Search results

  1. Tumain

    Elections 2010 Kwa nini CCM ina HOFU

    Mkuu, Hayo magazeti yalifanya hivyo hivyo 95, 2000, 2005? unashangaa nini leo 2010? Nimekuuliza wameandika kashfa ipi? kuna tofauti kati ya kashfa na ukweli...mathalan, kusema Slaa ni mtaalamu wa kanuni za kanisa siyo kashfa ni ukweli! au siyo. Kusema Slaa amemuacha mke wake na yuko na mke wa...
  2. Tumain

    Wapentekoste Ngara wahamia msituni; wangoja kunyakuliwa

    Kichwa ngumu ndio maana unapigwa mboko uelewe huhitaji mtetezi...na huko kwenye Qur'an uzembe hauhitajiki..dogo.. Hawa walioenda porini walikosa nini mjini? madrasa zote ziko town! Ama kweli ukristo unakua palipo na wajinga..lakini watu wa mjini (wenye akili) hawawezi kukubali huu ulimbukeni..
  3. Tumain

    Aliyefungwa kwa baraghashia yu huru

    Hivi yule hakimu alikuwa ana hukumu kofia au alitakiwa kusimamia haki..hizi shule za st. nuksi yeye anaangalia kofia.. Anyway, tuliwapa siku saba baada ya siku tatu wakamtoa mwananchi wetu... Mean while, tunashughulikia swala la huyu hakimu anafaa kuwepo mahakamani kwenye chombo cha haki...
  4. Tumain

    Pope monitoring Iranian woman sentenced to stoning death

    Nafikiri angeaanza kujishughulisha na wale ma-priest wanaolawiti watoto wadogo..kwanza..that could have better..i.e. priority no.1
  5. Tumain

    Alichosema Ismail Jussa

    Well said Jussa, ukweli utabaki milele lakini chadema watajua kwamba hilo dude ni bovu baada ya uchaguzi...yaani ...nimecheka comment ya aina mkumbo ndio aina viongozi wa chadema tunaotegemea kuwapa nchi..waziri mkumbo ndio anaongea hivyo what a joke! Chadema bado sana!
  6. Tumain

    Wagombea CCM Waanza Kumiminika Chadema!

    Zitto kabwe anatumika tu yeye mwenyewe ni "unwanted product" huko kuna wenyewe mkuu lazima..utokee kas au ni m-G
  7. Tumain

    WA IRAN NA WA OMAN wafanya ufisadi wa ardhi Tanzania!

    Wairan na Waoman ni wawekaezaji kama walivyo wengine kama vile waingereza, wamerakani, wasweden wapo kwa mujibu wa sheria za uwekezaji..kama humpendi mu-irani fanya hivyo hivyo kwa wazungu..usiwe mnafiki mfano:- Huko Arusha asilimia 70% ya makampuni ya uwindaji wa rasilimali yetu katika...
  8. Tumain

    JK na unabii wa Ndio Mzee

    Mwelekeo huna wewe kwasababu ya uvivu wako, fursa zipo na wenye kutafuta wanaona mafanikio ya serikali ya JK...wewe kama huoni mwelekeo ni kwakuwa mwenyewe huna mwelekeo umekalia kulalamika..nenda kajiunge na Maaskofu na vijiwaraka vya kulalama...
  9. Tumain

    Viongozi wa CCJ Wajiunga Rasmi na CHADEMA

    CCJ wenyewe ni failure ..kama chadema walivyo failure..
  10. Tumain

    Viongozi wa CCJ Wajiunga Rasmi na CHADEMA

    Sasa mbona walipoteza muda, pesa kutaka kusajili chama wakati chadema ilikuwepo tu...watu wengine wapuuzi tu kupoteza muda wa watu..ccj=chadema..what a joke?
  11. Tumain

    Imani yetu kwa serikali ya Kikwete

    JK ni rais bora kuliko marais wote waliopita, hakuna haja ya mjadala wa kum-uondoa ...takwimu za kiuchumi siyo hoja za kina mwanakijiji na ki-waraka waraka ziwekwe kuanzia rais wa kwanza mpaka JK utaona alivyo bora kupita wote..acheni rongo rongo zenu.
  12. Tumain

    CCJ Iko wapi?

    CCJ ni zao la waraka wa kikristo haitafika mbali ...as long as inawategemea wakatoliki tu..Tanzania ni zaidi ya Maaskofu..
  13. Tumain

    CCJ Iko wapi?

    Kaua watu kielimu, kaua watu wakati wa operation vijiji (nyumba na mali pamoja na watu walikufa) embu tuondeleeni balaa lenu hapa kama "kumsifia mpelekeni kanisani kwenu" maana nyinyi wehu wakusifia kila mwovu..lol
  14. Tumain

    Kikwete kushuhudia matatizo ya wananchi miaka minne baadaye!

    Good Move JK, tuko pamoja
  15. Tumain

    Tanzania (Dar) multi-billion high rise project approved

    Hongera Dr. Ramadhani Dau, Alhaj Kimbisa na wengine kwa ubunifu na moyo wenu wa kimaendeleo kwa jamii yetu. yafaa viongozi wengine e.g. Prof. Ndullu, Shio (PPF) muige mfano wa Dr. Dau.
  16. Tumain

    Revealed: how Israel offered to sell South Africa nuclear weapons

    utmbo na upupu nenda kasome kwanza kabla ya kujaza nafasi kwa utumbo wako wa kusifia mashetani waliolaaniwa na Muumba.
  17. Tumain

    Pendekezo la 1: Tanga, Bagamoyo, Mafia na Pangani ziwe sehemu ya Zanzibar!

    Hofu ya kuipenda zanzibari kinafiki inakufanya ufikirie nadharia ya kujidai unagawa sehemu ya Tanganyika kwao...wazanzibar hawahitaji eneo zaidi ila "Justice" Uchumi hauongezeki kwa kuongeza eneo la ki-utawala...ila kwa mipango thabiti na watu thabiti ..somo la uchumi limekupita pembeni...
  18. Tumain

    Taarifa kwa Umma - CHADEMA

    Mbwembwe za chadema uchaguzi 2010..poleni.. Baada ya uchaguzi mlete madiwani wangapi? (sehemu zipi) wabunge wangapi (sehemu zipi)..rais sahau muuza pombe na padre hawawezi kuongoza nchi ya watu wenye akili Tanzania poleni...
  19. Tumain

    Viongozi wa CHADEMA Waongoza kwa Umaarufu Tanzania

    Keep on dreaming...october ndio tutafahamu kama chadema ni maarufu au CCM au CUF...
  20. Tumain

    The two sides of Tanzania’s president

    Ulitaka aje kukuchotea maji nyumbani kwangu hajafanya chochote! mhhh! analysis zingine bana upupu mtupu Amefanya mengi sana JK..october election will tell you the truce!..keep on crying
Back
Top Bottom