Search results

  1. T

    Feedback Interview Tume ya Utumishi wa Mahakama

    Wanajamvi salamu kwenu, vipi kuhusu maslai kwenye hizi nafasi za HR na,Afisa Tawala? Achilia salar. Kwa mwenye ufahamu tafadhal
  2. T

    Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

    Huyu mh. Anavyoponda utawala utafikiri hayupo kwenye system! Mara mfumo mbovu wa kodi wakati yeye ndo incharg.. Maajabuu
  3. T

    Kuna mwenye kuwafahamu OLAM TANZANIA

    Wahindi hao baba! Jipange na maswali ya kukagua ubora wa nafaka (kahawa, korosho,ufuta, alizeti n.k
  4. T

    Tatizo la ulevi Rombo: Wanawake wakodi wanaume kutoka Kenya kufanya nao ngono

    Nimejionea hali ilivyo Rombo kupitia report maalum Itv, Hali ni mbaya akina mama wanalalamika hawapati huduma, uzalishaji mali kwa wanaume ni mdogo sana kwa sababu ya ulevi wa pombe za kienyeji!rai yangu vyombo husika vichukue hatua kali za kisheria dhidi ya hawa watengenezaji. Lasivyo hili ni...
  5. T

    Feedback Interview Tume ya Utumishi wa Mahakama

    Wakuu naskia kuitwa kazini ni mpaka baada ya bunge la budget!
  6. T

    Feedback Interview Tume ya Utumishi wa Mahakama

    Kwa wale tuliofanya Usaili wa Human Resources Officers na Adiministrative Officers tar. 4 na 5 April Tume ya utumishi wa mahakama national stadium tukutane kwenye uzi huu tupeane updates. Ni wiki ya pili sasa hawa jamaa bado wapo kimya! Lini wanatoa majibu?? Mwenye taarifa tafadhal
  7. T

    Picha: Huyu ni mbunge tu CDM bwana

    duuh!cdm hii sasa sifaaaa...
  8. T

    Kuitwa kwenye usaili, Tume ya Utumishi wa Mahakama

    Salam wakuu, kwa mwenye uzoefu na hii taasis naomba anijuze kama ni oral mojakwamoja au kuna written interview ya mchujo kwanza?
  9. T

    Updates: Uzinduzi wa mafunzo ya viongozi wa CHADEMA na timu za ushindi uchaguzi mkuu Oktoba 2015

    Viva CHADEMA, Muje na mikoani tuna kiu kubwa ya mafunzo kama haya.
  10. T

    Utumishi, tatizo ni nini?

    stay tune, this is Jf.
  11. T

    Utumishi, tatizo ni nini?

    Jioni ya leo au kesho wataweka majina ya waliofuzu tayari kwa kuanza kazi, hongera kwa watakaopata, tutakaokosa tusikate tamaa. One day yes.
  12. T

    updates kwa tuliofanya oral interview kada tofauti tofaut Tanzania Airport Authority

    Ukisikia "long wait" ndo hii, watujibu watu tujue mbivu na mbichi. Nishaandaa one month salary ya kuvunja mkataba afu wanachelea kujibu!
  13. T

    updates kwa tuliofanya oral interview kada tofauti tofaut Tanzania Airport Authority

    Salam kwenu wanajamvi, ni mwezi na zaidi sasa toka oral intervw ya kada mbali mbali za Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tz ifanyike kupitia Psrs. Kimya kimezidi jamani.Mwenye update naomba atujuze
  14. T

    NSSF update

    Wanaita lini wakuu kwa 2nd interview? Wasije wakaita tuu kwenye hizi tarehe za hija! Wachaga tunaenda kwetu.
  15. T

    NSSF wameita for interview

    Website wanayo, kwa nn wasiweke majina hapo waziwazi, waliofanikiwa wajione na waliokosa wajijue. Kwa nn wanafanya kwa usitsiti? Kuna jambo hapa si bure!
  16. T

    Dr. Slaa ailipua Ikulu

    slaa anawatoa kamasi, shikilia hapohapo dr. Mpaka haja zote ziwatoke
  17. T

    Sikubaliani na hili lililotekea bungeni usiku wa Nov 28, 2014

    wewe ni wa kupuuzwa kabisa. Kwenye maslai ya taifa tofauti zinawekwa pembeni asha mawazo mgando pumbavu zako. Pongezi kwa mbowe na wote waliojitoa kwenye genge la kutetea majambazi
  18. T

    Askofu Kilaini aitwa Dar es Salaam na Kanisa Katoliki

    Kama habari hizi ni za kweli, nalipongeza kanisa langu katoloki. Haiwezekani kamwe kanisa kama taasisi kuchafuka kwa sababu ya mtu mmoja.
  19. T

    Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Huyu mama asumpta, maelezo yake yanatia kinyaa. Aibuuuuuu kua na mbunge kama huyu. Ccm inatumia vigezo gan kujipatia wabunge wake?
  20. T

    Baba askofu Kilaini akiri kupokea milioni 80.5

    Kama muumini wa R.C, Michango yote kwa ajili ya maendeleo ya kanisa, hupitia kwenye njia zinazoeleweka kulingana na Taratibu za kanisa Katoliki lilivyojiwekea. Hakuna pesa za kanisa zinaeopitia acc. Ya padri wala Askofu. Michango hupitia acc ya kigango, Parokia au acc. Ya jimbo endapo mchango...
Back
Top Bottom