Search results

  1. Laibon

    Eti JK akishinda atamteua Lowasa kuwa PM?!

    bwana au bibi minda- ukabila unatoka wapi hapo? Inaonekana wewe ni mkabila ndio maana reaction yako imekupelekea mawazo ya ukabila:smile-big:
  2. Laibon

    Eti JK akishinda atamteua Lowasa kuwa PM?!

    Usiwe mtu wa kukurupuka - read between the lines, dont read lines! Usikurupuke kama Makamba:mad2:
  3. Laibon

    Eti JK akishinda atamteua Lowasa kuwa PM?!

    Wana JF naomba kutoa hoja; Kama JK akishinda urais basi ni budi Lowawa awe waziri mkuu kwani alionewa kushinikizwa kujiuzulu. Wote mnafahamu kuwa hakuna mtu amechukuliwa hatua kwenye RICHMOOND saga- wote wako huru wamesafishwa bungeni na hata, wanapeta kwenye wakiomba kura majimboni kwao na...
  4. Laibon

    Ikulu itoe tamko sababu za Rais Kikwete kutozungumzia suala hili.....

    Ni muhimu sana kwani hili swala linaathiri vizazi vingi. Ni muhimu watanzania waelimishwe athari na manufaa wao wenyewe wapime. Sio viongozi, viongozi ni sehemu ndogo sana ya jamii ya watanzania na historia inaonyesha ni viongozi wachache sana ktk taifa hletu wamefanya mambo kwa manufaa ya...
  5. Laibon

    Natafuta puppies-German sherpherds

    Ndugu habarini za mchana- nina shida kweli ya kupata puppies-German shephered breed. Kama kuna mwenye idea wanapatikana wapi nitashukuru sana
  6. Laibon

    Mazoezi ya JWTZ yashtua Bandarini!

    Hii habari imekanushwa na vyanzo vya uhakika hivi punde- ni wanamaji wa wa jeshi la tanzania walikuwa kwenye mazoezi ya kushtukiza. Vyaeni vyetu vyenu, indeleeni na shughuli kama kawaida!
  7. Laibon

    Benjamin William Mkapa nimjuaye...

    Kaniki, Kwanini unapenda kujiunganisha kwenye laana ya Watanzania dhidi ya Mkapa? Hututakuhukumu kwa sasa, inaonekana wewe hauishi TZ kabisa. Kama Nyerere alivyosema, ikulu ni mahali patakatifu- Mkapa alipafisadi pale! Angalia mawaziri na maofisa wa serikali yake, wako mahakamani! Hata hizo...
  8. Laibon

    Zitto akerwa na kauli ya Pinda

    WanaJF, Bwana Pinda amekuwa na kauli nyingi zenye utata, lakini hiyo tu inaonyesha jinsi nchi ilivyo na umasikini wa uongozi. Kwani hii si mara ya kwanza kwa viongozi wa kuongea irresponsibly, mmewasahau kina Mramba(watanzania watakula majani), Msuya( kila mtu ataubeba mzigo wake), Chenge...
Back
Top Bottom