Search results

  1. smart one

    Godbless Lema hana matishio yoyote ya kiusalama, amekimbia kivuli chake

    Mwenzio analipwa we unawaza aje akae nyumbani mtazamane usoniiii? Endeleeni na mashairi yenu wakati hayawapi hata mia
  2. smart one

    Baada ya kumrejesha Mbowe Bungeni tutakuwa tumefunga rasmi siasa za Uchaguzi na kujielekeza kwenye kuchapa kazi

    Mbowe sio ng'ombe kama wewe, huo ujinga wako wa kisiasa kawashauri ng'ombe wenzio
  3. smart one

    Kigwangalla jiulize sana kwanini wewe

    Kigwangala alikuwa anajisahau sana, muda mwingi yupo mitandaoni kubishana; kukejeli na wakati huo huo yeye ni sehemu ya serikali, mbaya zaidi yupo illogical tena ni mzigo kufikiri. Huyo jamaa ashawahi wapigisha push ups maafisa wa jeshi na kuwarusha kichura hadharani. Kigwangala ana matakataka...
  4. smart one

    Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

    Mwenyewe nimedoubt sana, nadhani anataka talaka tu. Kilewo sio mpmbavu kiasi cha kutelekeza familia
  5. smart one

    Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

    Neno jema sana
  6. smart one

    Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

    Nnavomtaman mweh! Mbombo jilipo., Achaneni kelele ziishe
  7. smart one

    Shambulio la Lissu kupigwa risasi: Polepole aibua mapya

    Something is wrong with taratibu
  8. smart one

    Jana nimekula kitimoto bila kujua!

    Nipo Mbeya nikuongeze huku bei poa kabisa...... Tutaweka na Castle
  9. smart one

    Baadhi ya wapinzani aina ya Lema, Sugu, Lijualikali, Msigwa badilikeni, zama zimebadilika kwa sasa

    Niterejea baada ya kumaliza shughuli za msingi. Hili linahitaji utulivu kulijadili. Ahsante.
  10. smart one

    Baadhi ya wapinzani aina ya Lema, Sugu, Lijualikali, Msigwa badilikeni, zama zimebadilika kwa sasa

    Anyways umetumia lugha safi kabisa ambayo ni ya kistaarabu lakini ndani ya andiko lako kuna shida kidogo. Binafsi naona awamu hii haina dhamira safi kwa wapinzani, kwa sababu matumizi ya nguvu ya vyombo vya dola yamekuwa ni makubwa kuliko hicho kinachoitwa uchochezi. Serikali hata isemwe...
  11. smart one

    Utoto mitandaoni: Mnamu-overate sana Kagame, hawezi na hatoweza

    Kudos kwako! Andiko maridhawa kabisa
  12. smart one

    Ni kitu gani huwa unachojivunia toka kwa mpenzi wako?

    She listens hadi najishtukia. I'm proud of her...
  13. smart one

    Hatimaye ZIKA Tanzania ndani ya CCTV

    Nonsense
  14. smart one

    Hatimaye ZIKA Tanzania ndani ya CCTV

    Kaka kwa mtazamo huo its ok!. Lakini pia zipo several variables ambazo tayari zinapelekea discouraging investment na tourism in Tz. We don't advertise, we impose higher taxes as well. Tusimuhukumu Dr. Mwele kwa kuwa muwazi ktk issue hii. We better reduce taxes and add subsidies ktk tourism...
  15. smart one

    Hatimaye ZIKA Tanzania ndani ya CCTV

    ZIKA si mara ya kwanza kuripotiwa Tanzania, nashindwa kuelewa ugumu wa hii issue ktk kuelewana unatokea wapi!
Back
Top Bottom