za utengenezaji Soda (vinywaji) na usafi

    Mi nimeona miguu mizuri kule mbali..ya chupa hayanihusu manake sinywagi hizo soda zenu
  11. Homo Habilis

    Alichojitabiria Zitto kimemtokea haraka

    Ndio maana headlines za magazeti zinakomaa ACT inaomba kujiunga ukawa!
  12. Homo Habilis

    Am angry but I still love you

    atoto umeona pale kwenye paragraph "Nimepata kazi nzuri na ninaishi maisha mazuri" ukirudi patumie vyema.!
  13. Homo Habilis

    Juventus Special Thread

    Hongera juventus
  14. Homo Habilis

    Jaribio la kijeshi kumuondoa Rais wa Burundi madarakani

    Umeweka kichwa cha habari tunasubiri habari kamili toka vyanzo vya uhakika bwana mosacha
  15. Homo Habilis

    Mrisho Ngassa atua rasmi Free State Afrika Kusini

    Good good for his career
  16. Homo Habilis

    Kamanda mwakyembe avuruga ngome ya jobu ndugai kibaigwa

    Nikajua waziri mwakiembee
  17. Homo Habilis

    Msaada: Kwa anayefahamu soko la asali

    Uko wapi/mahali kwa mjini dar?
  18. Homo Habilis

    Hii Ndiyo Dawa ya Foleni kwa Jiji la Dar es salaam

    Hapana mkuu ni inaweza kuwa 5m alma pungufu kidogo ya hapo(sina takwimu sahihi)
  19. Homo Habilis

    Mwanangu ana umri wa miezi 9, hamtaki mamayake kabisa

    mangatara mi nimesemea kwa ngeri "unaweza" sikumaanisha kumuaminishia Lkn kwa Tanganyika inaweza kutokea kwa kuwa naujua uhalisia wa maeneo husika.
  20. Homo Habilis

    Mwanangu ana umri wa miezi 9, hamtaki mamayake kabisa

    Naweza kuhisi kuna namna hapo, kumbuka pia inatokeaga makosa watoto wakachanganyiwa wazazi tokea hospitali hivyo unaweza kuta Huyo sio mama yake its very confusion.
Back
Top Bottom