Search results

  1. Z

    Mpaka leo sijajua kwanini watanzania walimchagua Magufuli!

    Hivi unaweza badilisha nchi kwa kwa miezi sita ? Mbona uchambuzi wako ni wakivivu sana
  2. Z

    RC Mwanza atoa miezi miwili kwa watendaji wa mitaa,wilaya kumaliza tatizo la uhaba wa madawati

    Huyo siyo mbunifu angetuambia kwanza kama amesha wapataia pesa kisha ndiyo atoe amri
  3. Z

    Naweka kumbukumbu: Nchi ya viwanda chini ya Magufuli ni ndoto za alinacha

    Kwa kweli manase umeongea kwa data sasa huu ndiyo uchambuzi wawatu wanaofikiria yaani ningeweza kubakisha watu wanao stahili kubaki humu JF wewe ungekuwa miongoni mwao lakini wengine hapana duu safi sana
  4. Z

    Bunge live 'limeanza'!

    Sioni ubunifu wowote unaofanywa na wabunge katika majimbo yao kuleta maendeleo wakishirikiana na wananchi wao wengine hata kwenda kusalimia jimboni ni matatizo halafu manasema mnawatetea wananchi kwalipi la maana manalolifanya
  5. Z

    Bunge live 'limeanza'!

    Nguvu zinazo tumika kushawishi bunge lionekane live zingetumika kuwa saidia wakulima kutafuta masoko ya mazao yao ningeona wabunge wetu ni watu wenye hekima na wana fikilia mbali sana lakini hakuna kitu wanacho kifanya.
  6. Z

    Rais Magufuli aamua hotuba zake zote ziwe kwa Kiswahili

    Kwani hao maraisi wa nchi zingine kama China ninhi za falme za kiarabu wanapo tumia zakwao INA maana hawawezi kiingereza?
  7. Z

    Saed Kubenea: Mbunge wa Ubungo aliyegeuka mkombozi wa Taifa

    Mnaendelea kusifia vitu vya kipuuzi kabisa katika msongamano unao endelea msipo hisha baadhi ya huduma na kusipeleka pembeni ya mji wabongo mnashida sana
  8. Z

    Saed Kubenea: Mbunge wa Ubungo aliyegeuka mkombozi wa Taifa

    Mtazidi kujirudisha nyumba kwa kuto kuangalia mbali mmebaki kushabikia sasa zisizo na maana watanzania sijui huwa mnafikiria nini?
  9. Z

    Ufisadi kupitia zabuni za NSSF: Dr. Dau na genge lake wawajibishwe!

    Mbona watu mnazungumza mambo amabayo Hanna uhakika nayo
  10. Z

    Serikali iwe na kauli moja kuhusu kusitishwa kwa msaada kutoka MCC

    Hivi tuna wahisani au tuna wasanii maana nilifikiri kipindi hiki ambacho pesa zao zingesimamiwa vizuri wao ndiyo kwanza wanaleta vikwazo siwaelewi kimsingi kama kweli wana nia njema na sisi wataalamu wa mambo haya tujuzeni
  11. Z

    CHADEMA yatoa taarifa kuhusu msaada wa MCC kwa Serikali ya Tanzania

    Mnapokaa na kubishana juu ya pesa ambazo wezenu mpaka wakazipitishe mwenye budget zao ndio mpewe msidhani pesa za MCC zipo wahisani siku zote wanatafuta sababu pindi wanapo ona hawana pesa za kutoka kwa kipindi hicho hata miradi kama hii ya MCC ni miongoni mwa miradi ambayo hutengewa pesa...
  12. Z

    Rais Magufuli ateua Wakurugenzi Wakuu wa NSSF, TBC na Shirika hodhi la reli (RAHCO)

    Uteuzi mzuri lakini siyo Madaktari wote ni watendaji pia tunauhaba wa kutosha wa hao wataalamu katika vyuo vikuu vyetu
  13. Z

    Lowassa: Rais Magufuli ni mfano wa viongozi wa Afrika wasio na maono

    Kwa akili yangu finyu nilijua baada ya kumaliza uchaguzi watanzania wata shirikiana katika kujenga nchi kumbe ndivyo sivyo !!!!!
  14. Z

    Paul Makonda, nakutabiria Urais au Uwaziri Mkuu huko mbele ya safari

    Tatizo kina endelea Watanzania kuto kuvipenda na kuvisifia vya kwao duu kazi IPO akili zimeganda
  15. Z

    Ukweli kuhusu Dr. Dau na NSSF

    Mtoa maada sidhani kama unaowezo wa kupamabanua mambo huyu unaye mtaja ndiue aliye kuwa wa kwanza kukubali kwanza kujenga Udom ambapo hata mdogo wako au ndugu yako anasoma kwa mtazamo wangu pamoja nayote uliyoyaonge wewe ni mbinafsi na mchoyo Nina uhakika ukipewa idara ya kusimamia hiwezi
  16. Z

    Wanaombeza Magufuli kuhusu kiingereza: Waandike thread zao kwa kiingereza

    Hivi kuongea kingereza kwa rais kina faida gani hasa au kwa kuwa mlitawaliwa na waingereza ?wanakuja wageni wengi hapa nchini na wanaongea kwa lugha zao sisi tukiongea kiswahili chetu tunajiona feki ni lini tutavikubali vya kwetu watanzania acheni kuwa watumwa
  17. Z

    Zitto Kabwe yuko kimya ishu ya January Makamba

    Mtoa maada umenichanganya kidogo ulivyo andika Zitti kabwe nikajua nimtu mwingine lakini naona wachangiaji sana andika Zitto sijui uunamaanisha hivyo
  18. Z

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu atengua Uteuzi wa Kaimu Mkurugenzi wa NSSF

    Mawaziri na makatibu wa wakuu katika wizara tulieni na muzielewe vizuri wizara zenu msikirupuke katika kufanya kazi
  19. Z

    Uwezekano wa Kikwete Kurudi 2020

    Tumuache JK apumzike
  20. Z

    UKAWA Wavunjika Rasmi

    Ndugu yangu Lizaboni ukawa bado IPO kwa maana bado hatujamaliza mchakato wa katiba
Back
Top Bottom