Hao Mabalozi wa Ulaya hawawezi kilazimisha Serekali kuvunja Sheria zake.
Watakachofanya ni kutoa Tamko la kidplomasia, watajiweka katikati bila kufungamana na upande wowote. Hili ni Swala la Ndani ya nchi, na Maamuzi yake yataisia ndani ya nchi sio from Foreign Powers.
Kuna haja ya kukaza kamba na kuitumia Sheria kujaribu kupunguza Uharamia dhidi ya RASILMALI zetu.
Hongera kwa Vyombo vya Dola na wale wote waliohusika na Kampeni ya kuokoa Eneo hilo. Tunaiomba
Serekali kuu ihamasishe Wananchi juu ya umuhimu wa Ulinzi wa RASILIMALI zetu.
Mfumo mbovu hufanyiwa Marekebisho na ndio maana tumebaini kuwa baada ya miaka 50 unahitaji marekebisho, hivyo tuko na mchakato wa Katiba mpya. Ili kusiwe na Rabsha ndio maana tuna mipangilio ya Kazi, na kazi nyingine hazihitaji kuingiliwa, inakuwa ni kinyume cha Sheria kwa Mhariri/Mwandishi...
Mfumo mbovu hufanyiwa Marekebisho na ndio maana tumebaini kuwa baada ya miaka 50 unahitaji marekebisho, hivyo tuko na mchakato wa Katiba mpya. Ili kusiwe na Rabsha ndio maana tuna mipangilio ya Kazi, na kazi nyingine hazihitaji kuingiliwa, inakuwa ni kinyume cha Sheria kwa Mhariri/Mwandishi wa...
Mkuu hakuna anaezuiwa kuandika wala kuzungumza, Mmepewa Uhuru mpana ambao hata juzi tu kwa Awamu ya Mkapa hamkuwa nao. Kwahiyo kuna Haja na Ulazima kuutumia vizuri na kwa Busara. Kuwa Journalist haimaanishi your Everything na unaweza kuandika chochote, Wakati wowote na Uingilie kazi ambazo si...
Kubenea: MAGAZETI na WAHARIRI wake hawawezi kuoiongoza Serekali, si Serekali ya Tanzania au nyingine yeyote Duniani itakayokubali Ujinga Huo, aidha inaendeshwa Kidemokrasia au La. Demokrasia isiwe visingizio vya kuvuja Sheria.
Mkuu CCM-mama: Ridhiwani/Riz one bado ni Bw. Mdogo sana, hana Ubavu wa kumwamuru mtu yeyote, afanye lolote kwa Kutumia Mwamvuli wa Babayake, wala hana ubavu wa kichama CCM wa kuweza kugeuza Sera au hata kushawishi. Labda unamsikia na kuona akiongelewa na vyombo vya Habari na anapozushiwa kafanya...
Umemwelewa Baky.? Anakwambia Uvundo wa miaka 35 kuusafisha ndani ya miaka 6 ni jambo lisilowezekana kwa kifupi nyie watu hamrizon, mnaongea tu mradi mdomo ni nyumba ya Maneno!!
Inasikitisha sana kuwaona Madaktari wetu Wanajiweka katika nafasi ya kuwa Miungu watu kwa kuwasaliti Wananchi wenzao. Haiwezekani kuwa Ninyi ndio wenye Shida na mnalipwa haba kuliko fani nyingine, huo wenu ni UROHO, TAMAA, TABIA MBAYA, WIVU, UJINGA na kuelimika kulikowavua USTAARABU, kwa msemo...
Nilisema hapo awali kuwa kukosa kujipanga (Organisation) mara nyingi kumezigharimu Harakati zinazoendeshwa na Waislam, na hii sio Zanzibar au Tanganyika tu ni Dunia Nzima. Na ndio maana Akili zao zimeweza kuchezewa na kugeuzwa Wakati wote na Saa yeyote. Huu wa Uamsho ni mfano mwingine.
Walikuja...
Hizi fitna za Upemba na Uunguja, za ubwana na utwana na za ugaidi wa Uamsho ni fitna zinazotiwa na watu walio maluuni. Lengo lao kubwa ni kuwapotosha Wazanzibari wauzime mjadala wa Muungano. Hawajali iwapo watalitimiza lengo hilo kwa kuyakiuka maadili ya uongozi au ya uandishi...
Kama Hoja hizo za Shekh zina Mshiko wangetumia taratibu zilizopo kuwasilisha hoja hizo. Lakini walijua na wanajua katika vikao Halali hoja hizo hazitafua Dafu. Ndio maana Wakaingia na Mkwara wa kuhamasisha Watu kwa mapambano na Ikibidi hata Ugaidi utumike (Fuatilia vizuri kanda zao za mihadhara)...
Farid aliehojiwa ndie yule Aliekuwa akiwahamasisha Wafuasi Wake KUFA kwa ahadi ya kwenda PEPONI? Na sasa anaongea Asali..........................Kumbe taratibu unazifahamu?
Halafu kuna Vijana wa Watu mkawadhamini haraka tena..............Ebooo!!
" UAMSHO wageuka ULALISHO"
Chuvi nyingi na upotoshaji wa Historia, Visingizio Matusi Vitisho na Majigambo: Wababe wawili FARIDI na AZANI mambo yalipojiri Wakaingia mitini. Ebo!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Imekuwajevooooooooooooo?????????
Mwakalinga;
Ingia Mzalendo.net zipo vidio (kama hazijatolewa) za Mihadhara ya hawa waheshimiwa wa UAMSHO. zisikilize kwa Makini UDINI na UBAGUZI unanuka kiasi cha kuleta Kichefuchefu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.