Search results

  1. Profesy

    Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

    Toka enzi za MV Bukoba hatujawahi kua na boti/meli ya uokoaji kweli? Labda hii kitu itabadilisha mtazamo wa umuhimu wakua nayo maana dah aise hapana. Mungu atupe busara kama nchi kuzingatia hivi vitu kabla hayajatokea. Ingekuwa nchi ya wenzetu kuna kiongozi angejiuzulu kutokana na maafa ya aina...
  2. Profesy

    Ajali ya Ndege ya Precision Air imetuvua nguo wazi wazi

    Toka enzi za MV Bukoba hatujawahi kua na boti/meli ya uokoaji kweli? Labda hii kitu itabadilisha mtazamo wa umuhimu wakua nayo maana dah aise hapana. Mungu atupe busara kama nchi kuzingatia hivi vitu kabla hayajatokea. Ingekuwa nchi ya wenzetu kuna kiongozi angejiuzulu kutokana na maafa ya...
  3. Profesy

    Mchora katuni Opptertus John Fwema ashikiliwa na Polisi kwa Makosa ya Mtandao

    Tuone watatumia kisingizio gani kumshikilia.
  4. Profesy

    Sheria inaruhusu kudai zawadi ulizotoa kwa Mchumba wako pale Uchumba unapovunjika

    71. Right to return of gifts A suit may be brought for the return of any gift made in contemplation of a marriage which has not been contracted, where the court is satisfied that it was made with the intention on the part of the giver that it should be conditional on the marriage being...
  5. Profesy

    Siloam Ministry International Mbezi Beach

    Leo walivyokuwa wanamzika kulikuwa na rainbow imezingira jua.
  6. Profesy

    Kuhusu Kura Ya Wazi au Kura Ya Siri!

    Baada ya msuguano wa #Posho, Bunge letu maalum la Katiba limepoteza karibu wiki nyingine nzima kubishana kuhusu uamuzi wa kuwa na Kura ya Wazi au Kura ya Siri. Tayari wiki mbili zimepita la Bunge la siku 70 (wiki 7) lakini yaliofanyika ni majadiliano ya Posho na hili la kura.Hili linatuonyesha...
  7. Profesy

    Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    Mi naona kama hizi habari ni za kweli, kuna shida gani kama Zitto akihamia NCCR? Mi naona kuliko asiishi kwa amani basi ahamie chama kingine.
  8. Profesy

    Mbowe atolewa nje ya bunge

    Video hio hapo.
  9. Profesy

    (VIDEO) Hawa wezi wa side mirror Dar wamezidi!

    Cheki huyu hapa alivyoshughulikiwa... ONYO! Graphic Video. Naomba msamaha kwa yeyote ambaye VIDEO hii itamkwaza kwa namna moja ama nyingine. Kuangalia tukio nzima bofya kwenye link hii hapa. Profesy's Version: Graphic Video: Mwizi wa Side Mirror akipewa kichapo!
  10. Profesy

    Cusstomer care na Ruka Juu

    Umeangalia ile ya wakulima lakini?
  11. Profesy

    Bunge kusitisha kurusha 'LIVE' vikao vyake!

    Ebana ndio!!!
  12. Profesy

    Waziri: Uwezekaji wa Barrick una manufaa kwa taifa

    Ata na hayo madawatit haya manamba ni full uwongo. Sidhani kwamba barrick wanania nzuri. Wanaangalia vya kwao tu. Juzi peru wameshindwa kesi.
  13. Profesy

    Gazeti la MwanaHalisi lafungiwa kwa muda usiojulikana!

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO TAMKO LA SERIKALI GAZETI LA MWANAHALISI LAFUNGIWA Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imelifungia kutochapishwa gazeti la MwanaHalisi kuanzia 30 Julai, 2012 kwa muda usiojulikana kutokana na mwenendo wake...
  14. Profesy

    Wakwepa kodi hawa hapa!

    Ndio maana nimehighlight nyekundu. Kama mpaka hapo haujaelewa pole sana.
Back
Top Bottom