Search results

  1. O

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Usitupe silaha kwa kutegemea mbio.
  2. O

    Mashine mpya Tanzania

    Aaag Mkuu nilifikiri ni yako umegudua kumbe ni ya kuagiza! Wahi kabla hamjawa wengi.
  3. O

    Jamaniee Kafungwa Babu Seya na muziki bado unaendelea sembuse ninyi Yanga?

    Jamani hivi huyu Mzee na wanae bado wamefungwa??????
  4. O

    Singasinga wa IPTL, Harbinder Singh Sethi atoweka

    Ungekuwa wewe ungesubilia ukamatwe wakati walisha kupa muda wa kusepa?
  5. O

    RwandAir named among World's Safest Airlines

    Mkuu usemalo ni ukweli mtupu, na aliyesema akili ni nywele na kila mtu anazake alikuwa sahihi. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
  6. O

    George Stinney, mtoto wa kwanza kuwahi kuhukumiwa kifo na kunyongwa nchini Marekani

    Duuh! Inasikitisha sana, na kinacho sikitisha zaidi ni kwamba ntill now bado hawamwoni mwafrika kama kiumbe anayesitahiri kuthaminiwa kama wao.
  7. O

    Majimbo ya Wabunge Walionesha Msimamo Sakata la ESCROW Natoa Rai Wabaki 2015

    Mkuu kwani umesahau kuwa ukiinyooshea Siri Kali kidole wanakimbilia kuchungulia kwenye Profile yako, nafikiri ndio maana Wabunge wote wenye Uraia wakwenye makalatasi wameuchuna wasije wakaitwa Tumbili Weupe.
  8. O

    Majimbo ya Wabunge Walionesha Msimamo Sakata la ESCROW Natoa Rai Wabaki 2015

    Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Kwa hili sakata lilivyokuwa na mgongano mkubwa wa kimasilahi hapa madam spika amekuwa balanced kwa manufaa ya uma zaidi.
  9. O

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatano, Tarehe 26 Novemba, 2014

    Jamani huku sikuzinguana?? Sasa wameahirisha mpaka saa 11 jioni ili watwambie wameshapata stop order?????,
  10. O

    Rais Jakaya Kikwete kurejea nyumbani Novemba 29, 2014

    Duh!!! Nilikuwa naangalia tu.
  11. O

    Balozi wa US alikuwa anafanya nini Dodoma?

    Mkuu leo ni siku muhimu sana kwa nchi hii, tutajua mbivu na mbichi.
  12. O

    Kupatwa kwa Jua kesho

    Mkuu umefikiria mbali,
  13. O

    Ndoto za kupaa na kuelea hewani zinaashiria nini?

    Waugwana na hii ya kumfikiria mtu au kitu chochote na baada ya muda mfupi ukakiona au ukamwona huyo mtu uliyekuwa unamfikiria, hiyi nayo imekaaje? Msaada tafadhari kwa anayejua utafafanulie.
  14. O

    Kwa Waliopitia JKT tu.....!!!!

    Weye mgeni humu ndani? Huu uzi ulishaletwa humu ndani siku nyingi makuchangiwa vya kutosha.
  15. O

    Ndani ya saa 12 zijazo Jaji Werema kujiuzulu kunusuru Serikali kuanguka

    Wee nani kakudanganya jeuri hiyo wabongo hatuna tunachoweza ni kushabikia tu.
  16. O

    Shahidi mkuu kuhusu Rwanda atekwa Kenya

    Mmmh! Hapa si haba kunalo jambo
  17. O

    Mishkaki ya Tsh.100 Dar

    Hiyo kitu chungana nayo sana hata huku mitaa ya kwetu kuna jamaa alikuwa na wateja kibaoo wa hiyo kitu, siku ya siku jamaa si ikaja gudulika alikuwa analisha watu nyama ya mbwa, na alipobanwa sana kwa nini anafanya kitendo hicho cha kulisha watu nyama isiyo faa, jamaa si akawageuzia kibao...
  18. O

    Niliapa kutosimulia

    Mkuu mpaka mida hii siamini kama hii ni true story au nihadithi kama za Mkuu mwenzio Mzizi Mkavu. Nakama nitrue story basi jamaa nertwork babu kubwa na usije shangaa kama Julius naye yuko ndani ya huo mtandao.
Back
Top Bottom