Hamza Johari ni expert katika international laws. Hutumika sana na serikali inapotatizwa na masuala ya sheria za kimataifa.
Htata wakati wa mzozo wa ziwa Nyasa kuhusu mpaka na Malawi aliitwa kushauri kama alivyotumika kwenye hili la bandar.
Mahamud Zuberi ndiye anayeendesha kipindi ambapo ni kipindi mahsusi kwa wachezaji wa zamami kueleza historia yao mpira hadi wakaibuka kuwa maarufu. Hivyo, watazamaji tunakuwa na hamu ya kumsikia mchezaji anachosema.
Hivyo, tungetarajia muda mwingi autumie mchezaji kuongea yeye atumie muda...
Wakuu JF nielezeni na nifafanulieni,
Miaka kama 20 iliyopita wahasibu wa maofisini walikuwa wanaogopa sana ma-auditor. Lakini woga uliishia kwao tu.
Hatukuwa tunajadili kabisa suala la CAG na kwa kweli hicho cheo binafsi nilikuwa hata sikijui.
Hivi kumetokea nini hadi leo nchi nzima...
Usidhani kanisa katoliki ni mapadre tu na maaskofu na masista.
Kanisa ni pamoja na wewe yaani kila aliyebatizwa na hivyo kila mmoja ana duty ya kulilinda kanisa.
Hivyo mjibu huyo muhubiri usisubiri askofu au padre.
Mwenzako Prof. Nkoma aliteuliwa kuwa DG akiwa abroad.
Hoja usiyoweza kuijibu ni kitendo chako cha kusifiasifia serikali kabla ya kifo cha Magufuli na sasa kupondaponda baada ya Samia kutawala.
Usingebadilika kama kinyonga nisingehangaika na wewe.
Lutoteuliwa ndiko kunakokufanya ulaumulaumu wakati miaka miwili iliyopita ulikuwa mtu wa kusifiasifia kama mwezako Kabudi, amaye naye sasa hasikiki tena, hatumbui macho tena.
Mama hajakups kitengo nini?
Mwenzako Manyahi ni mkurugenzi wa BICO anaendelea kusifia japo si mitandaoni.
Mwenzako Kyaruzi ni consultant TANESCO.
Mwenzako Dr. Yoonah yku Mandela University na mke wake ni DG wa NBC.
Sasa kama umeanza kulalama na kuiponda serkali kama sisi tunavyoiponda basi...
Ama kweli mambo yamebadilika na JPM hayuko tena duniani.
Hadi wewe Kichuguu tunayekufahamu mtetezi wa kila jambo la serikali leo unalalamika!
Inashangaza sana.
Tunarudi kulekule. Utandawazi uko kote na ulianzia huko Ulaya ambako hawafanyi kama hawa walimu wazembe.
Hata ratiba zako ulizobandika kwenye notice board hazionyesji unachosema zinaonyesha kuwa watoto wana activities nyingine wanalala saa 4 na kuamka saa 11 asubuhi masomk yanaanza saa 0750...
Hakuna cha miaka au lolote. Shule za day zilikuwepo miaka yote na zipo duniani kote.
Ni uzembe tu wa walimu kutojua kutumia muda wao wa dakika 40 darasani.
Hujajibu hoja kwa sababu huujui ukweli unang'ang'ania masuala ya msimamo wa kanisa.
Msimamo wa sheria ni ovrtime kulipwa kama huwezi wekeza nchi nyingine siyo Tanzania.
Huelezi mfumo wako utawezekanaje kwa shuke za days.
Hivyo, shule hizi hazina walimu bora ni ubabaishaji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.