Search results

  1. L

    Hivi wanawake wa Kimasai nao wanachepukaga?

    kwa ninavyoijua jamii yangu(maasai), suala la kuchepuka lipo ila ni kwa siri sana (against law),wivu hatunaga
  2. L

    Kina kaka acheni ujinga, hakuna mwanamke asiyetaka kuhongwa, shauri yako

    kumhonga mwanamke mali yeyote ile ni sawa na kununua penzi
  3. L

    Clouds wanatufanya wajinga

    redio yenyewe haieleweki wanachokisema.wizi mtupu.bora niendelee kusikiliza ORS FM redio ya wamasai
  4. L

    Brazil Itabaki kuwa Brazil. Tuachieni Brazil Yetu

    dah 20000 yangu imeenda kilaini tu.
  5. L

    Brazil Itabaki kuwa Brazil. Tuachieni Brazil Yetu

    Ni shida.kesho kitaa sijui!
  6. L

    Brazil Itabaki kuwa Brazil. Tuachieni Brazil Yetu

    timu ya taifa ya brazil imepokea kipigo cha magoli 5 hadi dakik ya 34 kutoka kwa wajerumani.dah! sitamani kuangalia tena
  7. L

    Kwa hili mmetudanganya

    poa.namlaumu aliyekuzaa
  8. L

    Ha ha ha mwalimu oyee..!!

    Hongera mkuu.mitoto mikorofi au kawaida?
  9. L

    Kwa hili mmetudanganya

    NAOGOPA KUFUKUZWA CHUO.chezea waroma wewe.
  10. L

    Kwa hili mmetudanganya

    Ni DVCAA wa chuo cha SAUT-Mwanza.Bila aibu katangaza mble ya sautso kuwa chuo hicho na chuo cha pili hapa nchini. Ni kwel?
  11. L

    Story ya kweli: Niliwahi kutembea na wasichana hawa

    mtafute yule wa kwanza kutembea naye
  12. L

    The Best Private University in Tanzania

    taja kwanza unavyovifahamu ili wadau wakuchambulie moja baada ya nyingine.tumia lugha ya taifa(kiswahili)
  13. L

    Msaada juu ya upangaji wa kwenda a-level

    salam ziwafikie wote popote mlipo. nina dogo kapata dvn iv ya 33 ila ana "c".je ataweza kuchaguliwa kujiunga na a-level?
  14. L

    Binti huyu ameniharibia weekend yangu!

    Wewe mshukuru MUNGU umesalimika ila baadhi ya dada ze2 kwa kudanganya wako juu.ogopa mke wa mtu
  15. L

    Wabunge wagundua njia ya kuongeza posho

    mimi nafanya mchakato wa kusaka uraia wa SOMALI uzalendo wa kujiita mtanzania umefikia kikomo.
  16. L

    Introducing teamrafiki

    iko swafi.
  17. L

    Hizi ndio kozi/taaluma za muhimu duniani

    EDUCATION NDIYO MAMA YAO.yaliyotajwa kwenye hiyo threat ni matawi ya EDUCATION
  18. L

    Wasichana vyuoni na rushwa ya ngono

    wacha wakazwe tu wapewe elimu ya makaratasi
Back
Top Bottom