Search results

  1. S

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Tanga korogwe Mombo idara ya sekondari nije mbeya kyela,tunduma,mbeya(v) au mbozi au halmashauri yoyote ya hapo. Mawasiliano 0717500519
  2. S

    Mke muhaya hapana

    Wahaya wamesoma sana na ni watu wa kwanza kuuza papuchi.
  3. S

    Kondoo wa Maziwa

    Wakuu,nimefikiria juu ya wanyama wanaofugwa kwa ajili ya nyama na maziwa. Sijawahi kusikia kuhusu kondoo wa maziwa. Lakini wapo mbuzi wa maziwa na ng'ombe wa maziwa. Maziwa ya kondoo yana shida gani? Naomba kujuzwa
  4. S

    Ni kosa kumpiga askari picha?

    Hujaelewa au unamaanisha ridhaa ipi wakati wa sakata
  5. S

    Ni kosa kumpiga askari picha?

    Wakuu, naomba kufahamishwa ni kosa kuwapiga picha askari wakiwa kazini kwa mtu ambaye si mwandishi wa habari? Naomba kujuzwa kama ni kosa sheria inasemaje? Mfano wakati wanamkamata mwizi mtaani, wakituliza vurugu nk. Watu wengi hupenda kupiga picha wakati wa matukio ambazo mara nyingi hawana...
  6. S

    Ni jina gani la "classmate" wako ukilikumbuka linakuvunja mbavu

    Jamaa yetu aliitwa ZAMANI UGALI, na mama mmoja hivi anaitwa DIFFICULT MASIKINI
  7. S

    Utafanyaje...ilishawahi kukuta?

    Inanikumbusha nikiwa kwenye pikipiki eneo la kutoka mombo hedaru kwene diversion ilikua imenyesha mvua maji yamejaa nikakutana na basi la harambee likanirushia maji yenye tope hadi helmet ikaziba sikuweza ona mbele. Sikuweza kulipiza kumaliza kujifuta gari ilishatokomea
  8. S

    Masikini my ex, kweli malipo ni hapahapa duniani

    Mchepue mara moja urudi njia kuu kama ipo. Kama haipo akili kumkichwa ukinogewa ndo basi tena gari lenywew alilofwata la kuazima..
  9. S

    Wanafunzi 11 wa chuo kikuu cha Mwenge-Moshi wamesimamishwa Masomo kwa sababu za kiimani!

    katoliki nayo dini? Dini gani unatubu dhambi mbele ya binadamu mwenzio. Utabakia kumuabudu papa na mafundisho yake ya uongo. Soma bible acha kukariri vitu kiluturujia.
  10. S

    Wanafunzi 11 wa chuo kikuu cha Mwenge-Moshi wamesimamishwa Masomo kwa sababu za kiimani!

    mkuu,hakuna dhambi mbaya kama dhambi ya makusudi, unajua ni kosa na unalitenda.
  11. S

    Raha ya kutongozwa...lol

    Kumbe kutongoza kunahitaji uanazuoni
  12. S

    Tafuta paka alipo kwenye hii picha

    Hamna paka humu
  13. S

    Wanafunzi 11 wa chuo kikuu cha Mwenge-Moshi wamesimamishwa Masomo kwa sababu za kiimani!

    Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote kwa kila kiumbe,lugha,kabila na jamaa kuwa ushuhuda kwa mataifa yote. Hawa wanvipiga vita vilivyo vyema. Vita ya imani.
  14. S

    Wanafunzi 11 wa chuo kikuu cha Mwenge-Moshi wamesimamishwa Masomo kwa sababu za kiimani!

    hizo ziko kwenye mtaala huwezi kuacha kusoma vinginevyo hutamaliza kozi. Ni sawa kutii mamlaka kwa kua zote hutoka kwa bwana. Inatupasa kumtii zaidi kristo kuliko wanadamu maana mamlaka zote hutoka kwake.
  15. S

    Wanafunzi 11 wa chuo kikuu cha Mwenge-Moshi wamesimamishwa Masomo kwa sababu za kiimani!

    Uhuru wa kuabudu uheshimiwe. Serikali haina dini lakini watu wake wana dini. Msife moyo ndugu UKRISTO NI GHARAMA. Katika kila jaribu kuna mlango wa kutokea. "Heri walio maskini wa roho" kukataliwa, kutengwa, kuonewa hayana budi kuwapata lakini ipo siku bwana atawafuta machozi na ulimwengu mzima...
Back
Top Bottom