Search results

  1. B

    Nimefungua biashara hii week ya tatu tangu tuanze, ila naona imedorora sana

    unafanya biashara gani na wapi? ulianza na mtaji wa kiasi gani?
  2. B

    fulsa za biashara dar es salaam

    nawasalimu wrote. nipo naishi Morogoro mjini na nimepata mtaji kidogo wa mil 2 hivi, wazo langu nije dar kuanza biashara au ujasiriamali. kinachonisumbua ni kua, mimi sio mzoefu na jilo jiji licha ya kua hua naingia na kutoka na dar ninayoifahamu mimi ni ya miaka minne iliyopita. binafsi...
  3. B

    Kaimu DEO na Mtaaluma Simanjiro mnaua elimu

    nimefanya kazi hapo Simanjiro ukanda huo wa mererani ila nilikua disappointed sn Kwa wakuu wa shule. wana mambo ya kishenzi na wanalindwa na DEO wa sec hapo wilayani suala la kuinuka Kwa elimu ktk wilaya hiyo msubiri Yesu arudi, nilifanya maongezi na huyo Kimweri ikaonesha kanielewa ila...
  4. B

    Mkopo wa vifaa vya ujenzi

    Habari wakuu, naomba kujuzwa Kwa anayefahamu mahala/ kampuni ibayokopesha vifaa vya ujenzi na utaratibu wa malipo, naomba kuwasilisha
  5. B

    Dalili zote zinaonesha ni Lowassa

    ccm ndembendembe
  6. B

    Semina ya Ujasiriamali

    wadau habari zenu, Naomba kufahamu taasisi,jumuiya au wataalamu fulani wanaotoa semina ya Ujasiriamali. Nina Mwaka mmoja sasa tokea nianze biashara yangu ya duka la rejareja hapa morogoro mjini, nna shauku ya kupata msukumo wa fikra na mawazo mengine ili nifanye vizuri zaidi na niwekeze...
  7. B

    Morogoro: Magufuli - Elimu Bure kuanzia Msingi hadi Kidato cha Nne; Makamba awavaa Lowassa, Sumaye

    sio kweli, majukwaa mawili tu ndo yamejaa, picha za star TV hapa uwanjani zinachukua kieneo cha pitch, nipo uwanjani jamhuri sasa
  8. B

    Kero za NMB

    nimekupata vizuri sana kiongozi, ngoja niende mida hii, maana nilikaa kimya kuwapa kipindi cha mpito, mda wa matazamio umekwisha ss nachukua hatua
  9. B

    Kero za NMB

    Nimefatilia mkopo wa wafanyakazi NMB Morogoro na kukamilisha masharti, cha kushangaza ni zaidi ya wiki moja imepita hawajanipa pesa. Sababu wanayoitoa ni eti mtandao unasumbua nchi nzima, how comes mtandao usumbue nchi nzima na hakuna wayout wanayoifanya / kuwaeleza wateja? Suala hili...
  10. B

    Kero za NMB

    Nimefatilia mkopo wa wafanyakazi NMB Morogoro na kukamilisha masharti, cha kushangaza ni zaidi ya wiki moja imepita hajanipa pesa, sababu wanayoitoa ni eti mtandao unasumbua nchi nzima, how comes mtandao usumbue nchi nzima na hakuna way out wanayoifanya / kuwaeleza wateja. Suala hili...
  11. B

    Nyaraka: Kashfa ya Richmond - Maagizo ya Lowassa na Uamuzi wa Serikali

    hayo ni majungu tu, lowasa hana kosa hapo!
  12. B

    Jicho letu ndani habari Startv, Moses Methew kimeo?

    huyo moses ni mweupe sana, star tv nao wanamatatizo, huwa hawafanyi tathmini ya wageni waliowaalika!! hopeless!!!
  13. B

    Kweli CCM Tunachukiwa!

    ni leigwanan sio laibon, maccm wamepigwa upofu
  14. B

    Dr. Slaa hakuna kama wewe

    nimedisvalue kabisa hasa baada ya lipumba kusaliti jahaz
  15. B

    Prof. Lipumba na Dr. Slaa, Nini kimejificha nyuma ya hiyo misimamo yenu?

    najaribu kuusoma mchezo huu hadi ss na nimeshapata jibu. Siri ni kua Mh. Lipumba na Dr Slaa ni waroho na walafi wa madaraka ndo maana leo wamejiengua kwenye juhudi za ukombozi. Lupumba alipofika hapa Morogoro na kuhutubia kwenye viwanja vya sm kiwanja cha ndege alizungumza uozo wa ccm na...
  16. B

    Prof. Lipumba na Dr. Slaa, Nini kimejificha nyuma ya hiyo misimamo yenu?

    najaribu kuusoma mchezo huu hadi ss na nimeshapata jibu. Siri ni kua Mh. Lipumba na Dr Slaa ni waroho na walafi wa madaraka ndo maana leo wamejiengua kwenye juhudi za ukombozi. Lupumba alipofika hapa Morogoro na kuhutubia kwenye viwanja vya sm kiwanja cha ndege alizungumza uozo wa ccm na...
  17. B

    Kutoka Kariakoo: Watu waliovalia mavazi ya CCM wazomewa na machinga

    kinana jana kawaita makapi wale wote walioingia cdm tokea ccm. Je hizo ndo siasa za hoja kwenu ninyi miccm?? cdm tunaweza kujenga hoja, vurugu mkizingua tumo ila utulivu ndo jadi yetu. Tuchokozeni tu
Back
Top Bottom