Search results

  1. Eliaona

    Tafakuri: Vyuo vya hovyo hovyo ni vyuo gani?

    Yeye aliyetoka UD anajua kiingereza?
  2. Eliaona

    Rais Magufuli, mimi kama Mtanzania nakuomba Radhi

    Unamuomba radhi kwa kosa gani ulilowahi kumfanyia? Huna hata post moja inayo criticize serikali ya Rais wako! Can't you even think, just a little bit before you post anything here? This is pathetic!
  3. Eliaona

    Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

    Kama Polisi wanasema hatujui na tunafanya uchunguzi..! Na Bashite ambaye si polisi anasema tutampata kabla ya Jumapili..! na leo ni Jumamosi na habari inasema amepatikana...! Kwa busara ya kawaida tu tutasema nini hapa?
  4. Eliaona

    Hivi CHADEMA mtawaambia nini wananchi wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2020?

    Sidhani kama shida ni kwa Chadema? Shida ni ndani ya CCM wenyewe. Vyama vya upinzani wakati wa uchaguzi kazi yao ni kuonyesha ilani itakayoahidi kwa uhakika maendeleo bora zaidi kwa wananchi. Kwamba hayo yote yamefanyika haina maana huo ndio ubora zaidi tunaoweza kufikia. Kwa rasilimali...
  5. Eliaona

    Wakuu wa wilaya na mikoa mingine igeni mfano wa Makonda kwenye vita dhidi ya madawa ya kulevya

    Hakuna aliyewahi kumdai... atoe vya nini sasa! Mwambie na JPM atoe vyake basi! Makonda ni mwajiriwa wa serikali, na serikali inadai kila mwajiriwa wake athibitishe vyeti vyake. Huu sio ushabiki wa kisiasa, ni uwajibikaji serikali ya Magufuli. Hivi ndivyo kazi ya magufuli inafanywa kuwa ngumu kwa...
  6. Eliaona

    Wakuu wa wilaya na mikoa mingine igeni mfano wa Makonda kwenye vita dhidi ya madawa ya kulevya

    Hiv! Si kwamba vyeti vilidaiwa kwa waajiriwa wa serikali tu? Au Mbowe naye kaajiriwa na serikali!!!
  7. Eliaona

    Kanisa Katoliki na siasa za kinafiki Tanzania

    Fuatilia post niliyoi-question!
  8. Eliaona

    Kanisa Katoliki na siasa za kinafiki Tanzania

    Are you sure of what you are saying?
  9. Eliaona

    Rais Magufuli huku Redundancy zinapita sana twafa!

    So... JPM ataeleza nini wananchi kwenye Kampeni 2020?
  10. Eliaona

    Tanzania kuporomoka kiuchumi June, IMF inaitahadharisha

    Wajinga huwa hawapatagi akili Bro... ndo maana wanaitwa wajinga. Hata Mugabe anao kibao wamemzunguka huko Zim!
  11. Eliaona

    Tanzania kuporomoka kiuchumi June, IMF inaitahadharisha

    Shida ni kuwa na kiongozi mwenye wivu wa maendeleo. Hata tukilima tukafanikiwa, atatuonea wivu kwa mafanikio yetu...! So, atafanya kila mbinu tusifanikiwe ktk kilimo pia. Mpaka wote tuimbe wimbo anaotaka yeye!
  12. Eliaona

    Rais Magufuli mashirika ya habari duniani yatakutangaza vibaya hadi udeal vizuri na investors.

    Ni afadhali utangazwe vibaya ukiwa na uchumi mzuri! Lakini uchumi huu wa kutisha? Hata walio wako watakutangaza vibaya tu!
  13. Eliaona

    Hili gazeti la Kenya limemdhalilisha Rais Magufuli

    Huku Tanzania tunavyomkejeli Mzee Mugabe kila kukicha, tumewahi kwenda kumuomba radhi kweli? Mbona Wa Zimbabwe hawalaani vitendo vyetu?
  14. Eliaona

    Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

    Nafikiri hii ndio maana halisi ya Msanii --Kioo cha Jamii.
  15. Eliaona

    Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

    Ashakuwa "Mtukufu" tena? Dah! Kweli kuishi kwingi...!
  16. Eliaona

    Gwajima apiga mkwara, kinanuka kesho

    Ni sawa... Unavyoona lakini, Makonda naye amefanya kazi aliyosajiliwa kufanya?
  17. Eliaona

    RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

    Hii kweli... Naona kesho hapo uwanjani atafanya hivi huyu bingwa!
  18. Eliaona

    RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

    Sasa raha ya hii movie yote ni hapo kesho ktk ufufuo na uzima... Baba mtoto mwenyewe akishapata hii story atakavyomwaga laana yake sasa! Mbona kutanoga hapa JF, sijui kama hiyo Dar itakalika!
Back
Top Bottom