Search results

  1. B

    Wabunge wameanza kuhaa au ni maandalizi ya mapema,ebu cheki hawa !

    Hivi sasa baadhi ya wabunge nchini wameanza vituko na kuafanya kila wawezalo ili kuona kama wanaweza kuchaguliwa tena. Licha ya kuwepo wengi lakini yaliyoanza kufanywa na hawa Balozi Khamisi Kagasheki na Mwanazila ni aibu kwao na CCM wenzangu mnaona ni sawa .ebu jionee Kagasheki Mwanazila...
  2. B

    Sekondari Rugambwa yaungua !

    Nimepata taarifa hivi punde kuwa bweni la sekondari kongwe ya wasichana iitwayo Rugambwa iliyoko Bukoba imeungua moto leo saa 7 mchana. hata hivyo hakuna aliyekufa wala kujreruhiwa,ingawa magodoro na mali kadhaa za wanafunzi zimeteketea kwa moto. kikubwa ni kuwa wanafunzi wamelazimika...
  3. B

    Ipp mpaka leo hatujapokea mishahara

    Kakwambia nani ,mimi niko channel ten lakini na sisi hatujapa chetu hadi leo,tehuku ni balaa tupu
  4. B

    Waziri Kaghasheki atwangana ngumi na Katibu wa CCM Bukoba

    Wakuu,Nimepokea taarifa muda mfupi kutoka Bukoba kuwa kumetokea ugomvi katika kikao cha kamati ya siasa ya wilaya ya Bukoba cha CCM ambapo kagasheki ambaye ni mbunge wa huko na naibu waziri wa mambio ya ndani amevaana live na katibu wa CCM wa wilaya hiyo aitwaye Shamte. Sababu ya viongozi hao...
  5. B

    Mwitikio wa serikali na wananchi kusaidia wahanga wa milipuko ya Mbagala

    aliyepiga picha ya mzee huyo,auwekee picha ya nyumba yake tuone ili tulinanishe,mimi nafikiri ni sawa,sasa kama mtu alikuwa na ibanda cha nyasi unafikiri alipwe kiasi gani
  6. B

    Mishahara ya wabunge, mawaziri na majaji juu!

    Sioni mantiki ya post hii kutolewa na gazeti la mwananchi kwani gazeti hili ni moja ya vyombo vya habari visibyolipa mishahara ya wafanyakazi wao. ebu fikiria gazeti linaingiza mapato ya shj milini 11 kwa siku kisha mwandishi wao analipwa sh 60,000 kwa mwezi kisha wanaandika habari kama hiyo...
  7. B

    Kesi ya Abdallah Zombe: Mashitaka, hatia, hukumu na yanayojiri

    Post iliyowekwa ina ukweli fulani,kwani mimi nafanya kazi katika wizara hiyo ni kuwa kikao hicho kilifanyika siku kumi kabla ya hukumu hiyo lakini hapakuwepo jaji wal halkimu,alikuqwepo katibu mkuu wa wizara,IGP,Mawaziri eote na watendaji wengine wa wizara hiyo na kutoka jeshi la polisi. lengo...
  8. B

    AY anusurika kifo, aokolewa na polisi, alala sero!

    Siyo dina wa clouds ni dina wa kampuni ya dina fashion mama hivi mnene yahani ni jimama haswa lakini siyo wa Clouds. na taarifa nilizopata hivi sasa ni kuwa ilikuwa ni mara yake ya kwanza kwa mama huyu kufanya tamasha hilo katika mkoa wa kagera.
  9. B

    Mchungaji Lwakatare Arudisha Yatima 250 Kwao

    Unataka akale polisi?inasemekana kuwa hakuna bishara nzuri kama kuanzisha na kuendesha thehebu tanzaniakodi hakuna,misaada bure nk
  10. B

    Ni ufisadi wa Spika Samwel Sitta

    We mzee Punch nafikiri umetumwakatika tasnia ya habari mtu aliyetajwa kwenye habari tena akihusishwa na tuhuma kama Spika wako 6 si lazima kile alichojitetea ukichukulie kama ndiyo ukweli wenyewe.we sema wazi kwamba umetumwa au una ugomvi na wahariri tajwa kwani kwa mtu anayefuatilia vyomvo vya...
  11. B

    Nisaidieni

    Huo ndiyo utendaji wa kazi kwa mashirika ya serikali ya tanzania.Rai hapa ni kwa vyombo vya habari kwani mimi naona shida kuamini kuwa ni lazima vyombo vya habari vipate habari kama hizo baada ya msako hivi wao hawezi kufanya uchunguzi na kutupatia news?afadhari umeongea dar,je kule...
  12. B

    Mchango wa wana JF Walioko nje ya nchi unatosha ?

