Search results

  1. M

    Sitta, Kilango na Lukuvi hawafai nafasi ya Uwaziri - Dr Slaa

    Siyo siri ktk kuchemka hapa ndy professor wa wachina kachemsha kweli,jembe kama Mwakyembe unamtoa kwenye wizara aliyoimudu unampeleka bench...??au kisa aligusa interest zao kubana sana bandarini na airport?? Lakini yote hayo yana mwisho
  2. M

    Amlazimisha mme wake aoe mke wa pili

    Huyo dada inaonekana shughuli haiwezi kabisaaaaa...hajafundwa akafundika hata kidogo...inaonyesha hata kazi za ndani hawezi ni mvivu wa kutupwa....mwanamke anayeomba msaada wa kusaidiwa bana wakati mwanamke anauchunga mpingo wake siku zote ussibiwe na mwanamke mwingine.!
  3. M

    Juliana Shonza amlipua Mbowe

    Huyu binti ni mtumbafu sana...ww Juliana kazi yako inajulikana ni kuwatandikia vitanda hao akina Nape muwapo ziarani...sasa tangu lini house girl akawa na kelele kuwazidi wenye mji..??? Tumbafu yako Juliana
  4. M

    Kwa wale wa MAKOKO Seminary na Waseminary wote.

    kweli taarifa hizo zilisikika lakini zilikuwa na utata kwani hakuna aliyejitokeza ktk kusema kama ametoa tigo yake kwa Meja,japo watu walisikika wakiwataja watu kama akina Steven Mashala na mdogo wake,David Bonifasi,Kimonya,Mwenge Chajunyo,Mdashi ambaye ni shoga hadi leo anasasambua kwenye...
  5. M

    Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

    Duh wadau mbona kimya..?? Au kuna matambiko yanafanywa kwanza hapo ndani ndy Jk aingie hewani..??
  6. M

    Hodi hodi wana jf...!!

    Ahsanteni sana Che Kalizozele na the Farmer...nafurahi kuungana nanyi ktk JF
  7. M

    Man!

    Kwani nani asiyependa kutengewa mpira kati....??halafu kipa akakwambia ww piga shuti lolote utakalo mie nimekuachia ni ww tu kwa raha zako...hapo lazima uonyeshe ufundi kwa jinsi gani unaweza kufunga magoli mengi na kwa muda gani,...hata vichaa tu wa mjini hawako nyuma ktk penalt hizo
  8. M

    Vicky Kamataa (dada mwenye nyekundu)

    Je huko amefaulu hayo masomo yake au waalimu walikuwa wanapeta tu kwenye paper zake...? kwani hapa (NYEGEZI) SAUT alichemsha kweli huko ndy anaweza kutoka....?? wadau hebu lete data zake academic huko UK
  9. M

    Tanzanian Banks Swift Codes

    Crdbbank ni corutztz
  10. M

    Hodi hodi wana jf...!!

    Hodi hodi jamani wana JF....huyu si mwingine bali ni Mkaruka Giledi (Tata Giledi) wa Etaro Makao hadi Ekungu,kwa wale abhagangaji wamenisoma hapoooo....ndani ya jumba la wana JF...Ahsanteni sana kwa mchango wenu ktk jamii.
  11. M

    Mpango wa Kikwete ni EPA 'namba mbili'

    Hilo ni changa la macho jamani..hiyo pesa itaishia mifukoni mwa mifisadi...Tz pesa itolewayo kwa ajili ya mradi fulani huwa ni 32% tu inatumika ktk mradi na the rest iko mifukoni mwa watu...wewe ulishaona wapi ujenzi wa darasa moja la shule ya msingi tena kwa matofali ya kuchoma eti wanakwambia...
  12. M

    Ze Utamu blogger under arrest?

    MMhhh lakini hii blog kwa namna moja au nyingine ilikuwa inawasaidia wale wajasiliamali wangoni kujua wapi pa kushika na wapi pa kuacha...kwani iliweza kuanika wale ambao wanasadikiwa kuwa wameathirika na bado waliendelea kugawa vijapani kwa ungoni...
Back
Top Bottom