Search results

  1. A

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Katlego anataka ku-date na frank! Naona anataka kuwachanganya baba na mwana(kelvin) katika penzi! Frank is very clever,hatokubali kurubunika.
  2. A

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Zanta nimependa ulivyofafanua the upcoming sibeko drama!!...check hizo picha and guess isidingo itavyokuwa tamu
  3. A

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Katlego na Lincoln walishawahi ku- date kabla Katlego haja date na kuwa mke wa Jeff,Katlego alipata mimba na wakapanga na lincoln na kufanikiwa kuitoa, hii dhambi ndio inaitafuna familia hii ya SEBEKO! Lerato alidhaniwa kuwa na breast cancer lakini badae she came out having nothing concerning...
  4. A

    Urgent please computer yangu ukifungua my computer ukitaka ku open kitu akifunguki

    pole sana mdugu yangu,unatumia OS ipi?nikimaanisha Operating system gani watumia?kama ni Windows Vista,unatakia kui-update kwanza,hiyo node32 kama sio ya kununua itakuwa imeisha mda wake,labda uninstall and then install tena...kufungua drive yoyote andika jina la drive baada ya kufungua my...
Back
Top Bottom