    Wakuu, naleta kwenu mada hii kwa nia njema kabisa kuhusiana na wenzetu walioko nje ya Tanzania ambao ni member hapa JF. Nimekuwa nikisoma post zao na michango kadhaa kuhusiana na masuala mbalimbali kwa maendeo yetu,wao,taifa letu nk lakini nimegundua kuwa jamaa hawa hawatusaidii sana...
  13. B

    Swine Flu in Africa - Tahadhari!

    Ndugu,Nimekuwa nafuatilia vyombo mbalimbali vya kimataifa ikiwemo BBC,Aljazeera,CNN na Press TV wao wanasema kuwa ugonjwa wa mafua ya nguruwe HAUNEZWI na wanyama hao na kwamba hakuna nguruwe hata mmoja aliyekwisha kufa kutokana na ugonjwa huo,ingawa katika kueleza ugonjwa huo kwenye TV wanatumia...
  14. B

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    WOTE WANAOTETEA MAHAKAMA YA KADHI JIBU MASAWALI HAYA KWA KUWEKA NDIYO AU HAPANA. (1) Mahakama ya kadhi inaweza kuendeshwa bila gharama za Serikali . (2)Katika Mahakama ya kadhi wasio waislam hawataruhusiwa kuhudumu. (3)Mahakama ya kadhi ni suala linalotakiwa kuendeshwa na wasialam...
  15. B

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Hoja hii imejadiliwa vya kutosha katika eneo hili,kuhusu wasialam kugagania kadhi huku wakitambua kuwa wanataka ajira.Swali ,Hivi nyinyi waislam hamuwezi kuanzisha hiyo mahakama yenu bila kuihusisha Serikali? au hamna mtaji.Mnataka kadhi alipwe fedha za walipa kodi ambao siyo waislam,hivi vitu...
  16. B

    Utapeli Benki ya CRDB!

    Hivi mmekwisha note utapeli katika benki hii hasa katika charges wanazotoza kwa wateja hasa wenye kadi za VISA. ukitaka kujua wizi huu,jaribu kuomba taarifa fupi ya account yako utashangaa kuona yafuatayo ATM charge.........350/= ATM Monthly Charge......350/=...
  17. B

    ANTONY DIALLO ni ROLE MODEL kwa wamiliki wa vyombo vya habari

    Nadhan ulimaanisha kuwasilisha,siyo kuwakilisha,ebu tujaribu kutumia kiswahili fasaha. Dialo si lolote si chochote kwani alipokuwa bosi wa wizara ya Maliasili na utalii aliendesha operation ya kuondoa wavuvi haramu lakini alipozama na bot akielekea ukerewe aliokolewa na wavuvi hao hao...
  18. B

    Tatizo kwa Waislamu si Mahakama ya Kadhi, ni AJIRA!

    Tena,kuna kitu akijaandikwa Ni kuwa katika uendeshaji wa mahakama ya kadhi yale masuala ya ugomvi kati ya wenye dini hiyo na waumini tofauti na wao yatakuwa yakipelekwa kwenye mahakama hizo badala ya kufikishwa katika mahakama za kiaserikali. mfano. (1)Musa akivunja ndoa ya james...
  19. B

    Je kulikoni IPP? Malalamiko na kuacha kazi kwa wafanyakazi

    Ngoja afukuzwe maana huyu mama kwa wasio mjua vizuri ni mtu mwenye tanbia ya kukomba wafanyakazi kila anapokuwa na madaraka katika media house yoyote mfano Alipokuwa Mhariri wa the express aliondoka na wafanyakazi kibao kwenda katika ajira yake mpya atika gazeti la The Sunday Citizen na baada...
  20. B

    Mbowe katika picha Bukoba

    Wakuu, Leo na sasa hivi mzee wa anga na mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe yupo Mjini Bukoba akiendesha operation ya kufungua matawi na kufunga bendera katika maeneo ambayo awali wenye kumiliki maeneo hayo walikuwa wana CUF. Hadi sasa hivi nipo hapa kwenye cafe na nje pamefurika...
Back
Top Bottom