Search results

  1. ILAN RAMON

    Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

    😄 🤣 😂 😆 sitaki uchonganishi
  2. ILAN RAMON

    Miaka 3 ya Hayati Magufuli vs Miaka 3 Rais Samia madarakani

    Samia aliikuta nchi imefilisika, watu wameporwa pesa zao, wengine wamewekwa ndani kiuonevu, bureaus wamenyang'anywa dollars zao, wafadhili wamekataa kutoa misaada na nchi inetengwa. Tulijazwa propaganda eti tunajenga kwa pesa zetu kumbe mikopo umiza. Anitajie mtu mradi uliojengwa kwa pesa zetu...
  3. ILAN RAMON

    Miaka 3 ya Hayati Magufuli vs Miaka 3 Rais Samia madarakani

    Unajuaje kama yupo peponi? Aliowapoteza wako wapi?
  4. ILAN RAMON

    Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

    Hahahah wakati gani sasa walifunga na kuumiza watu?
  5. ILAN RAMON

    Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

    😄 🤣 😂 wakati wa magufuli mlisema hivyo hivyo Huu uchawa umefikia pabaya
  6. ILAN RAMON

    Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli

    Yes tume ya kuchunguza wote waliokufa na kupotea katika hali ya kutatanisha wakati wa utawala wa Nduli jiwe bin stone
  7. ILAN RAMON

    Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli

    Kwani Magufuli alikufa kwa utata gani?.wakati tuliambiwa alikufa kwa maradhi ya mfumo wa umeme mwilini?!! Utata ulitoka wapi? Labda iundwe kuchunguza kifo cha mkapa alikufa ghafla
  8. ILAN RAMON

    Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli

    Iunde Tume kuchunguza waliomshambulia Lisu kwanza
  9. ILAN RAMON

    Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

    Ndio ulete dodoma imechangia nini ukiachana na mapato ya Halmashauri kwingine hoi taabani njaa na kula ubuyu
  10. ILAN RAMON

    Naanza kujawa na mashaka. Yawezekana haya mambo ya Iran/Israel ni michongo tu, tunachezewa akili na wakubwa

    Wavaa makobazi mlianza kugombana urithi wa nabii wenu ambae alikufa kufa bila kuacha urithi na ndo mkafarakana wengine wakamfuata abu bakar wengine imamu hussein acheni kusingizia wayahudi kwenye maujinga yenu. Kama myahudi alianzisha Shia iran asingehangaika kuishambulia Israel
  11. ILAN RAMON

    Naanza kujawa na mashaka. Yawezekana haya mambo ya Iran/Israel ni michongo tu, tunachezewa akili na wakubwa

    Muasisi wa Ushia ni myahudi? Duh suruali fupi wa kihabi umeanza wenge
  12. ILAN RAMON

    Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

    Hayo mapato kwanin hayapo kwenye kodi?? Unakuaje mapato na kodi hutoi TRA
  13. ILAN RAMON

    Mikoa 15 Inayoongoza Kuchangia Kodi za TRA Tanzania

    Linganisha mapato na lodi za halmashauri
  14. ILAN RAMON

    Mikoa 15 Inayoongoza Kuchangia Kodi za TRA Tanzania

    ChoiceVariable uzuri takwimu hizi ni zako za zile za halmashauri 😄 🤣 😂 😆 njoo ufafanue upuuzi unaofanya
  15. ILAN RAMON

    Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

    Mkuu nafikiri una shida kidogo ume Count pesa ambazo serikali ime inject kwenye dodoma city development lake kwenye halmashauri ziko frame kama mapato. Ukutaka kujua angalia kwenye kodi ta TRA Dodoma mmefichwa
  16. ILAN RAMON

    Serikali ishushe hadhi Jiji la Tanga kwa vile haina mpango wa kufanya lolote kusapoti mji huo

    Mjinga wewe eti mji wa watu wa dini fulani unataka serikali ifanyeje? Mmekalia uvivu na uzembe tu mradi gani mkubwa umepelekwa Arusha? Tanga haina mradi bomba la mafuta? Bandari imeboreshwa, stand kubwa mpya. Arusha haina stand ukumbuke, maendeleo yanafuata patterns. Kuna pulling factors ambazo...
  17. ILAN RAMON

    Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

    Tumeshatoka huko mkuu jitahidini muwe na pato hata nusu ya Arusha
Back
Top Bottom