Nimejitosa kuchangia kwa sababu kuna hoja mtambuka kwa mitazamo
Kimsingi hakuna bahati mbaya tuliyo nayo kama kuwapima chama tawala CCM kwa kauli zao zinazojikanganya na kukinzana. Sisi na Malasia tulipata uhuru mwaka mmoja. Tofauti tuliyo nayo kimaendeleo na kijamii ni mbingu na nchi. On that...
Usishangae rangi ya zambarao inayoonyesha umburula wao, jiulize ile nembo ya kwenye bendera yao tafsiri yake ni nini? Hao ndio vijana wasomi waliopikwa na kupikika na CCM kuhujumu demokrasia.
Nakukumbusha hoja ya inzi "ukijua wa mbele wenzio wanajua wa nyuma". Ni muda tu CCM itaachia ngazi. Wengine tunaomba iachie bila kupiga mateke maana tayari CCM ipo machinjioni. Nina maana watu wanaelimika na wanaukataa umasikini angalau kwa migogoro na serikali ndiyo hiyo haqzina inakauka. Hiyo...
Mkuu, kosa la Mkumbo ni ujinga na upuuzi wa kutengeneza waraka nje ya vikao na taratibu za chama. Kama unaona hiyo ni sahihi basi wachukue wakusaidie kwenye kujenga demokrasia kwenu
Safi sana kinyume na matarajio yangu; sasa sijui baada ya utitiri wa vyama vya siasa utajiunga na ADC?
Hoja
1. Mhula wa pili JK hakushinda kutokana na kura za wananchi. Kwa takwimu sahihi alishinda kwa 10% Kwa hiyo sishangai anachokifanya Ikulu.
2. Aliyemchulia fomu yake ya kugombea urais na...
Habari ndiyo hii
Jamhuri:
- Ni Ally Awadh wa kampuni ya mafuta ya Lake Oil
- Atuhumiwa kumfanyia unyama mtumishi wake
- Polisi Oysterbay, Kanda Maalumu wamgwaya
Jumanne, Februari 11, 2014
Mlalamikaji anayedaiwa kupigwa na mabaunsa wa mfanyabiashara bilionea Ally Awadh (Lake Oil)
Waziri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.